Tahadhari mnaopenda kuchukua wasichana warembo

Dr wa ukweli

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
900
264
Wanaume mnaopenda kuchukua wasichana warembo hususani kama umekutana nae siku moja na kumtaka kimapenzi ikibidi kusex nae siku hiyo hiyo ni hatari sana.
mtaani sasa hivi majini wanawake yamejaa sana, utaona ni mrembo kama malaika kumbe jini utamdu muda si mrefu utapotea au utapata madhara

hakikisha msichana unaetaka kuwa nae kimahusiano unamjua vizuri eithe anaishi wap, anafanya kazi wap, marafiki zake ni nani, alisoma wapi na ufanye uchunguzi wa kina kabla hajaparamia majini!

majini watu ni wengi wanapita mabaa usiku au njiani wamesimama mchana/usiku wanarembua kweli kweli tuwe makini kwa hilo nina mifano hai wameonekana.
 
mie naona hiyo lbd itasaidia wanaume kutulia!! nilikuwa natamani kila mwanaume akutane na jini alafu limzabue makofi kama mawili tu, then tabia zenu zitabadilika na kukaa sawa!!
 
wewe unatuombea tukutane na majini? mbaya wewe
 
mie naona hiyo lbd itasaidia wanaume kutulia!! nilikuwa natamani kila mwanaume akutane na jini alafu limzabue makofi kama mawili tu, then tabia zenu zitabadilika na kukaa sawa!!

Duu wewe unatamani likutane na kila mwanaume....mimi natamani likutane na umpendae sana...mumeo au mpenzi wako na apelekwe msikule ndo utaja jua kuwa dua hiyo ni mbaya kwa wanaume akiwepo umpendae
 
ha ha haaaaaaaaaaaaaaa hapo sasa
 
kwa wale wanaopanda mabasi ya buguruni -feri watakubaliana na mimi hasa usiku ukiwa na macho ya roho unaweza muona mdada mzuri kajifunika full(ninja) ukiangalia knye kucha za mikona utaona tofauti au miguuni kama kwato za ngombe
 
Sasa mtu kajifunika kama ninja unajuaje ni mzuri?
 
mie naona hiyo lbd itasaidia wanaume kutulia!! nilikuwa natamani kila mwanaume akutane na jini alafu limzabue makofi kama mawili tu, then tabia zenu zitabadilika na kukaa sawa!!

we mama mgonjwa nini!! we umetulia we?? na we uzabwe kwanza af utulie.
 
mie naona hiyo lbd itasaidia wanaume kutulia!! nilikuwa natamani kila mwanaume akutane na jini alafu limzabue makofi kama mawili tu, then tabia zenu zitabadilika na kukaa sawa!!
napenda jini lianze na mumeo.........................
 
hao ni wengine, kutia msisitizo wapo!

Unatia msisitizo kwa kujidanganya umemwona mrembo alievaa kininja?Unajuaje ni mrembo na sio mwanaume mwenzako?Ndo maana hua mnakumbwa na mambo ya ajabu ajabu shauri ya somba somba!
 
hapo sasa, wanaume kazi kwenu maana wengine wakimuona m2 wala hujui alipotoka ushaanza sound! sio kila king'aacho ni dahabu!
 
heri mimi na wenzangu hatuko dar kwenye majini halafu mazuri yanapendeza,...yasingetukosa.
 
Unatia msisitizo kwa kujidanganya umemwona mrembo alievaa kininja?Unajuaje ni mrembo na sio mwanaume mwenzako?Ndo maana hua mnakumbwa na mambo ya ajabu ajabu shauri ya somba somba!

hilo la ninja tuliache majuz kuna my friend alichukua demu alimkuta maeneo mlimani city kwa nje kama saa sita hivi pale kiuoniamesimama kama anasubiri bas akabeba kufika gest ilikuwa balaa jamaa alitoka na bukta hadi nyumbani
 
Kuna jamaa aliutana nalo Stand ya Tanga mjini lilimletea mauza uza hadi amekomaaa!!!
 
hilo la ninja tuliache majuz kuna my friend alichukua demu alimkuta maeneo mlimani city kwa nje kama saa sita hivi pale kiuoniamesimama kama anasubiri bas akabeba kufika gest ilikuwa balaa jamaa alitoka na bukta hadi nyumbani
Ndo mkome kuokota okota!
 
Majini pia yapo kwa ajili ya wanawake wapenda pesa na kujitongozesha kwa wanaume wazuri na wenye pesa,hivyo nanyi wanawake muwe makini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom