Mdada aki-behave hivi huwa ina maana gani??

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,100
6,022
nimekuwa nae faragha kwa takribani 2 weeks, lakini sidiria yake alikuwa haivui,sasa hii huwa ina maana gani??nimejaribu kufuatilia nikaona makahaba huwa na sifa kama hizi coz huenda ikawa ndio sehemu zao sensitive akaja kukupenda wakati yy yupo kibiashara zaidi....je ni kweli au la??
 
pengine hiyo ni aibu yake,au pengine anajihisi mtindi wake umelala,na anajisikia aibu maybe utamcheka kimoyomoyo.au pengine ni mapema mno kukuvulia kila kitu.mkizoeana wala hautomwambia yeye atavivua mwanzo bila ya kuambiwa.hiyo ni kawaida wewe mpe muda tu
 
Hapo kwenye red hapo! umefuatiliaje au umewahi kuchukua? Ila jaribu kumuuliza inawezekana an tatizo ( scars, or breast cancer) e.t.c
 
we mambo huyawezi...hujamlainisha tu vizuri angevua vyote au kukuambia umvue au itoke yenyewe....keep trying hakuna cha ukahaba wala nini
 
nimekuwa nae faragha kwa takribani 2 weeks, lakini sidiria yake alikuwa haivui,sasa hii huwa ina maana gani??nimejaribu kufuatilia nikaona makahaba huwa na sifa kama hizi coz huenda ikawa ndio sehemu zao sensitive akaja kukupenda wakati yy yupo kibiashara zaidi....je ni kweli au la??

Dah, tukiwakataaa mnatulaumu, tukikubali mnakuja kutusema sema huku,
Mmmm unapenda huyo dada kweli......................basi itoe mwenyewe!!!!!
 
we mambo huyawezi...hujamlainisha tu vizuri angevua vyote au kukuambia umvue au itoke yenyewe....keep trying hakuna cha ukahaba wala nini

aagh michelle hapa ntake radhi bibie!!!! halfu ieleweke kwamba nilishamwambia avue akakataa,na mtindi wake haujadrop...uko pouwa tu...sema siku-concentrate sana kama kuna kuna kitu anaficha au vp...
 
Dah, tukiwakataaa mnatulaumu, tukikubali mnakuja kutusema sema huku,
Mmmm unapenda huyo dada kweli......................basi itoe mwenyewe!!!!!

so kwamba nawasema,lah,ila nataka kujua kama inasimbolize kitu chochote behind the truth!!! halafu kuitoa mimi ile sidiria ndio hataki....huyu sidhani kama ni kahaba coz nimekaa nae more than a week!!
 
pengine hiyo ni aibu yake,au pengine anajihisi mtindi wake umelala,na anajisikia aibu maybe utamcheka kimoyomoyo.au pengine ni mapema mno kukuvulia kila kitu.mkizoeana wala hautomwambia yeye atavivua mwanzo bila ya kuambiwa.hiyo ni kawaida wewe mpe muda tu

mtu anakwachia mzigo af akuonee aibu maziwa??
hatuna aibu hyo bwana afrika, bora hata mbele.kwa hilo la ma bitch sina uhakika nalo.
 
aagh michelle hapa ntake radhi bibie!!!! halfu ieleweke kwamba nilishamwambia avue akakataa,na mtindi wake haujadrop...uko pouwa tu...sema siku-concentrate sana kama kuna kuna kitu anaficha au vp...

ha ha ha ha haaaaaa.....nakutaka radhi Sizinga....ila mwanamke haambiwi vua atiii,fanya kazi yako utaona kila kitu....l.o.l
 
haya shukrani michelle..sasa sasa kila kitu huyu sasa anavua kasoro hiyo sidiria tu, kwani uthamani wa mwanamke upo kwenye maziwa tu???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom