Kwani ckuhizi viongozi wanatafuta wapenzi majukwaani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwani ckuhizi viongozi wanatafuta wapenzi majukwaani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kaka h, Sep 6, 2010.

 1. k

  kaka h Member

  #1
  Sep 6, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eti jamani kuna hili swala mimi nashindwa elewa iweje mahusiano ya kimapenzi ya viongozi yatumike kama sera za vyama vingine.....ooh! Dk.slaa ana mchumba oo! kachukua mke wa mtu.....kwani hawa wapenzi ndo sera? mimi nadhani wajiaibisha au wadau mnaonaje.....
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Makamba analo jibu sahihi.
   
 3. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Wenye akili finyu watabaki wakibadilishana hayo, badala ya sera halisi....!
   
Loading...