'am looking for the buffet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'am looking for the buffet

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tiger, Mar 22, 2010.

 1. T

  Tiger JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2010
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Wadugu wapendwa wa jamiiforums,
  Nawasimu.
  Kuna kipindi fulani nikiwa chuo niliwahi kwenda buffet moja pale Heritage Motel(DSM-city centre) nilikwenda na wanachuo wenzangu,
  niliipenda kwa kweli. nilikuwa natamani kwenda pale tena lakini niliwapigia simu jana wakaniambia hawana tena hiyo huduma.
  Pia nafahamu kuwa mlimani city ipo lanikini mi binafsi sidhani kama ntakuwa huru na kujimwaga nnavyotaka kwakuwa NINA MPANGO WA KWENDA NA MPENZI MCHUMBA WANGU. Kwa hiyo nawaomba waungwana mnisaidie kupendekeza hotel ambayo haina cost za juu, ambayo ina heshima,privacy na sifa nyingine nzuri.
  Ikiwa jioni nitafurahi zaidi, naomba iwe ya kwenda na kurudi siyo kulala.
  (wale wapendwa wenzangu kina MaxShimba naomba msinielewe vibaya mimi sijaiacha njia yangu-u know what i mean).
  Asanteni nyote.
   
Loading...