kina dada mnatuonaje???

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nyie akina Dada nomba mnijibu swali langu kama siwewe mwenzako nanitabia mnayoooo!!!agh!!
Nimekupenda nimekutongoza tumekubaliana wakati tunazugana...Unanipipigia unataka tutoke OUT Dinner sawa Sasa ajabu unataka utoke nakundi lako hivi unapata wapi courage yakunipigia na kundi lako ili niwapeleke dinner??!!kwanini usije peke yako??
Mimi hata sielewi katika hili halafu niwanawake wote au kuna sifa ufahari ukienda kwa boyfriend wako umemjazia nzi:frusty:
 
Sasa huko ni kukosa ustaarabu. Kwa nini mtu upeleke troupe zima? That's a red flag for me...she could just be using you as a meal ticket
 
kaka kiiza wanaogopa unaweza kufanya mambo mengie zaidi ya dinner hasa unapoanza na beer!!!!!!!!!!!
 
Nyie akina Dada nomba mnijibu swali langu kama siwewe mwenzako nanitabia mnayoooo!!!agh!!
Nimekupenda nimekutongoza tumekubaliana wakati tunazugana...Unanipipigia unataka tutoke OUT Dinner sawa Sasa ajabu unataka utoke nakundi lako hivi unapata wapi courage yakunipigia na kundi lako ili niwapeleke dinner??!!kwanini usije peke yako??
Mimi hata sielewi katika hili halafu niwanawake wote au kuna sifa ufahari ukienda kwa boyfriend wako umemjazia nzi:frusty:

weeeee...tafadhali shika.........
 
Hii ya kubeba ukoo on a date huwa nasikia tu sijawahi kuona kwa macho yangu.
Ukiona hivyo ujue haupendwi.Analeta watu kuja kushuhudia anavyokucheza shere.
Mtu yeyote mwelewa anajua fika maana ya date... ni muda wa wapenzi kuwa pamoja na kuongea mambo private. Hiyo privacy itapatikana vipi kama kuna kikosi?
 
Nyie akina Dada nomba mnijibu swali langu kama siwewe mwenzako nanitabia mnayoooo!!!agh!!
Nimekupenda nimekutongoza tumekubaliana wakati tunazugana...Unanipipigia unataka tutoke OUT Dinner sawa Sasa ajabu unataka utoke nakundi lako hivi unapata wapi courage yakunipigia na kundi lako ili niwapeleke dinner??!!kwanini usije peke yako??
Mimi hata sielewi katika hili halafu niwanawake wote au kuna sifa ufahari ukienda kwa boyfriend wako umemjazia nzi:frusty:

Unatongoza "OLD STYLE" Kiongozi:

Siku hizi ni "kitendo bila kuchelewa" - dinner will always come afterwards:

Usimpeleke "Mwanamke" dinner kabla huja-vote: either "Y" or "N"
 
Nyie akina Dada nomba mnijibu swali langu kama siwewe mwenzako nanitabia mnayoooo!!!agh!!
Nimekupenda nimekutongoza tumekubaliana wakati tunazugana...Unanipipigia unataka tutoke OUT Dinner sawa Sasa ajabu unataka utoke nakundi lako hivi unapata wapi courage yakunipigia na kundi lako ili niwapeleke dinner??!!kwanini usije peke yako??
Mimi hata sielewi katika hili halafu niwanawake wote au kuna sifa ufahari ukienda kwa boyfriend wako umemjazia nzi:frusty:

Umenikumbusha ishu kama hiyo ilishawahi kumtokea mshikaji wangu huyo msichana wake alikuja na troop bila jamaa kuwa na idea yoyote na jamaa ndio alikuwa bado kwenye process za kumfukuzia demu basi kufika wacha mademu waanze kuagiza heineken wengine wakawa wanaagiza whisky kuona hivyo jamaa ikabidi aseme anakuja anaenda ****** kumbe ndio kimoja basi unaambiwa kilichotokea huko hao wadada ilibidi waache bond simu zao siku ya siku demu akakutana na jamaa akamwambia umeishaacha tabia yako ya utapeli na jamaa akamuuliza demu umeishaacha tabia ya kuja na marafiki zako ilibidi demu acheke tu.
 
Nyie akina Dada nomba mnijibu swali langu kama siwewe mwenzako nanitabia mnayoooo!!!agh!!
Nimekupenda nimekutongoza tumekubaliana wakati tunazugana...Unanipipigia unataka tutoke OUT Dinner sawa Sasa ajabu unataka utoke nakundi lako hivi unapata wapi courage yakunipigia na kundi lako ili niwapeleke dinner??!!kwanini usije peke yako??
Mimi hata sielewi katika hili halafu niwanawake wote au kuna sifa ufahari ukienda kwa boyfriend wako umemjazia nzi:frusty:

Pole kwa kuletewa kundi and mind the bold text hapo juu.
 
sijui ni aina gani ya wanawake uliokutana nao wewe..
Rekebisha kauli yako si wanawake wote wako kama unavyodhani:argue:
 
Ukiona hivyo unatumika kaka yani buzi..Au uko msumbufu na mtu hakutaki so unakomolewa,Period!!
Mwanamke mstaarabu anaeleewa ni 'date' hawezi kuja na kundi lake..Uwe mkali kwa huyo dada siku ingine!!
 
Hapo yawezekana ikawa: wamekuona buzi, una fedha nyingi kutokana na matangazo yako, unamfuatilia sana demu lakini hakupendi, demu hajiamini au ndo maharage ya mbeya hivyo anaogopa, demu hana busara kwa kifupi ni limbukeni, yawezekana ulimnyang'any'a mwenzako sasa anakukomesha.

Lakini haiingia akilini mtu akupigie simu kwamba tunatoka dinner, then aje na kundi la watu halafu kibaya zaidi bilia kukwambia na wewe ndo ulipe bill. ningekuwa mimi nisingelipa ningelipia tu kinywaji au chakula changu tu halafu naanzisha ili macho yawatoke. sidhani demu kama huyo anafaa kwa lolote nafikiri hata kwenye sitakwa sita atakuwa mvivu kupindukia.
 
sijui ni aina gani ya wanawake uliokutana nao wewe..
Rekebisha kauli yako si wanawake wote wako kama unavyodhani:argue:
...Tuliza mzuka FL1, haya mambo kweli yapo mi nimekutana na hiyo just 2 weeks ago. nime-date na binti hiyo ni baada ya mara kwanza kumtangazia nia yangu. alikuja land mark hotel pale na wasichana wengine wawili akadai mmoja ni rafiki yake sana na mwingine ni mdogo wake wanaefatana katika kuzaliwa eti alitaka aje amuone shemejie mtarajiwa. na bahati nzuri wote ni wadada wanaomeza kinywaji vizuri tu. The following day nilimueleza sikufurahia ujio wake na wale wenzake ukizingatia ndio kwanza tunaanza urafiki..Of course si wanawake wote, ila wengi hako katabia kapo sana!!???
 
Labda amezoea na hajawahi kupata malalamiko kwahiyo anaona sawa tu.
Mwambie sio vizuri asipokuelewa KIMBIA!!:closed_2:
 
Back
Top Bottom