Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Asprin, Feb 22, 2011.

 1. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,049
  Likes Received: 24,051
  Trophy Points: 280
  Habari zenu binafsi kwa ujumla wenu;

  Jana wakati napata kifunga kinywa pale kingstaa kaunta ya juu wakaja wadada wawili wanapiga stori ya mwenzao waliyetoka kumwombea azidi kulala pahala pema peponi baada ya kumaliza mwaka mmoja akiwa chini ya dongo takriban tani saba. Walikuwa wanasikitika uamuzi wa rafiki yao huyo kujiua. Kwa unasaji wangu wa habari (siyo umbea) nikalazimika kuwajoin ili waninusishe yaliyojiri.

  Ni hivi:

  Kulikuwa jamaa marafiki wawili bwana X na bwana Y ambao walikuwa wameoa na bahati nzuri wake zao nao pia wakatokea kuwa marafiki wazuri. Katika pilikapilika za maisha siku moja bwana X akapata ajali iliyomgharimu kutenguka kiuno na kuparalaiz kuanzia kiunoni mpaka miguuni. Maisha ya Bwana X yakahamia kitandani rasmi, na baioloji yake ikawa haina mawasiliano na jinsia ya kike.

  Bwana Y kwa upendo akawa anaisaidia familia ya Bwana X kwa hali na mali (kipato cha mke wa bwana X hakikutosha kuhimili mikiki ya maisha katika hali hii ya serikali ya awamu ya nne)

  Mwaka ukakatika, mke wa X akaingiwa na shetani sehemu zake za siri. Akajikuta analazimika kujipitisha na kumimina mabode langueji ya malavidavi kwa bwana Y. Bwana Y uzalendo ukamshinda akalazimika kuliamsha pepo la ngono lililolala kwenye baioloji yake. Shughuli ikaanza wakanogewa na dhambi. Wakajivinjari bila ya mgonjwa X wala mke wa Y kujua mpaka Malaika wa Mungu alipoamua kuweka mambo hadharani.

  Siku moja wamepiga ulabu, bwana Y akamsindikiza mke wa X mpaka nyumbani kwa Bwana X. Pepo likawaingia wakaanza kujivinjari sebuleni. Makelele ya malavidavi, Bwana X akastuka usingizini, sijui alipata wapi nguvu akajiangusha kitandani, akajiburuza mpaka sebuleni akashuhudia rafiki yake akimla uroda mkewe….. Akaachia yowe kwa mstuko, na Ziraili mtoa roho akaichukua roho yake kupitia njia ya mstuko wa Moyo…

  Haikupita muda mke wa Bwana X nadhiri ikawa ikamsuta…. akaona isiwe tabu…… kwa hiyari yake tena bila ya kushauriwa wala kulazimishwa na mtu, akamwalika ziraili aje kuchukua roho yake kupitia mtaa wa sumu……. Naye akatangulia kuzimu. Yaliyojiri kwa bwana Y ni kuwa ndoa yake imekuwa historia. Na Bwana Y amekuwa kama kreze akiamini ameua watu wawili at a go! (Nadhani baioloji yake itakuwa imepata hitilafu flani)

  Sasa ndugu zangu, (kina mama safari hii hebu kuweni wakweli japo kiduchu):

  1.Hiki kiapo kwamba “nitakuwa mwaminifu mpaka kifo kitutenganishe” kinatekelezeka? Is it practical kwa wanawake? (Kwa wanaume sitii neno hapo, kwa sababu liko wazi kabisa)

  2.Eti mwaweza kwenda kuliwa uroda ilhali mumeo unayempenda sana mpaka ukaamua kuhamia kwake yu kitandani hoi? Nadhiri haziwasuti? (Ningekuwa Mungu mngenitambua hakyanani)

  3.Je mwaweza kuvumilia muda gani wakati mnajua kabisa huyu unayelala naye kitanda kimoja baioloji yake ishakuwa si rizki? Mwaweza kuvumilia mpaka ziraili mtoa roho afanye kazi yake? (Hapa mnaweza kuniambia kwa PM manake najua wengine mwaogopa kusema hadharani)

  Babu ako konfyuzdi na ameanza kuogopa kutenguka kiuno….Bibi bado anadai wasije wakanichakachulia kwenye hili banda nililojenga kwa pesa za mkopo;

  Angalizo: Hii mada ni serious na atakayeenda Ofu Topic….nambwenga makwenzi afu anakula BAN!
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Bwana X
  Bwana Y

  Babu unaniruhusu nifanye magazijuto?????
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,049
  Likes Received: 24,051
  Trophy Points: 280
  Aisee dogo...ofu topic zimekatazwa hapa!
   
