Mie nahisi mungu hapendi wanawake...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mie nahisi mungu hapendi wanawake......

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Fab, Jul 10, 2010.

 1. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanawake wanabeba mimba na kuzaa kwa uchungu.....

  wanawake wanakwenda hedhi kila mwezi sometimes inaambatana na maumivu makali....

  ukitolewa bikira mwanamke inaambatana na maumivu makali wakati wanaume wanapeta tuu...lol

  wanawake wamepewa siku chache za kuenjoy sex wakati wanaume wanaenda mpaka miaka 70......

  mungu ameonyesha upendeleo kwa kiumbe mwanaume, kama dhambi ya asili tulishiriki wote kwa nini wanawake tu ndio tuadhibiwe kwa kuishi kitabu tabu tu?.....:A S 39::A S 39:

  sikujua niiweke wapi hii:cool::cool:
   
 2. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Lakini si mnakumbuka wakati wa uumbaji wa binadamu wa kwanza Adam na Eva, nyoka alikuja kumdanganya Eva na kisha akala tunda alilokatazwa halafu akampa na mumewe Adam naye akala. Kilichotokea baada ya kila mmoja alipewa adhabu yake. Adam aliambiwa "utakula kwa jasho" ndio maana wanaume tunahangaika kutafuta chochote. Eva aliambiwa "utazaa kwa uchungu"
  Wote wamepewa siku nyingi ila kwa mwanamke uwezo wa kuzaa ndio unapungua lakini maswala ya ndani ya 18 penati zinapigwa kama kawa. Ehe he he he...
   
 3. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapana uwezo wa kuzaa ukifika kikomo na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kwa mwanamke ndio umefika kikomo!sababu linaendesha na hormones unless ufanye hormon replacement therapy....

  ingekuwa uwezo wa kushiriki tendo la ndoa unabaki si tungejidai sana? :A S tongue::A S tongue:
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Mungu anawapendelea wanawake......
  Kwa sababu sisi wanaume hata uwe vipi huwezi
  kuishi bila mwanamke....
  But wanawake mnaweza ishi wenyewe.......
  Sisi we depends on you...more than you depends on us.....
   
 5. k

  kamalaika Senior Member

  #5
  Jul 10, 2010
  Joined: Mar 16, 2007
  Messages: 187
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Women almost always have higher life expectancies than men.
   
 6. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  on a positive side...

  Thanks ka-angel kakague nimekuongea!
   
 7. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Pamoja na machungu uliyoyataja Mungu kawajalia wanawake moyo mkuu wa upendo, uvumilivu na kujitoa.
   
 8. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  acha utani aisee, sisi wanaume azabu yetu tumepewa mission imposibo . kumridhisha mwanamke akarizika kimaisha ,kwangu mimi naita mission impossible.
   
 9. American lady

  American lady Member

  #9
  Jul 10, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 71
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Mmmmmh! si kweli mungu anatupenda sana tena sana.Tena namshukuru mungu kwa kunifanya mm mwanamke.Mungu zidi kuongeza wanawake wengi duniania.
   
 10. Ras

  Ras Senior Member

  #10
  Jul 11, 2010
  Joined: Mar 16, 2007
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani ni kwa vile ni ninyi mlioanza kushawishiwa na kisha mkakubali kulila lile tunda na kumpa yule jamaa pia(Mkamshawishi) kwa hiyo lazima mpate adhabu kali zaidi.
   
 11. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  No comment...... mwacheni Mungu aitwe Mungu!
   
 12. Q

  Qadhi JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  We have been created in a balanced and harmonious way~~
   
 13. Ras

  Ras Senior Member

  #13
  Jul 11, 2010
  Joined: Mar 16, 2007
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mkuu, lakini kwa nini ikawa hivi kwa hawa wenzetu?? kila kitu kwao ni uchungu wakati sie twafurahia!!! Kuzaa uchungu wkt wewe wafurahia kuitwa baba, MP matatizo, Bikra pia nayo!! :frusty:mi nadhani pengine ni kweli Mungu alikasirishwa sana na lile tendo walilofanya! Mimi huamini kuwa ktk kila jambo litokealo au lilotokea hapa duniani huwa na sababu yake!
   
 14. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Zambi ya Asili? kwa kosa gani mlilo lifanya?. Basi Mungu wako wa ajabu kwelekweli, kosa la wengine uazibiwe wewe. hakuna kitu zambi ya asili ni kutiana ujinga tu!, ulishiriki lini kuitenda zambi hiyo
   
 15. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Unaamini kweli mungu hawapendi wanawake au kufurahisha baraza?!

  Maana nashangaa Mungu unae miamini ukampa Ila( weakness) ya kutipenda jinsia fulani.

  Tukisema Mungu ni muadilifu na mwenye upendo kwa wote hawezi kuchukia wanawake...unless mwenzetu uwe a non believer na unataka upatiwe maelezo ya kwa niñi wadini wanasema mungu ni muadilifu
   
 16. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  ...sababu gani zinazokufanya uone ni jambo la kumshukuru mungu kuzaliwa mwanamke?...do you mind to share,ili sie tunaokwazika tukifikiria haya mateso yanayoambata na uanamke tuwe tunapata faraja tukizifikiria sababu zako?
   
 17. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaribu kuheshimu miungu ya wengine...utakuwa na amani lol:lie:
   
 18. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angekuwa na upendo kwa wote asingemuwekea mwanamke tabu zote hizi....

  I am a believer but everytime i see my Monthly period......i wonder if GOD loves us women?why would he let us go through this helll?

  i dont have kids myself,but from watching telly and listening to others....having a baby is the most painful thing on earth....why would god allow this,if he loved us at all?

  the most weird thing is to listen to some women,who says despite all those misuko suko they enjoy being a woman,what do you enjoy in having a period?:A S-eek::A S-eek::A S-eek::mad::mad::lie:
   
 19. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Yaani wee acha tu. Na kila kukicha demand zinaongezeka
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,569
  Trophy Points: 280
  Fab, mimi nisingependa kulijibu hili swali kama Mungu hawapendi Wanawake, lakini niliwahi kuona swali katika mtandao mwingine ambapo aliyeuliza swali alitaka kujua kama watu wa jinsia mbali mbali wangepata nafasi ya kuzaliwa tena na kupewa uwezo wakuchagua jinsia wanayoipenda.

  Nilishangazwa na majibu ya wanawake ambao idadi kubwa ya waliojibu walisema kama kungekuwa na uwezekano kama huo basi wangependa kuzaliwa Wanaume, hakuna hata mwanaume mmoja kati ya wale waliojibu aliyependa kuzaliwa na mwanamke.
   
Loading...