Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

nimekuwa nae faragha kwa takribani 2 weeks, lakini sidiria yake alikuwa haivui,sasa hii huwa ina maana gani??nimejaribu kufuatilia nikaona makahaba huwa na sifa kama hizi coz huenda ikawa ndio...
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Habari mimi ni msichana.nina miaka 23 ni mweupe. Urefu nina cm 168.mnene kiasi nina uzito kg72 natafuta mpenz wa muda(mkataba) najua weng mtashangaa kwanini mapenz kwa mkataba. in short ni...
0 Reactions
86 Replies
9K Views
Kuna habari hawa wabunge wanabadili wapenzi kila siku. Wengine tumewasikia wakiwa Ulaya ndio inakuwa sehemu nzuri ya kufanya mambo yao machafu. Hawa wawakilishi wetu tunatarajia wajiheshimu na...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
katika pitapita zangu mtaani na kusoma habari nimegundua kunaobgezeko kubwa si wanaume au vijana kuwa ubwabwa(mashoga)haijarishi ameoa au bado..na wengi wao huwa wanafanya kwa siri kubwa na hata...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wapendwa habarini za Ijumaa, natumaini, mnayo Ijumaa nzuri yenye furaha na amani. Hata wale ambao wanaiona sio nzuri kwa sababu mbalimbali, bado tuendelee kumshukuru Mungu madamu ametuachia uhai...
0 Reactions
17 Replies
21K Views
Kuna rafiki yangu aliniambia kuwa yeye hupendelea mapenzi ya "one night stand" sikumuelewa afu nilijisikia noma kumuuliza. Mwenye kujua au aliyewahi kufanya naomba utujuze.....
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Muwe na weekend njema wapenzi love you all...........
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wanajf hivi 2kisema mtu amemcheat mpenzi/mume/mke wake ni lazma awe ame DO na msichana/mvulana/mwanaume/mwanamke mwingine au hata kuchat na msichana/mvulana/mwanaume/mwanamke mwingine kwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu, pleni sana.hata hivyo ni wakati wakujipongeza kwa wiki yote hii kuwajibika. Kwa mimi nimejadili binafsi, nikafikia hitimisho kua mapenzi ni yana independent mandate kuliko kwamba ni suala...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
JF Ladies and Gents THOSE WERE THE DAYS “WHEN MEN WERE REALLY MEN” AND WHEN BROTHERS USED TO WRITE LETTERS WITH DICTIONARIES! WHERE WERE YOU? IF YOU NEVER RECEIVED LETTERS LIKE THESE...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hivi ni kwa nini wanawake WENGI hata wawe na pesa kuzidi waume/maboifrendi wao lakini wanakuwa wagumu sana kuwapa au kutumia pesa yake na mwenzie??Hata kama mwanaume wake ana mshahara mdogo kuzidi...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Bandugu bapendwa, safari siyo kifo na Mungu siyo Athumani wala Abdallah! Babu DC karudi salama Kamkuta bibi mzima kama malaika Hakuna uchakachuaji hata kidogo Wajukuu hawajambo wote...
0 Reactions
90 Replies
6K Views
Habari zenu binafsi kwa ujumla wenu; Jana wakati napata kifunga kinywa pale kingstaa kaunta ya juu wakaja wadada wawili wanapiga stori ya mwenzao waliyetoka kumwombea azidi kulala pahala pema...
0 Reactions
485 Replies
31K Views
Naomba niulize hivi kumbe haya mahusiano hata bongo yapo kihivi???? nimeikuta hapa http://www.fashionjunkii.com/category/Tanzanian+Beauty
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Jamaa ana mpenziwe wamependa kiukweli wanavodai wao nakuelezana hivyo kiasi kwamba,password za bank card,e-mail wamepeana.Wameahidiana hawatakuja kusalitiana milele. Wote hawa wana ujuzi kutumia...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Wanaume mnaopenda kuchukua wasichana warembo hususani kama umekutana nae siku moja na kumtaka kimapenzi ikibidi kusex nae siku hiyo hiyo ni hatari sana. mtaani sasa hivi majini wanawake yamejaa...
0 Reactions
113 Replies
17K Views
Baada ya visa vichache vilivyotokea siku za usoni kutoka kwa mke wangu na kujikuta maganzi na faraja zimepungua, Imenitokea tu nampenda sana dada mmoja ambaye ninafanya naye kazi. Nilikuwa...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Mambo zenu waheshimiwa?ni hivi mie nina my girlfriend wangu ambaye nimepanga chumba kwa ajili ya kwenda kufurahishana inapobidi,lkn mara nyingi napokutana naye baadae nikihesabu hela zangu nakuta...
0 Reactions
92 Replies
7K Views
Jana usiku amekuja rafiki yangu ameolewa na ana watoto 2 wiki mbili zilizopita mumewe alikuja na mgeni mwanamke nyumbani bila taarifa kwa mkewe akamtambulisha ni mwanafunzi walisoma nae wakati...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna ndugu yangu kaniomba ushauri naomba munisaidie. Huyu ni msichana mwenye miaka 22 sasa ameolewa miaka 4 iliyopita tatizo lake nikwamba mumewe kamwambia akakae kwao mpaka atakapomuhitaji...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…