jino kwa jino
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 794
- 192
wapenzi napenda kujua kama sikuu kuu ya kesho ni kweli ipo au lah nipange ratiba yangu kabisa na mamsap nataka niwe nae kesho for 24hrs kama ATM, knye kalenda yaonyesha kesho ni maulidi
sasa sikukuu ni lini coz kalenda zinaonyesha ni maulidhapana ni siku ya kazi tuendelee kujenga taifa
sasa sikukuu ni lini coz kalenda zinaonyesha ni maulid
Maulid ni nani? mie kalenda yangu inaonyesha itakuwa 16-02-2011 :twitch:
Maulid ni nani? mie kalenda yangu inaonyesha itakuwa 16-02-2011 :twitch: