Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

waheshimiwa, mimi ndiyo kwanza nimejiunga. nimefanya ziara ya baadhi ya majukwaa na kuchungulia mijadala michache. Nilipoingia kwenye lile jukwaa la siasa heartbeat zangu ziliongeza kasi kwa...
0 Reactions
72 Replies
6K Views
Ananiuliza kama n'nadem namwambia sina anahisiashaniona sehem tatizo kanisahau jina unaitwa nani......................................... YouTube - Daz Baba ft. FID Q
0 Reactions
12 Replies
5K Views
kwelii tumeishiwa mbinu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeweka thread yangu yenye kichwa "Valentini ya 14/2/2011" Jamaa yangu karudi 6.30 amelewa hoi, kaniletea ua lililochakachuliwa hii imekaje jamani? Hii thread inaubaya gani hadi iondolewe?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Siku hizi naona huu mchezo Wa kuingiliwa kwa wanawake wa ki tz kinyume na maumbile unaota mizizi kwa kasi ya ajabu.Jamani huu mchezo una madhara makubwa sana, na kubwa zaidi ni kudhalilishwa utu...
0 Reactions
102 Replies
12K Views
St. Valentine's Story Siku ya wapendanao ni sikukuu ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 14 Februari ya kila mwaka (Valentine Day). Historia yake imeanzia karne ya 3 huko Roma ambapo...
0 Reactions
114 Replies
10K Views
wapenzi napenda kujua kama sikuu kuu ya kesho ni kweli ipo au lah nipange ratiba yangu kabisa na mamsap nataka niwe nae kesho for 24hrs kama ATM, knye kalenda yaonyesha kesho ni maulidi
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanandoa wasisitizwa kupima ukimwi Na David John SERIKALI ya Marekani kupitia Shirika lake la Misaada (USAID) kwa kushirikiana na shirika lisilokuwa la kiserikali nchini Engender Health...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
A science geek's guide to locking lips (SHUTTERSTOCK PHOTO) With apologies to Louis Armstrong, a kiss is not just a kiss. Think of it as "a chemical choir," says science writer Sheril...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I shall not fear no man but God Though I walk through the valley of death I shed so many tears (if I should die before I wake) Please God walk with me (grab a nigga and take me to Heaven)...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimepita maeneo ya Salender Bridge Dar es Salaam asubuhi hii nikaona bango kuuuubwa (billboard) limeandikwa "Broadcast Your Love" Sijui wanamaanisha nini, nikaona nilete hapa kwa magwiji wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna thread inaendelea kwenye jukwaa hili yenye heading "Mama au Mke", sasa kutokana na changamoto za ulimwengu wa sasa pamoja na mabadiliko ya kimfumo, sasa naomba tujadili pia kwamba "mwenye...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WanaJF, Napenda kutoa angalizo kidogo, ukitaka kufahamu upendo wa kweli usipokee zawadi yoyote kutoka kwa mpenzi wako we mwambie mbadilishane simu siku ya leo yaani tarehe 14.02.2011. Utajua mpo...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
somtimes kitu cha furaha chaweza kusababisha huzuni kwa upande mwingine. Tangu nimebalehe miaka kumi ilopita nimewahi kupenda mara mojatu.nilikua form two, swithat wangu akahama nchi akaenda nchi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Napenda kushare na wapendwa wangu hapa JF nyimbo hii kwani nina ipenda sana na ina maana kubwa sana kwangu. YouTube - Ronan Keating - If tomorrow never comes *with lyrics*
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Valentines Day is a day to express your love, and to celebrate the spirit of love. You will love this absolutely for valentine's day site, where you can celebrate the spirit of this day of lovers...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Siku kuu ya wapendanao (Valentine's day,tunayoiga kutoka kwa wenyewe) inakaribia kwa speed ya ajabu. Ni siku maalum si kwa wapenzi na wanandoa tu bali kwa wote wanaogusa mioyo na maisha ya wenzao...
0 Reactions
88 Replies
6K Views
Wanandg wa JF nimeona 2anzishe jukwaa la waliowah kuumizwa cku ya valentine. Kama umewah kukutwa na tatzo lolote juu ya mapenz cku ya valentine bac jielezee mm nikiwa mmoja wapo ctasahau cku hyo...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
WanaJF, Nawatakia maandalizi mema ya V-Day. Naamini kila siku inatkiwa iwe ya kivalentine. Ninatatizwa na suala tajwa hapo juu - Mke kubadili jina la ukoo(surname) baada ya kuolewa na kuchukua...
0 Reactions
56 Replies
9K Views
Habari wakuu. Naomba tubadilishane mawazo kwa hili. Naenda kusoma nje. Mshahara wangu utaendelea kuingia kwenye akaunt yangu ambayo nayo ndio naitumia kwa biashara zangu. Sasa navyoondoka sijui...
0 Reactions
62 Replies
5K Views
Back
Top Bottom