Akina dada siku hizi mmekuaje???

Jumboplate

Senior Member
Jul 29, 2008
133
10
Nakumbuka wakati wa zamani kidogo ilikuwa kazi sana kumtongoza msichana, yani ilibidi uwe umejiandaa sana kwanza kabisa kupata nafasi ya kukutana naye, pili kupata nguvu za kufunua mdomo ili umweleze maneno yaliyopo moyoni mwako (kumtongoza) na tatu kupata subira wakati unasubiri ujibiwe ombi lako la kufanya naye mapenzi. Process yote ilichukua si chini ya wiki mbili hadi miezi.
Wakinadada wa sasa naona kama vile hali imekuwa tofauti sana...yani kuna wakati siamini kuwa mtu anaonana na demu for the first time halafu namtongoza kisha wanafanya mapenzi within 3 hours za tokea walipokutana!!!!mbaya zaidi kuna wengine wanatongozwa hata kwa sms bila hata ya kuonana uso kwa uso hadi wanakubaliana kukutana na kufanya mapenzi!!
Sasa bado sijajua tatizo ni nini...ingawa kwetu sisi wanaume imeturahisishia kidogo lakini ikizidi inaondoa ile ladha ya kutongoza. Na siamini kuwa eti labda wanaume wa sasa wamejaaliwa seducing power kuliko wa zamani, sasa je tatizo (kwa wanaume nimesema si tatizo) ni nini hasa dada zangu???
 
Mazee usilinganishe ulimwengu wa washenga na sanduku la posta na ulimwengu wa e-mail na sms. Utakuwa unaenda against entropy na kanuni ya pili ya miendomoto.
 
Hahaha!! nimekusoma ila wasiwe rahisi kiviiiiiile....
 
Mambo ya kidhungu, time is money..............there no hurry in africa but there's hurry in Tanzania

Ndo maana mnaoana leo kesho mnaachana
 
Mbona mnatuandama sana wewe Jumboplate??kama mtu kakupenda kwa nini ajivunge?? au akupige tarehe ya nini sasa?? au kama amekutamani na anakutaka kimwili kwa nini ajivungevunge?? au wewe unapendwa kuzungushwa zungushwa utuambie??
 
ha ha yani hapa mambo yamekuwa ngoma droo sijui jamaa anacho-complain nn ,ya nini kujipa tabu maisha yenyewe mafupi namna hii

Bi shosti hapo umenena mwenzangu.

inaonekana jamaa hataki wadada wanaomkubali kirahisi anaishia kulalamika. na akipata mdada anayempiga tarehe nayo inaweza kuwa tabu. sijui asaidiweje
 
Nakumbuka wakati wa zamani kidogo ilikuwa kazi sana kumtongoza msichana, yani ilibidi uwe umejiandaa sana kwanza kabisa kupata nafasi ya kukutana naye, pili kupata nguvu za kufunua mdomo ili umweleze maneno yaliyopo moyoni mwako (kumtongoza) na tatu kupata subira wakati unasubiri ujibiwe ombi lako la kufanya naye mapenzi. Process yote ilichukua si chini ya wiki mbili hadi miezi.
Wakinadada wa sasa naona kama vile hali imekuwa tofauti sana...yani kuna wakati siamini kuwa mtu anaonana na demu for the first time halafu namtongoza kisha wanafanya mapenzi within 3 hours za tokea walipokutana!!!!mbaya zaidi kuna wengine wanatongozwa hata kwa sms bila hata ya kuonana uso kwa uso hadi wanakubaliana kukutana na kufanya mapenzi!!
Sasa bado sijajua tatizo ni nini...ingawa kwetu sisi wanaume imeturahisishia kidogo lakini ikizidi inaondoa ile ladha ya kutongoza. Na siamini kuwa eti labda wanaume wa sasa wamejaaliwa seducing power kuliko wa zamani, sasa je tatizo (kwa wanaume nimesema si tatizo) ni nini hasa dada zangu???

Jumboplate:

Utafiti umeufanyaje huu? Au wewe una do and ku go?

Umewatongoza wewe mwenyewe au unaambiwa na wanaotongoza?

BTW: Jamii ya wakati ule na sasa ni tofauti ki-maisha: Wakati ule the so called "kutongoza" ilikuwa ni "process" kwa sababu ya "nafasi": Sasa uki-mind msichana you say it, arrange it, do it, and leave it - in fact ni matter of minutes not hours!
 
Hiyo ni Sayansi na Technology ya kisasa,mambo ayo yana kuwa supported by Email,Mobile Telephone,TV,Radio,Barabara za lami,Magari n.k
Mana enzi zile za miaka ile kulikuwa akuna simu sasa fikiria msichana anakaa Gongolamboto wewe unaka Tegeta utampataje akuna daladala,akuna simu za kuongea nae ata kumpa salamu.
Maendeleo ayo.:sick:
 
Jumboplet Umenifurahisha kama sikunichekesha hivi........umri wakushi nimiaka 38-40 sasa kama unatakwa kutongoza wanawake 20 katika maisha yako uoni hautawapata??Zamani mda wakuishi ulikuwa mwingi!!!
Ila pia inawezekana umekutana nawanawake desgn gani nayo hiyo hatuwezi kuisahau hila JUMBOPLAT kule Iringa mbona wapo kama unawataka??
Vile vile umesahau Generation tuliyonayo ulaya utakaa miaka mingi bila yakupata mwanamke ukisubiri kutongonzanani anataka kupoteza mda kwa maneno yako yenye ndimu???
I feel tu acrew can i??with you have time??simple and easy no kupoteza mda!!Kushangaa mara moja!!!
 
Mambo hayajabadilika. Ni kwa vile zamani kulikua hakuna e-mail na facebook na SMS. Zingekuwepo mambo yangekuwa kama unavyoyaona leo.

Walimwengu hawajabadilika, ilimwengu ndio umebadilika mkuu.
 
Nakumbuka wakati wa zamani kidogo ilikuwa kazi sana kumtongoza msichana, yani ilibidi uwe umejiandaa sana kwanza kabisa kupata nafasi ya kukutana naye, pili kupata nguvu za kufunua mdomo ili umweleze maneno yaliyopo moyoni mwako (kumtongoza) na tatu kupata subira wakati unasubiri ujibiwe ombi lako la kufanya naye mapenzi. Process yote ilichukua si chini ya wiki mbili hadi miezi.
Wakinadada wa sasa naona kama vile hali imekuwa tofauti sana...yani kuna wakati siamini kuwa mtu anaonana na demu for the first time halafu namtongoza kisha wanafanya mapenzi within 3 hours za tokea walipokutana!!!!mbaya zaidi kuna wengine wanatongozwa hata kwa sms bila hata ya kuonana uso kwa uso hadi wanakubaliana kukutana na kufanya mapenzi!!
Sasa bado sijajua tatizo ni nini...ingawa kwetu sisi wanaume imeturahisishia kidogo lakini ikizidi inaondoa ile ladha ya kutongoza. Na siamini kuwa eti labda wanaume wa sasa wamejaaliwa seducing power kuliko wa zamani, sasa je tatizo (kwa wanaume nimesema si tatizo) ni nini hasa dada zangu???

hali hiyo ya 'kufukuzia 'bado ipo ila wakati anangojea JIBU la 'anayeremba'... anakuwa anjinafasi na yule'asiyeremba'...:kev:... wadada wanchelea mwana kulia..!!
 
Ni shetani anayefanya kazi ndani ya tunayoyaita maendeleo. SHida tupu. Wadada wa siku hizi wamejirahisi mno na hata wanatongoza wanaume. hatari tupu.
 
kwa kweli raha ya mwanaume ni kufukuzia binti kwa muda mrefu. Hali hii inampa mwanaume bashasha, na hamu zaidi. Siku akimpata mtoto anajisikia bingwa. Hii ya kufikia kumpata bila mbinde, inakuwa haina raha wala hamasa. Kufukuzia kwa muda mrefu ndo raha!
 
ni wapi iliainishwa kuwa haki ya kutongoza wanayo wanume tu??? kwa nini niugulie feeling zangu kwa mtu??

Is it a crime to fall in love and put clear your feelings to person you love only b'coz am a lady?

aaah people give me a break!!!!
 
kwa kweli raha ya mwanaume ni kufukuzia binti kwa muda mrefu. Hali hii inampa mwanaume bashasha, na hamu zaidi. Siku akimpata mtoto anajisikia bingwa. Hii ya kufikia kumpata bila mbinde, inakuwa haina raha wala hamasa. Kufukuzia kwa muda mrefu ndo raha!

ooh so its a game you enjoy playing huh??? no wonder mkipata mlichokuwa mnafukuzia hata vumbi lenu huwa halionekani!!!
 
Back
Top Bottom