Isije kuwa ukubwa tu na ndani hakuna Risasi!

Mar 6, 2010
74
0
Ukuni wangu!



Isije kuwa ukubwa tu na ndani hakuna Risasi!
Samahani mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42 tatizo langu ni kwamba ukuni wangu hauwezi kusimama kwa muda hata dakika 3.
Ukweli nampenda sana mke wangu na anajitahidi sana kuhakikisha ninasisimka na ukuni unasimama hata hivyo nikiingia tu hata dakika haifiki ukuni unadondoka na kuwa laini kabisa na nimechoka kutumia ukuni uliolala.
Naomba msaada kwani naogopa mke asijeanza kutoka nje kutafuta mtu wa kumtosheleza.
HMMM
Kaka HMMM,
Pole sana kwa tatizo ulilonalo na ukweli si wewe peke yako unayekumbana na tatizo la ukuni kuamua kufanya kile unataka wenyewe as if unatumia akili zake tofauti na akili zako.
Kumbuka ile hofu na wasiwasi kwamba nikiingia tu ukuni utalegea na kuwa ovyo inatosha kabisa kuupa ukuni ushindi na unakuwa defeated vibaya sana tena hands down.
Inaonekana huwa unawaza sana kwamba nikiiingia tu ukuni nao utakuwa umemaliza safari kwani “You are by what you think” unachokiwaza ndicho hutokea na jambo la msingi unatakiwa kuwaza namna gani unajisikia raha wakati upo ndani ya mke wako kuliko kufikiria ukuni wako umesimama namna gani au kwa muda gani.
Waza kwamba leo nataka kumfurahisha mke wangu kwa saa nzima, hata ukimfikisha nusu saa utakuwa umefika mbali zaidi.
Waza kwamba leo nataka apate raha kwa style zaidi ya moja, ukiishia style tatu badala ya tano bado utakuwa mbali zaidi.
Jiamini, weka malengo kwamba leo nataka kufika mbali zaidi.
Pia fanya mazoezi ya Kegel ambayo husaidia sana kukaza misuli na hivyo kukuwezesha ukuni wako kusimama kwa muda mrefu.
Mwisho nenda ukamuone daktari ambaye anaweza kukushauri aina ya tiba ambayo inaweza kukusaidia hasa baada ya kukufanyia vipimo kujua chanzo cha tatizo lako ni nini zaidi ya kisaikolojia kwani suala la ukuni kufanya yale hujautuma wakati mwingine ni hadi vipimo vya daktari.
Kumbuka:
Kutumia medication (Viagra, herbal) lazima iwe ndiyo option ya mwisho kabisa
 
Kuna gym siku hizi za kuyakuza ,kundoa matege na kuafanya ukuni/ushimo ( Kinu/kitwangio) kiwe active.

Gym hizo zinatoa mazoezi special kwa kinu/kitwangio kuongeza mzunguko wa damu na hivyo kwenda mileage nyingi.

Mfano wa mazoezi ambayo Kinu/kitwangio hufanyishwa kuongeza mileage ya tendo ni
-Push up hii ni u wenye kuni na wenye ushimo
-kunyanyua vizu vizito kwa ukuni na kubeba vitu vizito kwa ushimo,
-kichura chura kwa ukuni na kwa ushimo.

Gym hizi ni siri PM nitakupa code
 
Pole sana mwanawane,mbona kuna wamasai wengi tu hapa mjini?Lakini tafuta wamasai wa kweli siyo feki kama ukiwakosa basi kuna Chinese au za Kichinachina heheee!
 
Back
Top Bottom