Kwa nini baadhi ya Wabunge vijana hawataki KUOA au KUOLEWA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini baadhi ya Wabunge vijana hawataki KUOA au KUOLEWA?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by HansMaja, Mar 4, 2011.

 1. HansMaja

  HansMaja Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Kuna habari hawa wabunge wanabadili wapenzi kila siku. Wengine tumewasikia wakiwa Ulaya ndio inakuwa sehemu nzuri ya kufanya mambo yao machafu. Hawa wawakilishi wetu tunatarajia wajiheshimu na wawe na maadili ya Kiafrika. Muda kuoa unapofika OA au OLEWA jenga familia.!!
   
 2. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,536
  Trophy Points: 280

  Well said. Lakini mkuu kuna muda maalamu ambapo ukifika lazima mtu aoe/aolewe? Muda huo ukipita mtu hawezi oa/olewa?
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Muda wa kuoa ni upi?Unataka watu waoe kwa lazima kabla hawajajipanga na kua tayari hizo ndoa zikigeuka matatizo utawasaidia?
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
   
 5. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  wabunge wengine wanapenda ufusika wanaona bora kufanya ufuska ukiwa singo kuliko kufanya ukiwa knye ndoa haileti heshma. hasa wabunge ya kiume
   
 6. IGULYATI

  IGULYATI Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ndoa ni maamuzi au fasheni?!
   
 7. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  me nilidhani umethibitisha kutoka kwao kua hawataki kuoa.kumbe unasikiatu!!
  kuoa sio fashen bro. ni maridhiano ya mtu na nafsi yake na yule anaetaka kumwoa/kuolewa nae.na ni mipango inayohitaji mikakati.
   
 8. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  nani ambae hajaoa au kuolewa mweke hapa tumjue nijuavyo wenge hawajafunga harusi ila wana wake na waume wanaishi nao
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kila mtu huoa kwa muda wake na malengo aliyejiwekea.
  Kwani ubunge kitu gani!!
  Inahusu vipi na mapenzi!
   
 10. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  unahitaji kwenda mirembe kupimwa?
   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Ndoa ni heshima kwasababu ukiwa mheshimiwa haipendezi uonekane with unlawful partners, kuna maitaifa mengine position kama hizi especially for men you need to be settled.
   
 12. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Sometimes it's better to be alone than in a bad company. Better even, everyone to be master of his/her deeds than be concerned of what others say. To get married is a responsibilty which you have to be prepared before you decide.
   
 13. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Ukweli ni kwamba hao wabunge si material za kuoa au kuolewa. Na hata si swla la muda kufika. Kifupi ni kwamba qualities zao ni za one night stand! Ubunge ni kitu kimoja na maswala ya kuoa/kuolewa ni kitu kingine. Labda kama hufahamu hao wabunge hasa wanawake unaofikiri ni single wengi wameachika ktk ndoa walizojaribu kutengeneza!
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Unajuwa Larry King amedivorce mara ngapi? acheni kabisa kukichezea hicho kipengele cha ndoa, ndoa si kupata mume/ mke wa kufanya nae ngono, nop. ndoa ni sereous life commitment, unachaguwa mtu wa kushare naye your intire life. msilete ushabiki kwenye hili kabisa. wapo waliojichuza wakalia. mbona Rais wa France ameoa baada ya kuwa Rais? Mr Sarkozy.
   
 15. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #15
  Mar 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Si ndio maana ya kuwa kiongozi kwa hapa Bongo???

  Mlikuwa hamjui?? Mbgune mmoja wa jimbo flani ana wake zaidi ya mmoja, ni mkristo na mchungaji wake anafahamu hilo lakini weee, thubutu, hajawahi kutengwa kanisani, maskini ingekuwa mimi, hata kama nimesingiziwa tu...kesho jumapili ungesikia tayari nimetengwa....................
   
 16. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #16
  Mar 5, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kama tumeshaanza kunyoosheana vidole unaoa/olewa lini then tumekwisha!!
  hii ndio inaleta a lot of pressure kwa watu wanaishia kufanya maamuzi yasio sahii....
  lets take time,kila mtu amind her own buzziness....mtu aoe/aolewe pale anapoona time is right akivurunda then he/she has herself/himself to blame.
   
Loading...