Yupi wa kuoana naye?

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
By giving your arguments, yupi anayefaa kumuoa au kukuoa?

A) Uliyempenda sana
B) Aliyekupenda sana
 
anayenipenda sana now.
aliyenipenda,simtaki,
namtaka anayenipenda sasa now............
 
Mapenzi ni bi-way, inabidi kupendana. ukioa/kuolewa na mtu unayempenda sana kama yeye hakupendi utapata shida sana, maana yeye anaweza akawa anampenda mwingine kwa hiyo wewe utakuwa kama picha tu; na vile vile ukioa/kuolewa na anayekupenda sana pia ni shida, hakuna kero katika maisha kama kuishi na mtu usiyempenda, hata kama akikufanyia kitu kizuri namna gani utaona ni kero
 
Well said sir FP..
This is really a fixed point of thoughts!...nO SHAKING!
 
Mapenzi ni bi-way, inabidi kupendana. ukioa/kuolewa na mtu unayempenda sana kama yeye hakupendi utapata shida sana, maana yeye anaweza akawa anampenda mwingine kwa hiyo wewe utakuwa kama picha tu; na vile vile ukioa/kuolewa na anayekupenda sana pia ni shida, hakuna kero katika maisha kama kuishi na mtu usiyempenda, hata kama akikufanyia kitu kizuri namna gani utaona ni kero

Well, thus there must be an equal "Double Coincidence of Love"!
 
na hakuna kitu kama hicho mkuu..............never, hkijawahi kutokea tangu kuumbwa ulimwengu........... it is a myth................. tia akili kichwani na utainjoy maisha.............
 
Mapenzi ni bi-way, inabidi kupendana. ukioa/kuolewa na mtu unayempenda sana kama yeye hakupendi utapata shida sana, maana yeye anaweza akawa anampenda mwingine kwa hiyo wewe utakuwa kama picha tu; na vile vile ukioa/kuolewa na anayekupenda sana pia ni shida, hakuna kero katika maisha kama kuishi na mtu usiyempenda, hata kama akikufanyia kitu kizuri namna gani utaona ni kero

Take high five Mkuu. Well said.
 
na hakuna kitu kama hicho mkuu..............never, hkijawahi kutokea tangu kuumbwa ulimwengu........... it is a myth................. tia akili kichwani na utainjoy maisha.............

Siyo kweli Akili Kichwani, kuna watu wanapendana. ninachoweza kukubaliana nawe ni kwamba inawezekana hakuna mapenzi ya ratio ya 100:100, but 100:80, 90:60 etc yapo. Ninachokikataa mimi ni kuoa au kuolewa kwa ratio ya 100:10 au 90:02
 
Mapenzi ni bi-way, inabidi kupendana. ukioa/kuolewa na mtu unayempenda sana kama yeye hakupendi utapata shida sana, maana yeye anaweza akawa anampenda mwingine kwa hiyo wewe utakuwa kama picha tu; na vile vile ukioa/kuolewa na anayekupenda sana pia ni shida, hakuna kero katika maisha kama kuishi na mtu usiyempenda, hata kama akikufanyia kitu kizuri namna gani utaona ni kero
Well and correctly said Mkuu. Wakati tunajifunza kulenga shabaha tukiwa JKT , mtu aliyelenga katikati ya tundu la target( yaani bull) alikuwa mshindi na alisifiwa. Sasa wewe uliyoyasema ni ukweli mtupu, umepiga bull. Hakuna katika option mbili zilizotolewa na mtoa hoja anafaa kuwa mke/mme wako. Wana ndoa lazima wapendane kwa kiwango kikubwa japo kuwa inaweza kuwa sio kwa asilimia mia moja(100%).. Hakuna swala la kupenda sana au kupendwa sana, wakati mwenzako anakupenda kinyume chake. Ukiingia kwenye ndoa yenye penzi sana la upande mmoja kwa kiasi kikubwa na mara nyingi ni matatizo matupu yanakungojea.
 
Mapenzi ni kama mizani isipobalance ni shida, lazima kuwe na balance yani wote mpendane sawa
 
Back
Top Bottom