MTWA
JF-Expert Member
- Aug 5, 2009
- 1,166
- 166
Baada ya visa vichache vilivyotokea siku za usoni kutoka kwa mke wangu na kujikuta maganzi na faraja zimepungua, Imenitokea tu nampenda sana dada mmoja ambaye ninafanya naye kazi. Nilikuwa nampenda tu kawaida lakini sasa nimepata hisia za kimapenzi sana na yeye, japo alikuwa hajajua lakini sasa ameshagundua.
Nimejitahidi kumkwepa ili hisia zangu zipite lakini nisipomwona tu sina raha kabisa, ila akija hata akae tu kidogo kwenye ofisi yanggu basi siku nzima nafanya kazi kwa raha sana.
sasa naogopa hata kumwambia kuwa nampenda japo alishagundua hali, na pia nikimwambia tukaingia mahusiano inaweza kuleta mgogoro.
nafikiria kuufanya uwe uhusiano wa siri sana na zaidi ikiwezekana uwe wa kawaida. KWA WATAALAMU, JE INA HATARI KUBWA KAMA INAVYO NITETEMESHA MIE