Wanawake - Ni lipi linauma zaidi na kwa nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake - Ni lipi linauma zaidi na kwa nini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Chapakazi, Jul 16, 2010.

 1. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  habari wandugu;
  Katika maongezi mbalimbali na wanawake tofauti, nimepata picha kuwa, kwa maoni yao, ni nafuu kwa mwanaume wake (mume, boyfriend) ku-cheat na mwanamke mwenzake kuliko ku-cheat na lidume - aka homosexuality! Kwanza...je wanawake mnakubaliana na hili?
  Pili, kama ni hivyo, kuna mambo machache ningependa kujua. Kwangu mimi kama mwanaume, mke aki-cheat na mwanamke mwenzake au mwanaume mwingine, yote ni level moja ya kosa! Yani jinsia haijalishi bali kosa lenyewe.
  Je,kwa nini wanawake wanatofautisha haya makosa mawili kulingana na jinsia?
  Ina maana wanawake hu-feel kuwa primary objection yao ni kuwa-service madume kiasi kuwa ikitokea mwanaume atakayemsaidia katika hii shughuli, ni sawa na kumdhalilisha huyu mwanamke katika kutimiza hii objection yake na hivyo inamshushia hadhi ya kuwa mwanamke kamili?
  Kwa nini mwanamke aumie zaidi kama mwanaume ata-cheat na mwanaume kuliko mwanaume ku-cheat na mwanamke?
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  I dont believe what im reading!
  Ina maana kucheat na mtu wa jinsia moja na yule wa jinsia tofauti yote ni sawa?!

  Sikubaliani na msemo au dhana hii.Kuna tofauti kubwa mno.
  Fikiria wewe ni mwanaume, usikie mkeo anacheat na mwanamke mwenzie... hutajiuliza huyo mwanamke mwenzake na mkeo kakuzidi nini maana ndio zenu kujaribu kujiuliza mpaka mke acheat wewe mume umeshindwa nini!

  Binafsi, assuming inatokea kwa mwenzangu, wala sitajihangaisha naye tena..sitaki kesi wala malumbano.... ni kutafuta utaratibu mwingine wa maisha maana huyu siyo mume material tena.

  Aki cheat na mwanamke, iko "within "acceptable inacceptable" deviations" japo inauma.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Jul 16, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kile kitu kinachoitwa "male ego" ni cha ajabu sana. Ni vigumu kwa she kama wewe kukielewa.

  Ngoja nijaribu huenda ukaelewa. Kwa mwanaume, mwanamke wako akiibia na njemba ingine ni kitu cha kudhalilisha sana. Kitakufanya ujiulize mambo mengi sana. Kwa mfano, utaanza kujiuliza kama hiyo njemba ingine ina dhakari kubwa kuliko yako. Utajiuliza labda hiyo njemba ingine ina mapigo mazuri kuliko yako, na utajiuliza kama hiyo njemba ingine imemfikisha kunako huyo mwanamke wako na mambo mengine lukuki. Akiibia na mwanamke mwenzake utajua tu kuwa walikuwa wanayeyushana tu kwa sababu zile 'strap-ons' sio substitute ya dhakari halisi. Lakini njemba ingine ni kwamba ina kitu ambacho wewe pia unacho lakini pengine you just don't measure up to what he's got...Lol...Now, how depressing is that?

  Pia, kwa asili sisi wanaume ni 'conquerers' na tuko 'territorial' sana. Angalia tu hata kwenye wanyama - jinyama dume kama simba ndo huwa mstari wa mbele ktk kulinda himaya au anga zake. Vivyo hivyo kwa masokwe, nyati, na wanyama wengineo. Ikitokea kwa mfano kuna simba dume limeingia kwenye anga za simba dume mwingine halafu kuwe na simba wa kike, basi lazima hayo madume mawili yatakoromeana na huenda zikapigwa.

  Kwa kiasi fulani nadhani fikra za wanaume na hizo 'ego' zao husukumwa na viwango vya homoni ya testosterone ambayo ndio homoni ya kiume. Kadri idadi/ kiwango cha homoni kinavyozidi kuongezeka na 'aggressive behavior" na yenyewe ndo inazidi kuongezeka. Ndio maana utakuwa wale wanaume wenye viwango vidogo vya testosterone wanakuwa na mannerisms za kike.

  Sasa, mimi kama mwanaume nije kugundua kuwa demu wangu anasagwa na demu mwenzake, ukweli wa mambo ni kuwa nitachukizwa na hiyo itakuwa ni grounds for her dismissal. Lakini sidhani kama itaniuma kama itakavyoniuma endapo demu wangu atamegwa na njemba ingine. That's just the way it is.
   
 4. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  1. What part do u not believe or what makes u not believe what u r reading? - i'm actually interested in this answer?

  2. Kwani aki-cheat na mwanamke mwingine...hutajiuliza huyu mwanamke mwingine anampa nini zaidi? Au is it the comfort kuwa u feel u will be able to compete with her due to similar physical appearance?
  I believe kwa wanaume our thought process is different. iwe ame-cheat na mwanamke au mwanaume the ego is bruised to the same extent! Tena i think i wld prefer a-cheat na mwanamke kuliko kutembea na lidume maana nadhani kwangu kutembea na lidume ingeuma zaidi, just the fact that lidume lingine limepita hapa...as opposed to mwanamke mwingine amepita hapa. Na sababu kuu I wld say ni kuwa in the end mwanamke atembee na mvulana au msichana, the physical act is the same! Lakini kwa mwanaume...ni tofauti. Labda ndo maana inawauma wanawake maana inaumiza u-mwanamke wake zaidi! Just wonderin...
   
 5. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  No comment!
   
 6. RR

  RR JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Don think hii ya kutumia njemba ingine inakua cheating.....hiki ni kitu kingine!
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Jul 16, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Niongeze...kama mwanamke wangu ameamua kuibia na mwanamke mwenzake, hitimisho langu litakuwa kuwa alikuwa na mwelekeo wa kupenda jinsia moja na si kwamba kuna kitu alikuwa anakosa kutoka kwangu. Ila akiibia na njemba, katika fikra zangu nitawaza kuwa labda nilikuwa simridhishi anavyotaka na ndio maana ametoka.

  Mwanamke ana nini kimaumbile cha kunizidi hadi kunifanya nihuzunike kama mwanamke wangu akiibia na mwanamke mwenzake?
   
 8. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  hahahahha..ama kweli elimu ni bahari haina mwisho!
  Nimejifunza kitu kipya kwa NN na waliochangia so far.
   
 9. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mwanaume kutembea na mwanaume mwingine si mbaya tu na kwamba inaumiza mkewe lakini hasa ni ule UCHAFU wa kimwili na kimaadili ambao mwanaume aliye-cheat anakuwa ameupata. Hii perversion ya kwenda kinyume na maumbile nadhani ndo inaumiza zaidi mwanamke. Aki-cheat na mwanamke mwingine ni mbaya pia lakini ina nafuu kwa vile mwanaume amefanya lulingana na MAUMBILE (nature) hakukiuka tabia ya tendo la ngono kwamba ni kati ya mwanaume na mwanamke na si kati ya mwanaume na mwanamke
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Jul 16, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Loooh ningependa kujua hicho ulichojifunza.....kama hutajali maana hata mimi najifunza vilevile
   
 11. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Will tell u soon
   
 12. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  WomanOfSubstance - Uko fit sana kwenye QAQC...teminology hizi zinatumika sna...pande hizo this is second nasoma post yako ina term hizi...ila ya U can preditic with precision like Pweza wa WC2010.

  Come to the topic...Sipati Logic ya mwanamke au mwanaume kuwa na uchungu akisikia mkewe au mumewe akifanya au akijamiiana na mwanamke mwenzie au mwanaume mwenzio..what i can understand ni kwamba kama she ana saga?then wewe mwanaume huna la kufanya wala hujashidwa kitu ni matatizo binafsi.Same same to Mumeo..this bad...as litakuwa lishakuwa mboga.

  Am out.
   
 13. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  homosexuality bado haijawa accepted kny society yetu,ni mfumo bado uncommon,......ni jambo la aibu na fedheha kuwa gay!so mume wangu akicheat na mwanamke at least huu ni mfumo uliozoeleka tangia enzi,na ni jambo almost la kawaida...BUT on the other hand akicheat na mwanaume mwenzie...kiuzito ni sawa amekubebesha aibu TWICE AS MUCH.....ndio maana linauma,ni sawa na kusikia mumeo amecheat na underage,ama na mnyama yapooo sooo uncomon kwa hio wanaofanya hivyo ni sawa na wanakubebesha AIBU ZAIDI....

  hivo hivo!:A S-eek:
   
 14. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Me nadhani umekuja na hoja nzuri, lakini unajaribu kulinganisha vitu ambavyo HAVIENDANI!

  Hivi ukiulizwa na mtu, harufu ya kuku wa "kukaanga" na perfume ya "sure" ipi inanukia zaidi, we utajibu nini?

  Vyote vina harufu nzuri, lakini huwezi linganisha. Huwezi pulizia perfume chakula kinukie vizuri, au huwezi paka kuku wa kukaanga kwenye shati unukie. Kila kitu kina pahala pake.

  Na ndivyo ilivyo kwenye swali lako. Kumfumania mwenza wako na jinsia tofauti, na kumfumania na jinsia moja (homosexuality), vyote vinauma, ila maumivu yake ni ya tofauti. Huwezi linganisha.

  Kuna wale wanaouliza eti, kati ya mimi na mama yako nani unampenda zaidi? Tangu lini upendo wa mama ukafanana na upendo wa mpenzi?

  Pengine ungeuliza, Je, mwanaume akifumaniwa na mwanaume mwenzie, na mwanamke akifumaniwa na mwanamke mwenzie, ipi ni mbaya zaidi?

  Mama yangu alishawahi kuniambia kuwa, kuna tofauti kati ya "mtu akijisaidia pembeni ya choo" na "mtu akijisaidia pembeni ya jiko". Vyote ni vinyesi, ila havilingani.
   
 15. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ile ya kucheat na mwanamke hata mungu anasamehe lakini hii ya pili mungu hasamehe kwahiyo mie ni kiumbe dhaifu siwezi samehe... whatever happen to the world? some ppl here promotes infidelity and some are trying to promote the most disgusting thing in the world (homosexuality) :mad:
   
 16. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kuna siku nilizungumza na dada from Asia huko akasema yeye mumewe Kama akifanya cross dressing tu (sio gay kabisa) hatajali hata kidogo.....na anaweza hata kumuazima nguo zake kwa sababu anaamini kuwa anapendwa Ila mwanamme ametaka tu to explore his female feelings.

  Na akaniambia kuwa ni mtazamo wawatu wengi wa Asia Kama Japan, Thailand, Singapore .....

  Sasa wewe mwanamke wa kiafrika pata picha Mumeo awe anapenda kuvaa nguo za kike!
   
 17. bht

  bht JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  dhambi ipi inapata msamaha kwa Mungu na ipi haipati?
   
 18. U

  Ujengelele JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2010
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 1,256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wengine hupenda hata kunyonywa na kuingizwa dildo kubwa tu kwa nyuma ndani ya nyumba ndogo. Waweza kudhani usiwe na wasiwasi kwa kuwa yuko na mama mwingine lakini huyajui anayaombwa kufanyiwa huko na hawezi kuyaomba nyumbani.
   
 19. R

  Renegade JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Dhambi zoote zinasameheka, Mungu anaangalia moyo na Dhamira halisi ya mkosaji kutaka kubadilika na kubadailiki kiukweli, Ukitambua kuwa wewe ni mosaji na ukatubu na kugeuza njia zako, umesameheka, Mungu anasema usiwe moto wala baridi vinginevyo utatapikwa, Usianguke na kusimamasimama, ukisimama simama. Usirudi nyuma.
   
 20. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hapo pekundu ndo ningependa kujua...nini hasa tofauti yake? Na kwa nini iwaume wanawake zaidi kuliko wanaume? hayo ya kutoweza kulinganisha ni ya kwako!
   
Loading...