Wakuu,Mng,
Naleta hili kwenye meza kuu.................Hivi hawa wenzetu hawa akina mama hujifanya wanatupenda sana hivi kati yao kuna anayethubutu kumpa mpenzi wake Password ya E-mail...
There are four kinds of sex :
1. HOUSE SEX - When you are newly married and have sex all over the house in every room.
2. BEDROOM SEX - After you have been married for a while, you only have sex...
TRUST is a very important factor for all relationships. When trust is broken, it is the end of the relationship. Lack of trust leads to suspicion, suspicion generates anger, anger causes enmity...
About 2 years ago, went for a weekend to visit my cousin who lives in a different city than I do. When I was there, she invited her friends to come say hi to me and we had a party in her house...
Emn Haddad-Friedman and Alex Bero are getting married on July 31, near the reported wedding site of Chelsea Clinton and Marc Mezvinsky.
The wedding date was booked two years...
Nakumbuka wakati wa zamani kidogo ilikuwa kazi sana kumtongoza msichana, yani ilibidi uwe umejiandaa sana kwanza kabisa kupata nafasi ya kukutana naye, pili kupata nguvu za kufunua mdomo ili...
SEHEMU YA KWANZA:
Tangu utotoni nilijuwa kuwa nimejaliwa uzuri wa maumbile na sura. Nikiwa mtoto wa kike wa pekee na wa mwisho wa Mzee Erasto Malyamkono (mtaani alijulikana kama Mzee...
wanawake wanabeba mimba na kuzaa kwa uchungu.....
wanawake wanakwenda hedhi kila mwezi sometimes inaambatana na maumivu makali....
ukitolewa bikira mwanamke inaambatana na maumivu makali...
Wadau, ningependa kujua sheria za barabarani Tanzania zinasemaje kuhusu kuendesha gari na mtoto akiwa ndani? Je, ni lazima uwe na car seat? Na kama ni lazima ni watoto hadi wa umri gani...
Kampuni moja ya madawa nchini China (Tianjin Xiali) iko iko njiani kuanza kuzalisha kwa wingi Octopus (Pweza) atakayeweza kuonyesha kama mwanandoa mmoja wapo ameenda kinyuma cha maadili ya ndoa...
habari wandugu;
Katika maongezi mbalimbali na wanawake tofauti, nimepata picha kuwa, kwa maoni yao, ni nafuu kwa mwanaume wake (mume, boyfriend) ku-cheat na mwanamke mwenzake kuliko ku-cheat na...
Sisi wanawake tunavutiwa na mambo madogo sana ambayo hayahitaji kuwaumiza vichwa.. si pesa wala good looking zenu :A S 39:unaweza ukawa na yote lakini amani hakuna ndani ya nyumba
Kauli ya...
Last year niliachana na mwanamke wangu wa zamani.
Baada ya kimya kirefu nikapata kitu kipya ambacho tuna mipango ya kufunga ndoa na kujenga familia imara.
Mwanamke niliyeachana naye mwaka jana...
Wakuu nimeona taarifa kwenye gazeti la Nipashe kuwa nusu ya watu waliokwenda kwa mkemia mkuu wa serikali kupima vinasaba (DNA) ili kujua uhalisia wa watoto wao wamekuta si wao.
Sasa nikajiuliza...
Sometimes I'm an angel, sometimes I'm cruel,
But when it comes to love I'm just another fool.
I thought you'd be the first guy
To prove to me that not all guys are the same
But really what...
Nikiwa nimekaa nyumbani kwangu jana usiku nikifuatilia tamthlia ya Ruby mara nikapata mgeni.Mgeni huyu ni jirani yangu.Akaniomba nitoke nje ili tukaongelee huko.Akanileleza habari yake kwa...