Nimelikoroga, limenishinda kunywa.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,841
Nililala magendo.
Mtu wangu akanipigia,
niliye lala nae akaanza kuporomosha matusi.
Sijui nifanyeje kurejesha uhusiano wangu.
Magendo nilienda tu, sina mapenzi nako hata kidogo.
Naombeni mnisaidie, sitorudia tena kuisaliti ndoa.
 
ungekuja kuomba ushauri kabla hujaenda kulala fasi/magendo
 
Kuna ile thredi ya Teamo....isome mwanzo mwisho.....maumivu yakizidi ni-pm
 
mpe maneno mazuri,kumbushia tangu uhusiano wako na mke wako ulivyoanza,ikibidi hata barua ya mapenzi muandikie mke wako.wanawake ni rahisi kusamehe. Na ahadi ya kutokurudia usirudie tena. Vile vile ikibidi kumtoa out mke wako mtoe.
 
Hahaha!!wakati unakula raha hukutaka ushauri wetu halafu saivi ndio unajidai umetukumbuka??ukipanda uhuni lazima uvune uhuni!!
 
sasa kama umelikoroga unashindwaje kulinywa?....
at listi weka sukari kidogo basi kama limezidi magadi
 
sijajua wewe ni he/she.. nn kilikutuma ukalale magendo?
Kinachofatia hapo ni kupigwa chini
 
Mungu na akufundishe, aziniye na mwanamke hana akili kabisa, utakula ulichopanda. hata kama huyo mmeo au mkeo hatakuadhibu, adhabu ya Mungu iko juu yako, lazima uadhibiwe. labda uokoke kwa kutubu dhambi hiyo na kuiacha kabisa. zinaa ni dhambi inayokula nafsi ya mtu na kupoteza hata thamani ya mtu,baraka etc. ni kwasababu hata Mungu anasema, pamoja na kwamba dhambi zingine huwa zinafanyika rohoni, zinaa inafanyika mwilini kabisa kwasababu inagusa na kuunganisha miili ya watu wawili na kuwa mwili mmoja. hivyo hata matatizo mtagawana, kama uyo uliyelala naye alikuwa na mapepo hamsini, atakugawia kadhaa, kama ukilala na wenzi zaidi, the more you increase the number, the more demons you get, na laana hiyo hata isipokutafuna wewe itakuja kuwatafuna watoto wako hadi kizazi cha nne. ENYI WANADAMU, MWOGOPENI MUNGU, kama hamuwaogopi wanadamu ambao hawawaoni, mkeo mmeo ambaye hakuoni, basi mwogope Mungu, oneni aibu kwa Mungu kwasababu anawaona tangia mnapotongozana hadi mnapofanya uchafu huo...Mungu anawaangalia tu...na anawahurumia ndio maana hajawaangamiza. Umejikita kwa shetani, shetani kazi yake ni kuua kuchinja na kuharibu...hivyo uwe tayari kwa lolote litakalo tokea kwako, iwe ukimwi, kaswende, kupigwa mapanga na wanaoibiwa, kufanywa chochte kila, kuingiliwa na mapepo ya kila aina...etc...LAKINI KAMA UKITUBU DHAMBI KWA KUMAANISHA KUZIACHA, ukamkumbuka Mungu wako, atakusamehe na kusahau kabisa...only kama unatubu kwa kumanaisha kuziacha...
 
Nililala magendo.
Mtu wangu akanipigia,
niliye lala nae akaanza kuporomosha matusi.
Sijui nifanyeje kurejesha uhusiano wangu.
Magendo nilienda tu, sina mapenzi nako hata kidogo.
Naombeni mnisaidie, sitorudia tena kuisaliti ndoa.

Pole sana.......tubu Mungu na mkeo watakusamehe!
 
Hivi huyo jamaa ameomba ushauri wa kumsaidia, au ameomba risala zenye vitisho?
Mtu akiomba mkate na apewe mkate kamwe asipewe jiwe
 
Wanawake tuna huruma, hebu nenda kajieleze vizuri ataelewa. Usiende kuongeza uongo hata kidogo, wewe sema ule ukweli ulio moyoni mwako na uahidi kutorudia.

Huyo hajaandika risala, angalia points tu zinavyoenda utagundua ana maana gani. Unajua unapofanya matendo ya uovu unaona kama vile huonekani kwa binadamu mwenzio lakini kwa Mungu je??

Tafakari!
 
Mungu na akufundishe, aziniye na mwanamke hana akili kabisa, utakula ulichopanda. hata kama huyo mmeo au mkeo hatakuadhibu, adhabu ya Mungu iko juu yako, lazima uadhibiwe. labda uokoke kwa kutubu dhambi hiyo na kuiacha kabisa. zinaa ni dhambi inayokula nafsi ya mtu na kupoteza hata thamani ya mtu,baraka etc. ni kwasababu hata Mungu anasema, pamoja na kwamba dhambi zingine huwa zinafanyika rohoni, zinaa inafanyika mwilini kabisa kwasababu inagusa na kuunganisha miili ya watu wawili na kuwa mwili mmoja. hivyo hata matatizo mtagawana, kama uyo uliyelala naye alikuwa na mapepo hamsini, atakugawia kadhaa, kama ukilala na wenzi zaidi, the more you increase the number, the more demons you get, na laana hiyo hata isipokutafuna wewe itakuja kuwatafuna watoto wako hadi kizazi cha nne. ENYI WANADAMU, MWOGOPENI MUNGU, kama hamuwaogopi wanadamu ambao hawawaoni, mkeo mmeo ambaye hakuoni, basi mwogope Mungu, oneni aibu kwa Mungu kwasababu anawaona tangia mnapotongozana hadi mnapofanya uchafu huo...Mungu anawaangalia tu...na anawahurumia ndio maana hajawaangamiza. Umejikita kwa shetani, shetani kazi yake ni kuua kuchinja na kuharibu...hivyo uwe tayari kwa lolote litakalo tokea kwako, iwe ukimwi, kaswende, kupigwa mapanga na wanaoibiwa, kufanywa chochte kila, kuingiliwa na mapepo ya kila aina...etc...LAKINI KAMA UKITUBU DHAMBI KWA KUMAANISHA KUZIACHA, ukamkumbuka Mungu wako, atakusamehe na kusahau kabisa...only kama unatubu kwa kumanaisha kuziacha...

mbona umemlaani mpaka kizai cha nne?
 
Wanawake tuna huruma, hebu nenda kajieleze vizuri ataelewa. Usiende kuongeza uongo hata kidogo, wewe sema ule ukweli ulio moyoni mwako na uahidi kutorudia.

Huyo hajaandika risala, angalia points tu zinavyoenda utagundua ana maana gani. Unajua unapofanya matendo ya uovu unaona kama vile huonekani kwa binadamu mwenzio lakini kwa Mungu je??

Tafakari!
...Mkuu usiwe na mashaka shetani na malaika wote wameumbwa kwa ajili yetu. kama ulichepuka kidogo sioni kama ni tatizo saaaana after all ni mara yako ya kwanza so tulia mrudie huyo la aziz mtake radhi kwani mema na mabaya yote tunatakiwa kuyatumia ingawa kwa viwango tofauti. Utaeleweka tu ila jaribu kuepuka siku nyingine tamaa isikushinde nguvu maana kuna wapenzi wengine akili zao ziko kuharibu mambo ya wenzao tu!!!:frusty::frusty:
 
Regret ion comes after action sory 4u u sould have known from the start we ushamaliza kabisa unaomba tukusaidie kushuhulisha???
 
Back
Top Bottom