My girlfriend ananiibia hela yangu

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Mambo zenu waheshimiwa?ni hivi mie nina my girlfriend wangu ambaye nimepanga chumba kwa ajili ya kwenda kufurahishana inapobidi,lkn mara nyingi napokutana naye baadae nikihesabu hela zangu nakuta zimepungua ktk hali ya mm kutoelewa kwamba kwann zimepungua kiasi hiko nikawa nafikiri labda nimesahau mahesabu lkn kuna cku nilizihesabu fedha zangu kabla yeye hajafika lkn cha ajabu tulipomalizana nikakuta hela zimepungua kwahiyo nikawa na uhakika kuwa yy ndiye anayeniibia bac jana nikamwita ili aje nami nimtege,bac 2kaichakachua ngono kama kawa, 2livyamaliza kuivunja amri ya 6 mie nikaenda kukoga niliporudi nikamuambie na yeye akaoge,alivyotoka mie nikahakikisha hela yangu na kuiona imepungua ndipo nikaanza kusachi ktk nguo zake ckukuta ki2 lkn nilipofika kwenye viatu vyake nikazikuta hela zangu mie nikazichukua zile hela zangu na kuchukua karatasi na kuiandika maneno haya:HII HELA INUNULIE CHUPI UVAE ,nikaichukua ile karatac nikaiweka ktk kile kiatu chake na ku2lia kana kwamba hakuna kilichotoke,alivyorudi kukoga mie nikawa namchora anavyohakikisha kama noti bado ipo kwenye kiatu chake,akavaa na kuondoka zetu cha ajabu mpaka sasa cmu yake kaizima,je nimfanyaje huyu demu na tabia mbaya yake hii mie bado namzimia?
 
Mh pole sana itakuwa humpi pesa za matumizi huku anajua fika kwamba unaweza kumpatia. kwa nini umepanga chumba kwa ajili ya kufanyia ngono?
 
kaa nae umweleze ukweli aache wizi au kama ana shida ya hela akuombe kiustaarabu,i hope she will change.....gudluck
 
wanawake wengi , nadiriki kusema takriban wote husachi poket na walet za wenzi wao hasa bongo. Tabia chafu kabisa
 
Muongo mkubwa wewe,mnaenda kuchukua madada poa,hamuwalipi vya kutosha,mnakuja na data za kipuuzi hapa,eti takriban wote......!!!
 
kwani si umwambie tu ukweli kuwa anakuibiaga pesa zako! MWambie kama anakuwa na tatizo aweanakuambia.Au wewe bwana mkubwa unambania kumtoa na hata pesa ya sabuni?
 
Duuh wee mkali yani una room special for ngono,ipo kinondon au sinza?tena self contained ama kweli ume invest
 
imeandikwa mshahara wa dhambi ni mauti!! ngono itakutokea puani, na hela anazochukua si jasho lake?
 
kaka inaonekana humpi hela ya matumizi thats why, unajua sio mpaka akuombe,na wewe huwajibiki.
anyway kuiba sio tabia njema,siku ile ulivyosifumania kwenye kiatu ungemkalisha chini na kumweleza mapungufu yake na ajirekebishe.
 
Kwa mfano wewe ni boyfriend wangu, hunipi hela ya kununulia chupi, sabuni, mafuta, kupendezesha nywele,
na mimi niwe kama msichana, unafikiri nitafanya nini?

Lakini kama unanipa, unajali mahitaji yangu sikuibii,
sio unaona napendeza wala huulizi, nina simu mpya huulizi, kiatu kipya huulizi, nanukia pafume nzuri hujui nimepata wapi.
Unachojua wewe kuchakachua tu, daaaaaah sitaniii nikipata nafasi ya kukuibia nakuibia kwa kweli.

Kwa hiyo kama unamfanyia hayo yote halafu anakuibia hafanyi vizuri. Mwambie abadilike.
Na wewe kama humpi hela, uwe unampa, hujui ukiona vyaelea vimeundwa kaka wewe!!!

Lakini yote katika yote, mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Mambo zenu waheshimiwa?ni hivi mie nina my girlfriend wangu ambaye nimepanga chumba kwa ajili ya kwenda kufurahishana inapobidi,lkn mara nyingi napokutana naye baadae nikihesabu hela zangu nakuta zimepungua ktk hali ya mm kutoelewa kwamba kwann zimepungua kiasi hiko nikawa nafikiri labda nimesahau mahesabu lkn kuna cku nilizihesabu fedha zangu kabla yeye hajafika lkn cha ajabu tulipomalizana nikakuta hela zimepungua kwahiyo nikawa na uhakika kuwa yy ndiye anayeniibia bac jana nikamwita ili aje nami nimtege,bac 2kaichakachua ngono kama kawa, 2livyamaliza kuivunja amri ya 6 mie nikaenda kukoga niliporudi nikamuambie na yeye akaoge,alivyotoka mie nikahakikisha hela yangu na kuiona imepungua ndipo nikaanza kusachi ktk nguo zake ckukuta ki2 lkn nilipofika kwenye viatu vyake nikazikuta hela zangu mie nikazichukua zile hela zangu na kuchukua karatasi na kuiandika maneno haya:HII HELA INUNULIE CHUPI UVAE ,nikaichukua ile karatac nikaiweka ktk kile kiatu chake na ku2lia kana kwamba hakuna kilichotoke,alivyorudi kukoga mie nikawa namchora anavyohakikisha kama noti bado ipo kwenye kiatu chake,akavaa na kuondoka zetu cha ajabu mpaka sasa cmu yake kaizima,je nimfanyaje huyu demu na tabia mbaya yake hii mie bado namzimia?

Location : jo'burg
 
Muongo mkubwa wewe,mnaenda kuchukua madada poa,hamuwalipi vya kutosha,mnakuja na data za kipuuzi hapa,eti takriban wote......!!!

Hapo umesema Mama big up :A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
 
Pole kaka, huyo mpenzi wako ni mwizi sugu....ila nashukuru kwa jinsi ulivyomnasa na ukawa mpole...Inaonyesha kukomaa kwa akili.
Nashauri umpe nafasi akatafute wenye nazo zaidi maana kama anafanya hivyo ujue akikutana na wenye pesa zaidi yako watalamba ki ulaini...matokeo.... Utakuwa unasikiliza wimbo wa Feruzz...au wa Dazz Nundas...Kamanda
 
Mambo zenu waheshimiwa?ni hivi mie nina my girlfriend wangu ambaye nimepanga chumba kwa ajili ya kwenda kufurahishana inapobidi,lkn mara nyingi napokutana naye baadae nikihesabu hela zangu nakuta zimepungua ktk hali ya mm kutoelewa kwamba kwann zimepungua kiasi hiko nikawa nafikiri labda nimesahau mahesabu lkn kuna cku nilizihesabu fedha zangu kabla yeye hajafika lkn cha ajabu tulipomalizana nikakuta hela zimepungua kwahiyo nikawa na uhakika kuwa yy ndiye anayeniibia bac jana nikamwita ili aje nami nimtege,bac 2kaichakachua ngono kama kawa, 2livyamaliza kuivunja amri ya 6 mie nikaenda kukoga niliporudi nikamuambie na yeye akaoge,alivyotoka mie nikahakikisha hela yangu na kuiona imepungua ndipo nikaanza kusachi ktk nguo zake ckukuta ki2 lkn nilipofika kwenye viatu vyake nikazikuta hela zangu mie nikazichukua zile hela zangu na kuchukua karatasi na kuiandika maneno haya:HII HELA INUNULIE CHUPI UVAE ,nikaichukua ile karatac nikaiweka ktk kile kiatu chake na ku2lia kana kwamba hakuna kilichotoke,alivyorudi kukoga mie nikawa namchora anavyohakikisha kama noti bado ipo kwenye kiatu chake,akavaa na kuondoka zetu cha ajabu mpaka sasa cmu yake kaizima,je nimfanyaje huyu demu na tabia mbaya yake hii mie bado namzimia?

Huyo girlfriend wako inaelekea ana tabia ya udokozi na imeshakomaa. Kama bado unamzimia mwambie ukweli anaweza kujirekebisha ila sidhani kama ataacha.
 
Back
Top Bottom