Hivi mapenzi yana 'independent mandate' au ni 'psychological matter' tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mapenzi yana 'independent mandate' au ni 'psychological matter' tu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tasia I, Mar 4, 2011.

 1. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wakuu, pleni sana.hata hivyo ni wakati wakujipongeza kwa wiki yote hii kuwajibika.
  Kwa mimi nimejadili binafsi, nikafikia hitimisho kua mapenzi ni yana independent mandate kuliko kwamba ni suala kisaikolojia zaidi.

  Maoni yenu ni yapi jamaa!! nayahitaji kwa kweli.
   
 2. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  tuwekee vizuri tuelewe....fafanua....mi waga sielewi mada zako kweli....ningependa kujadili ila please weka vizuri.
   
 3. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hueleweki kabsa!!
   
 4. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ebo poleni sana.sasa hapa nini kisichoeleweka??
  Michelle na Mawenzi, nachouliza ni kuaa, mapenzi yana maamuzi yake au ni mapenzi ni suala la kisaikolojiatu?? kua mtuaanweza kuamua ayaendeshe anavyotaka, au mapenzi yanauwezo wakumwendesha mtu yanavyotaka yenyewe??

  Hapa sijui nimeeleweka??
   
 5. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  mapenzi ni suala la kisaikologia (emotions) ila inabidi kuya-control kwasababu ukifuata hisia zako tu unaweza pata matatizo....so most of the time we control our emotions for some reasons......nafikiri mapenzi yanaweza muendesha mtu na yanatuendesha.....unaona kabisa mtu mhuni lakini bado tu unamng'ang'ania kwa kuwa unampenda sana na anakupa raha ambayo huamini waweza ipata kwa mwingine....ukiamua unaweza yaendesha utakavyo....
   
 6. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Michelle,
  sawa kwa kiasi.sasa kama suala ni hili how comes mtu anatendwa na anabakia na maumivu miaka na miaka.
  si ingekua ni rahisi tu kuamua kua,keshazinguliwa na anamdelete mwenzie kwa kichwa??
  au labda unafall kwa mtu af anakutosa na unaumia wakat wala hujawah kua in memory nae.si ingekua rahisi tu kumtoa kwa min??
  au inakuaje unapendwa sana na mtu lakini weewe unashindwa kabisa kumpenda?? na huwez kuamua kua ngoja nimpende fulani?
  ndo sababu nasema kua love ina independent mandate.
   
 7. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  unapozisikiliza hisia kuliko akili lazima utalemewa nazo....ukiamua kum-delete mtu unaweza....ishu ni kujijengea kisaikolojia kuwa huwezi au yeye ndo wa maana sana na hakuna kama yeye.....it takes time kumtoa mtu akilini si kitu cha minutes but al last atatoka.....

  mtu kubaki na maumivu inategemea ulifanyiwa nini na aliyekufanyia hivyo ni nani na kitendo chenyewe ni kikubwa kiasi gani??? kuna watu hawastahili kutufanyia mabaya kwa kuwa maybe tumejitahidi kuwa wema sana kwao na kujitoa tusiwaumize....sasa hapa inakuwaga ngumu...ila kuna wakati wa kukubali imeshatokea na maisha lazima yasonge....ukikaa ukilalamika na kulifikiria kila siku utalia sana na hutasonga mbele....mimi chochote kibaya nachofanyiwa,nalia kama wiki then natulia nafikiria yote then nasema enough is enough...life has to go on na kweli life goes on tena kwa raha sana....
   
Loading...