Happy valentine's day

Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,269
4,569
St. Valentine's Story

Siku ya wapendanao ni sikukuu ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 14 Februari ya kila mwaka (Valentine Day).
Historia yake imeanzia karne ya 3 huko Roma ambapo alikuwapo mtakatifu valentine au Valentinus. Kaisari wakati huo alikuwa Claudius II yeye aliona kuwa askari mkakamavu na bora zaidi ni yule asiyeoa wala kuwa na familia (kapera). Hivyo alipiga marufuku ndoa kwa askari. Mtakatifu Valentinus alipinga jambo hili hivyo kuendelea kufungisha ndoa kwa siri. Mfalme Claudius alipopata habari hizi aliamuru kukamatwa kwa Valentinus na kuuwawa.

Kuna hadithi ya kuwa akiwa gerezani mtakatifu Valentinus aliandika barua ambayo ilikuwa na salamu za kwanza za valentine kwa binti aliyekuja kumsalimia gerezani, mwisho wa barua alihitimisha kwa maneno haya (From your Valentine). Toka hapa valentine anakumbukwa kama mtetezi wawapendanao na siku hii kuadhimishwa kote duniani.

Let me introduce myself. My name is Valentine. I lived in Rome during the third century. That was long, long ago! At that time, Rome was ruled by an emperor named Claudius. I didn't like Emperor Claudius, and I wasn't the only one! A lot of people shared my feelings.


Claudius wanted to have a big army. He expected men to volunteer to join. Many men just did not want to fight in wars. They did not want to leave their wives and families. As you might have guessed, not many men signed up. This made Claudius furious. So what happened? He had a crazy idea. He thought that if men were not married, they would not mind joining the army. So Claudius decided not to allow any more marriages. Young people thought his new law was cruel. I thought it was preposterous! I certainly wasn't going to support that law!

Did I mention that I was a priest? One of my favourite activities was to marry couples. Even after Emperor Claudius passed his law, I kept on performing marriage ceremonies -- secretly, of course. It was really quite exciting. Imagine a small candlelit room with only the bride and groom and myself. We would whisper the words of the ceremony, listening all the while for the steps of soldiers.

One night, we did hear footsteps. It was scary! Thank goodness the couple I was marrying escaped in time. I was caught. (Not quite as light on my feet as I used to be, I guess.) I was thrown in jail and told that my punishment was death.

I tried to stay cheerful. And do you know what? Wonderful things happened. Many young people came to the jail to visit me. They threw flowers and notes up to my window. They wanted me to know that they, too, believed in love.

One of these young people was the daughter of the prison guard. Her father allowed her to visit me in the cell. Sometimes we would sit and talk for hours. She helped me to keep my spirits up. She agreed that I did the right thing by ignoring the Emperor and going ahead with the secret marriages. On the day I was to die, I left my friend a little note thanking her for her friendship and loyalty. I signed it, "Love from your Valentine." I believe that note started the custom of exchanging love messages on Valentine's Day. It was written on the day I died, February 14, 269 A.D. Now, every year on this day, people remember. But most importantly, they think about love and friendship. And when they think of Emperor Claudius, they remember how he tried to stand in the way of love, and they laugh -- because they know that love can't be beaten!


MY TAKE
Tunayojiandaa kufanya tarehe 14/2/2011 yanaendana na historia ya siku yenyewe? Btw usinzi ni upendo?
 
Yeah! thanks sikujua kabla nilikuwa bize tu kusherekea siku hii
 
Jamani tumeongelea tulivyotendwa na kila kitu embu tuongelee vituko vya valentine kama vile unanunua zawadi kumbe feki. unapanga dinner mara mtu anapata safari ya ghafla.
Mimi nina kituko kimoja hivi,valentine nafikiri 2002 hivi tumejiandaa kama couple nne tutoke dinner na ushamba wetu tukajifanya wengine tumehifadhi njaa ili tule five cse huko new africa hotel hata tusireserve tukaanza kuwasili tunawekwa tusubiri meza njaa inazidi mpaka nikaanza kutapika sababu ya njaa ilipofika saa tatu na nusu tukaambiwa meza bado na jiko linafingwa saa nne
Tukaondoka hoteli kama mbili hivi kote kumejaa basi tukaishia american chips kinondoni na magauni yetu nakwambia tukawekewa meza acha tule huku tukipeana zawadi kila mmoja wetu.kutoka hapo tukajikuta tumeingia kwenye mabendi ya kinondoni kila mmoja kachokaaaaa hoi haijafika saa nane tumbo zikaanza kuuma tukaondoka kesho yake kila mmoja anaumwa mbaya tuliharisha kila unaempigia anaharisha uzuri ilikuwa week end.duh
wapenzi pangeni dinner zenu mweke reserve mapema msijeishia msipotarajia.
Embu mwenye kituko cha valentine amwage hapa tucheke
 
Bahati mbaya mimi siku ya valentini huwa haimo kwenye orodha ya siku maalum ktk mapenzi.

Ila ninachojua 14/02 kwa wengine hugeuka disappointment kwenye mahusiano.

Ninajua habari ya best yangu ambaye alikuwa kwenye uhusiano na mdada. 14/02 rafiki yangu akamtumia mdada kazini kwake (kama surprise hivi) a bouquet of roses lakini hakuweka tag kuonyesha imetoka wapi. Cha kushangaza mdada hakuonyesha response (kwa simu na walivyokutana) kama kapokea zawadi ya valentini.

Ile kitu ikamfanya jamaa yangu ajiulize kulikoni??? Alipo-dig deep Loh!!!!! Kumbe mdada alikuwa na mshefa mwingine kitu ambacho kilimfanya ashindwe kujua hiyo zawadi imetoka wapi ndio maana alishindwa kuuliza/kushukuru kuhofia kulisanua.

Kwa waumini wa valentini mnaweza kujaribu hii.. Akipokea zawadi na kukupigia simu fasta fasta ujue wewe ndo unachukua nafasi ya kwanza kumoyo wake hata kama kuna kompetita wa sirini...Hahahahahaaaaaaa

NAWATAKIA VALENTINI NJEMA WAPENDWA, tar 15/02 mtujie na story tamu tamu no disappointments!
 
Bahati mbaya mimi siku ya valentini huwa haimo kwenye orodha ya siku maalum ktk mapenzi.

Ila ninachojua 14/02 kwa wengine hugeuka disappointment kwenye mahusiano.

Ninajua habari ya best yangu ambaye alikuwa kwenye uhusiano na mdada. 14/02 rafiki yangu akamtumia mdada kazini kwake (kama surprise hivi) a bouquet of roses lakini hakuweka tag kuonyesha imetoka wapi. Cha kushangaza mdada hakuonyesha response (kwa simu na walivyokutana) kama kapokea zawadi ya valentini.

Ile kitu ikamfanya jamaa yangu ajiulize kulikoni??? Alipo-dig deep Loh!!!!! Kumbe mdada alikuwa na mshefa mwingine kitu ambacho kilimfanya ashindwe kujua hiyo zawadi imetoka wapi ndio maana alishindwa kuuliza/kushukuru kuhofia kulisanua.

Kwa waumini wa valentini mnaweza kujaribu hii.. Akipokea zawadi na kukupigia simu fasta fasta ujue wewe ndo unachukua nafasi ya kwanza kumoyo wake hata kama kuna kompetita wa sirini...Hahahahahaaaaaaa

NAWATAKIA VALENTINI NJEMA WAPENDWA, tar 15/02 mtujie na story tamu tamu no disappointments!

Hapo jibu lilipatikana kuwa ana wapanga foleni madume kadhaa and she was uncertain hiyo kitu imetoka kwa nani.
 
....basi tukaishia american chips kinondoni na magauni yetu nakwambia tukawekewa meza acha tule huku tukipeana zawadi kila mmoja wetu.kutoka hapo tukajikuta tumeingia kwenye mabendi ya kinondoni kila mmoja kachokaaaaa hoi haijafika saa nane tumbo zikaanza kuuma tukaondoka kesho yake kila mmoja anaumwa mbaya tuliharisha kila unaempigia anaharisha uzuri ilikuwa week end.duh
wapenzi pangeni dinner zenu mweke reserve mapema msijeishia msipotarajia....

Gaga natumaini umejipanga uzuri safari hii maana mkiishia amerikani chip za pale na matumbo yakakorofisha sijui itakuwaje.
Itabidi muombe mwezi uandame jtatu ili Sikukuu ya Maulid iwe jumanne 15/02..
 
Wale wapendanao kesho kuweni macho msome mwenza wako kwani kesho lazima upigwe changa usiruhusu dharura shinda naye vinginevyo kesho maua yatatolewa kwa watu zaidi ya mmoja!Wajanja ukiona umeletewa maua asubuhi nakuondoka hukuakisema anadharura jua imekula kwako!!Akileta jioniii wakati umesha kata tamaa ya ujio wake basi ujue kuna mahali kaanzia wewe kaja kuhitimisha!!Happy Valentine!!
 
Wale wapendanao kesho kuweni macho msome mwenza wako kwani kesho lazima upigwe changa usiruhusu dharura shinda naye vinginevyo kesho maua yatatolewa kwa watu zaidi ya mmoja!Wajanja ukiona umeletewa maua asubuhi nakuondoka hukuakisema anadharura jua imekula kwako!!Akileta jioniii wakati umesha kata tamaa ya ujio wake basi ujue kuna mahali kaanzia wewe kaja kuhitimisha!!Happy Valentine!!

Punguza vituko KKK,

Hivi kuna watu wanaishi kwa hofu kiasi hiki? Kwa nini usiamini kuwa anakueleza ukweli hadi ukapothibitisha vinginevyo? Kama ningekuwa bado kijana niamua sasa kuitafuta fani utaalamu wa magonjwa ya moyo na yale ya kisaikolojia. Naona wateja ni wengi sana!
 
Kwa wana JF wote!
Kwa walio na wapenzi, wazidishe na waimarishe mapenzi yao.
Kwa wasiokuwanao bado, Mungu awape wapenzi wa kweli.
Nyote ninawatikieni Heri, Baraka na Mafanikio katika Mapenzi.
 
Japo kuwa nilingia kimyakimya jamii forum muda mchache uliopita, hebu leo hii nichukue nafasi hii ya siku ya wapendanao kuwashukuru wanajammvi kwa ukarimu wa kuhudumia wageni hata kama waliingia kwa kutumia mlango wa nyuma, yaani kimyakimya. Wengine pengine wamekuwa wakijiuliza huyu Wakumwitu ni nani mbona hatujawahi kumuona humu??? msipate shida niliingia bila hodi lakini niliyoyakuta humu.. yananifanya nihisi nipo nyumbani. Nawashukuruni sana marafiki wangu wooote wa zamani na wapya ambao nimekutana nao JAMII FORUM hata kama siwajui kwa sura lakini michango yenu kwa jamii ni ya muhimu sana, na si lazima ujulikane.

Niwatakie siku ya wapendanao njema nyoote.. na muwe na amani siku zote.

Mungu awabariki.
 
Acha kututisha bana wewe vipi wengine sie tumeambiwa tutatolewa out usiku sasa unatushitua hivi duuhh KKK bana
 
Badili Title basi naona unatoa salamu tu.

Halafu title ya Valentine zimechosha bana.

BTW: Welcome MMU
 
Habarrrri zenyu bwanaa habari ndo hiyo na kapiriensi na mambo hayo naanza kuwajua mabingwa wa kuchakachua!!!mbona mnakuwa wakali???DARK CITY huu ndiyo ukweli kama umeingizwa king shutuka!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom