jamii01
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,974
- 1,401
katika pitapita zangu mtaani na kusoma habari nimegundua kunaobgezeko kubwa si wanaume au vijana kuwa ubwabwa(mashoga)haijarishi ameoa au bado..na wengi wao huwa wanafanya kwa siri kubwa na hata kwa Tanzania tatizo linakuwa kwa kasi zaidi tofauti na watu wengi wanavyofikiri..wanaume ambao wamekwisha kuwa na farmilia basi hufanya kwa siri kubwa na gharama kubwa ili kutunza usiri..
Ukienda katika nchi ambazo zimekwisha endelea ndiyo kabisa..hata shetani anakataa si yeye...
Jamani shida kubwa wanaume wenzangu ni nini?na hawa vijana wetu tutawaficha wapi?
Ukienda katika nchi ambazo zimekwisha endelea ndiyo kabisa..hata shetani anakataa si yeye...
Jamani shida kubwa wanaume wenzangu ni nini?na hawa vijana wetu tutawaficha wapi?