 4. RR

  RR JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Mpaka kifo kitakapowatenganisha.........
  Naomba definisheni ya kifo.......halafu ntachangia (japo sijaalikwa kuchangia).....
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,049
  Likes Received: 24,051
  Trophy Points: 280
  Kifo ni pale ambapo pumzi inagoma kutoka na kuingia
  Moyo unagoma kufanya kazi
  Baioloji inasizi kuibuka
  Watu wanaweka matuirubai
  Watu wanakula ubwabwa
  Walevi wanachimba shimo la kukufukia
  Kina mama wanaachia vilio, japo vingine vya kizushi
  Na kazalika na kazalika
   
 6. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #6
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160

  Hiyo red imenisikitisha sana tena sana mapenzi yakoje jamani hata uvumilivu hatuna??? Will be back
   
 7. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  yanayotokea kwenu hata kwa wanawake yapo ila tu sie tuna staha nyie mmeamua kuhalalisha


  1.Hiki kiapo kwamba "nitakuwa mwaminifu mpaka kifo kitutenganishe" kinatekelezeka? Is it practical kwa wanawake? (Kwa wanaume sitii neno hapo, kwa sababu liko wazi kabisa)
   
 8. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Who is talking?
   
 9. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mmmhhhh.
  Bado sijakula hicho kiapo cha 'till death..' lakini sidhani kama kiko practical
  As far as I have seen it happening ni asilimia ndogo sana ya ndoa hasa za kisasa zinaishi kwa kauli hiyo
  nyingi ni full usanii
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  wakinamama tafadhali tunaomba majibu ya hayo maswali
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,049
  Likes Received: 24,051
  Trophy Points: 280
  Nakusubiri...ole wako ulete uongo wako hapa!
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,049
  Likes Received: 24,051
  Trophy Points: 280
  Mwanamke wa kwanza msema kweli!

  Kabatani ka senksi kameenda wapi wajameni?

  Anyway...kamatia kwa hapa THANKS!
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  duh!...

  ngoja nisome upya

  mara nyingi comments zangu zimekuwa very different na comments za majority

  ngoja nisome upya...
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,049
  Likes Received: 24,051
  Trophy Points: 280
  Sijui kwanini hawataki kunijibu asee!
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Feb 22, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mi sijamwapia mtu ntakua nae mpaka kifo ila ndio namba moja inawezekana kama hamna matatizo makubwa yakufanya watu watengane!Namba mbili kwakweli ni ngumu kufanya kama aliyepo kitandani unampenda kweli!Na namba tatu inategemea pande zote mbili...kukosa mapenzi hakuui ila kama nyumbani mambo hayaendi bila vituko na malalamiko toka kwa mwanaume mtu anaweza akashindwa kuvumilia baada ya kipindi fulani!
   
 16. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #16
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ndio ukweli babu sema tu kina mama wanafanya mapema ili ukifika home ukute mambo safi na weekend hata ukiwafungia hawajali sana nyie mmehalalisha mpo hapo.

   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Feb 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,049
  Likes Received: 24,051
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo Lizzy unataka kuniambia wewe hiki kiapo "mpaka kifo kitutenganishe' hutakiapa kwa kuwa hutaweza kukisimamia?

  Hahahaha....Chaurooooooz!

  Kumbe ukweli ni kuwa kina baba wanafanya hadharani na kina mama mnafanya kwa siri?

  Kwa hiyo KUFANYA kuko palepale?
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Feb 22, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nisipokiapa itakua kwa sababu nyingine sio hiyo! Kiapo ntakiweza kama mwenzangu ataniwezesha!Ndoa sio ya mmoja kwahiyo inabidi anisaidie mimi kumsaidia yeye!
   
 19. F

  Ferds JF-Expert Member

  #19
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Babu acha ubaguzi wa kijinsia hapa jamvini, story yako imewalenga mke wa mtu kachakachuliwa na mume wa mtu, wote walikula viapo hawa, so suala la kuvunja viaapo ni la mtu binafsi na si jinsia, na kusema mpaka kifo kikutenganishe kwa hali hiyoo kifo c mpaka ufukiwe , kama umepalalaizi haf body wewe ni mfu ulie hai, ila suala la ubinadamu ndio linahitajika hapa, huwezi kumuacha mkeo au mumeo kalakala wewe unakula uroda, da cjui imekaaje, na huyo bwana X asijifanye eti kategwa huyo kaumindi mzitgo longi time kitambo sema ndio vile...............
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Feb 22, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Babu hilo swali ulilouliza naona lina jibu hapo hapo


  The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

  The Finest (Today)​
   
Loading...