Naombeni ushauri jamani

Pearl

JF-Expert Member
Nov 25, 2009
3,036
309
Naombeni ushauri wenu jamani,mimi ni msichana wa miaka 27 sasa,kwakweli nimekuwa nikimuomba Mungu sana anipe mume mwema,mwenye kunijali,kuniheshimu kunipenda mm na familia yangu,ingawa kuna mkaka nimekuwa nikimdate for 3yrs sasa lkn namuona hayuko serious yani mfano wote tuko dar mwezi mzima hatuonani ukiuliza eti ni ubusy,wknd wala haulizi niko wapi au na nani,miaka yote hii familia yake hakuna hata anaenifahamu lkn mm kwetu watu wooote wanamfahamu,kuhusu ndoa anasema yy bado yupo yupo sanaaaaaaaaaaaaa,kiukweli sitaki kuwaza kama ana cheat yy na Mungu wake ndo wanajua,sasa ni mwezi wa pili sasa nimepata mtu anaenipenda sana na kunijali mm na familia yangu na anasema yuko tayari kunioa yy anamiaka 45,sasa jamani je niolewe na huyu labda Mungu kajibu maombi yangu,na yule mwingine nimwambiaje?je umri nao si kikwazo?naombeni ushauri wenu .
NB:SI MM JAMANI NI RAFIKI YANGU KANITUMIA HIYO MAIL NIMEEDIT KIDOGO.
 
huyo anaem date hayupo serious, na kama ameshasema bado yupo yupo huyo rafiki yako anakazania nini tena hapo, mawasiliano yenyewe zero... hebu tupe maelezo kidogo kuhusu huyo 45yrs plz, ni kwamba alichelewa kuoa, ni kwamba alioa ya kawa ya kuwa au au? then niendelee.
 
Kwa jinsi alivyoeleza huyo wa kwanza anaelekea ni mzushi na yaelekea hana mpango nae kivile. Na huyo wa pili mmh, mwambie apime mwenyewe. Binafsi hiyo difference ya age ya 18 yrs inanitatiza. Mwambie ajitulize aendelee kusikilizia, umri wake bado kama ametulia wataendelea kuja wengi bora zaidi.
 
Pearl hata ukiwa wewe mbona poa tu..lol
That first man seems to be not serious kabisa, miaka yote hiyo hata nduguze hajawatambuklisha? kuonana kwa kuvuta na kamba!!
Age is nothing kikubwa kabla hajakata shauri la kuwa na huyo wa 2 apate muda wa kumfahamu vizuri na asikurupuke, otherwise yatakuwa yale yale..
 
Amchunguze kwanza.Kama hana vitu vinavyomkwaza ndipo akubali kuolewa nae.Ila huyo wa kwanza hana mpango na anampotezea wakati.Akumbuke tu kwamba asiolewe kwa sababu za Presha.
 
huyu wa pili si mtanzania,alioa na wameachana na mkewe sababu kubwa ni kwamba yy ni mtu wa kusafiri sana na mkewe hataki hiyo wameachana kama mwaka,na anataka ndoa ya kanisani kwa sasa
huyo anaem date hayupo serious, na kama ameshasema bado yupo yupo huyo rafiki yako anakazania nini tena hapo, mawasiliano yenyewe zero... hebu tupe maelezo kidogo kuhusu huyo 45yrs plz, ni kwamba alichelewa kuoa, ni kwamba alioa ya kawa ya kuwa au au? then niendelee.
 
kama walivyosema wengine huyo wa kwanza hayuko serious naye.huyo wa pili umri si tatizo kama wanapendana,ila ni muhimu amjue vizuri!
 
ah ah ah haya ni maisha kwakweli mwisho wa siku mtu antakiwa kuwa na furaha na amani,huyu wa pili anaonyesha kumpenda sana na anataka binti atakapokuwa tayari kwa ndoa hata kama ni mwakani yy ni sawa tu kwake
Pearl hata ukiwa wewe mbona poa tu..lol
That first man seems to be not serious kabisa, miaka yote hiyo hata nduguze hajawatambuklisha? kuonana kwa kuvuta na kamba!!
Age is nothing kikubwa kabla hajakata shauri la kuwa na huyo wa 2 apate muda wa kumfahamu vizuri na asikurupuke, otherwise yatakuwa yale yale..
 
thx dia so kwako umri huo si tatizo eti eeeeeeeeh?
Amchunguze kwanza.Kama hana vitu vinavyomkwaza ndipo akubali kuolewa nae.Ila huyo wa kwanza hana mpango na anampotezea wakati.Akumbuke tu kwamba asiolewe kwa sababu za Presha.
 
ok thanks dia mm pia nimemwambia ze same coz namjua vzr jamaa na dem jamaahayuko serious maana hata marafiki zake hawamjui na hataki wamjue,yani haeleweki
kama walivyosema wengine huyo wa kwanza hayuko serious naye.huyo wa pili umri si tatizo kama wanapendana,ila ni muhimu amjue vizuri!
 
Huyo wa kwanza si muoaji.. na kutokana na maelezo yako Pearl, huyo wa kwanza kishaoa, au ana mtu mwingine.. Huyo wa pili, asichelewe, maana atakuta mwana si wake. Umri sio tatizo sana,,, Na je yeye atakuwa tayari kwa kusafiri sana kwa huyo wa pili?
 
nimemuuliza yoooote hayo,huyu wa pili anamgodi wake so anataka akaishi nae huko kwenye migodi na yy anasema hana neno maisha popote.wa kwanza hajaoa but mm nahisi ana madem

Aolewe hata ikibidi this Sat..
 
huyu wa pili si mtanzania,alioa na wameachana na mkewe sababu kubwa ni kwamba yy ni mtu wa kusafiri sana na mkewe hataki hiyo wameachana kama mwaka,na anataka ndoa ya kanisani kwa sasa

Pearl, si unajua mwenzako akinyolewa wewe tia maji???
 
Well to me sioni tatizo ukiachilia huyo kwanza ambaye anasema bado yupo yupo sana ila kwa huyu wa pili inabidi afanye homework kidogo thou age difference ni kubwa lakini sioni tatizo kwasababu huwezi kujua Mungu amekupangia nini all in all in kujaribu kupata facts za huyu mtu wa pili na kuhakikisha kuwa anapofanya maamuzi anafanya maamuzi sahihi bila shinikizo kutoka kwa mtu yeyote yule yawe maamuzi ya kwake mwenyewe binafsi kutoka moyoni and before going further itabidi amwambie ukweli huyo wa kwanza kwamba since he's not serious its time for her to move on.
 
thx for ur advise dia be blessed,kiukweli tulikuwa tunaomba sana Mungu maana she is my best friend so I knw alivyokuwa anajiskia kwakweli
Well to me sioni tatizo ukiachilia huyo kwanza ambaye anasema bado yupo yupo sana ila kwa huyu wa pili inabidi afanye homework kidogo thou age difference ni kubwa lakini sioni tatizo kwasababu huwezi kujua Mungu amekupangia nini all in all in kujaribu kupata facts za huyu mtu wa pili na kuhakikisha kuwa anapofanya maamuzi anafanya maamuzi sahihi bila shinikizo kutoka kwa mtu yeyote yule yawe maamuzi ya kwake mwenyewe binafsi kutoka moyoni and before going further itabidi amwambie ukweli huyo wa kwanza kwamba since he's not serious its time for her to move on.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom