Valentine inapokua huzuni.

Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
193
somtimes kitu cha furaha chaweza kusababisha huzuni kwa upande mwingine. Tangu nimebalehe miaka kumi ilopita nimewahi kupenda mara mojatu.nilikua form two, swithat wangu akahama nchi akaenda nchi ya jirani, nikabaki mpweke.toka wakati huo
sijawah kufal in love na nikawa na nimpendae kwa dhat.

Inapofika wakat kama huu wa valentine hua ni huzuni kwangu manake hutamani ningekua namtu ambae moyo wangu unahisi fahari kwake lakini sinae.

Jana nikiwa nimekaa na washakaj zangu wakati wa lunch kwa ofisi wakaanza kupanga mitoko ya valentine na wapenzi wao. ilinibidi nisichangie, lakini wakaniuliza vp mbona sikua natoa wazo lolote!!.........

Point ni nikua inapofikia wakati kama huu wa valentine au wakati mwingine wowowte moyo wangu hutamani sana ningekua na mtu ambae nampenda dearly lakini no one na nachoshangaa nawaona wadada weni sana warembo ila si fall.

Hivi hii ni kwa nini??

Nawatakia VALENTINNE NJEMA nyote.
 
Kumpenda mtu kiukweli inahitaji zaidi ya urembo wa nje!!!Chukua muda kua nao kama marafiki ukiwajua kwa undani labda itasaidia!!Alafu usiharakishe.....kama yuko kwa ajili yako atakuja tu!!!Pole kwa upweke!!!!:coffee:
 
nina amini ipo siku utapenda tena,usihuzunike sana mpendwa,kwani sio peke yako mwenye hali kama hiyo,tupo wengi tu.the best way ni kujiamini mwenyewe maadamu unaishi na unapumua yupo tu siku haijafika.mimi hutamani hiyo siku ipite haraka haraka,maana kila unaemsikia valentine this,valentine that.
 
Tuko wengi tu ambao ku fall in love ni issue,ila maisha ni zaidi ya mpenzi,furahia maisha yako....go out with friends who are single,family member, enjoy some hobbies,siku ikitokea umempata utakaye fall kwake basi maisha yawe bora zaidi.usikae idle ukifikiria sana, have fun!!!
 
Kuwa single ndo issue kuna ukimwi mwingi.tafakari kwanza kwa nn unahitaji mpenzi.

Happy valentine day
 
Pole sana thats life..kupenda si rahisi kama watu wengi tunavyofikiri,ipo siku utapenda tena,si ww tu utakae kuwa lonely na unaeumia msimu wa valentine ukifika wapo wengi sana cha msingi siku ya kesho enjoy with ur family and ur friends who are single..dont loose hope kwani there is someone who was born to make u happy.
 
Pole sana, lakini huo upweke utaisha endapo utapata mpenzi, na utampata kwa kumuondoa katika mawazo mpenzi wako wa zamani.
 
Vumilia kaka itafikia wakati utampata mwandani wako utampenda kuliko huyo wa mbali
 
Pole. Uwe unaipotezea tu valentine, ukiwazia utaumia.
Dah! Tatizo siku hiyo kila mtu anakuwa occupied, hakuna hata mrembo wa kuazima. Lol!
 
Huyo uliyempenda 10 yrs ago bado mnawasiliana? anakupa moyo kuwa atarudi lini au wewe ndo hukubali majibu unayopewa?

Siri kubwa katika maisha ni kwamba ni vigumu sana kuja kuoana na yule mliyependana mkiwa teenagers hasa katika mazingira kama hayo ya shule, usije ukafikiri wewe uko peke yako !
 
Duh, thanks a lot people. Unajua ukigundua kua unashea tatizo na watu wengi ni kama hua linaondoka ingawa ukweli ni kua hua lipo palepale.
 
Huyo uliyempenda 10 yrs ago bado mnawasiliana? anakupa moyo kuwa atarudi lini au wewe ndo hukubali majibu unayopewa?

Siri kubwa katika maisha ni kwamba ni vigumu sana kuja kuoana na yule mliyependana mkiwa teenagers hasa katika mazingira kama hayo ya shule, usije ukafikiri wewe uko peke yako !

mkuu huyu tulipotezana hasa ukizingatia maisha ya nyuma kidogo vitu ka fon sikua nimemiliki, ni miaka kama 7 9 ndo nimemona mwaka juzi mwishoni. kwa kweli sidhani kama tuna match anymore.
 
Pole sana thats life..kupenda si rahisi kama watu wengi tunavyofikiri,ipo siku utapenda tena,si ww tu utakae kuwa lonely na unaeumia msimu wa valentine ukifika wapo wengi sana cha msingi siku ya kesho enjoy with ur family and ur friends who are single..dont loose hope kwani there is someone who was born to make u happy.

Nakubaliana na wewe mkuu, kupata penzi ni kazi kubwa na amabayo ubaya wake haikuhitaji elimu, fedha, umaarufu, au influence yoyote uliyonayo.ni kitu automatik na kama hakijatokea huwezi kukilazimisha.
 
Tuko wengi tu ambao ku fall in love ni issue,ila maisha ni zaidi ya mpenzi,furahia maisha yako....go out with friends who are single,family member, enjoy some hobbies,siku ikitokea umempata utakaye fall kwake basi maisha yawe bora zaidi.usikae idle ukifikiria sana, have fun!!!

Michelle where u now sasa tutoke manake uivyojieleza hapa u sim to be single.mtafte na desdii, na wengine tuoganize ya ma single.
 
2.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom