HIVI KUCHEAT NI LAZIMA UWE umeDO au.........???

Barbie Maliposa

Senior Member
Feb 9, 2011
153
19
wanajf hivi 2kisema mtu amemcheat mpenzi/mume/mke wake ni lazma awe ame DO na msichana/mvulana/mwanaume/mwanamke mwingine au hata kuchat na msichana/mvulana/mwanaume/mwanamke mwingine kwa sana,kutoka outings bila kuDO ni kucheat????
 
Barbie,kwa mtizamo wangu hata kutoka out na kuchat na kwa malengo ya ku-cheat huko ni ku-cheat katika hatua za awali.....lile tendo linakamilisha hayo yanayojengwa huko out na kwenye chat........:rain:
 
owkey michelle,got ur point.....
 
kucheat ni ku-do tu....na sio vinginevyo.

ila, kuchat na kuenda out ni mambo ambayo yanapelekea ku-do ndio maana wenza hawayapendi.....na mara nyingi inakuwa ngumu kujua kama ndio wameacha kuchat au kuenda out....au wameshado na sasa ndio wanaendeleza kwa kuchat au kuenda out. kwa hiyo ili kuepusha hilo hata kuchat na kuenda out vinaogopwa.

ila kucheat kama kucheat ni ku-do tu.
 
mimi na mpenzi wangu wa zamani bado tunachat sana hata kutoka siku moja moja tunatoka kupara moja baridi moto ila mpenzo wangu akijua hapendi na nampenda sana mpenzi wangu, ila huyu wa zamani ni social na kuna mambo huwa tunashauriana ya kimaendeleo but siyo ngono hapo kuna ubaya?
 
mimi na mpenzi wangu wa zamani bado tunachat sana hata kutoka siku moja moja tunatoka kupara moja baridi moto ila mpenz wangu akijua hapendi na nampenda sana mpenzi wangu,ila huyu wa zamani ni social na kuna mambo huwa tunashauriana ya kimaendeleo but siyo ngono hapo kuna ubaya?
Kwanza kabisa huyo uliye nae huwezi kushauriana nae unayo shauriana na X?Nwyz sio vibaya kama humsaliti mpnz wako!Ila ingekua vizuri kujua ili hata siku akiwakuta pamoja asilete zogo!
 
mpenzi wangu ni mtata sana namjua nikimwabia hata ni elewa
 
According to me
Ku-cheat ni kutengeneza uhusiano wa nje (wa jinsia tofauti) bila ufahamu au ushiriki wa mwenzako.

Mfano, kutengeneza urafiki na jinsia tofauti bila mwenzako kujua, hata kama ham-do pia ni kucheat. Uki-do ndo tunasema umesaliti uhusiano.

Hapa ktk maelezo haya sijahusisha mashoga na wasagaji.
 
Barbie,kwa mtizamo wangu hata kutoka out na kuchat na kwa malengo ya ku-cheat huko ni ku-cheat katika hatua za awali.....lile tendo linakamilisha hayo yanayojengwa huko out na kwenye chat........:rain:

Aiseee.....basi mi ntakuwa nimemcheat sana my waifu wangu!
 
Kwani uwezo wa kushauriana hana?Hapo hata asipohisi unacheat bado atajiskia vibaya kwamba unashauriana na mwanamke mwenzake wakati yeye yupo!

kuna mambo mengi bado nayahitaji kutoka kwake na yeye anahitaji kwangu, kuna mambo ya busness/accademic suport tunashirikiana
mpenzi wangu ananafasi yake na tunadiscuss kwa uwezo wetu, ila bado kuna vitu vingine siwezi kupata kwa mpenzi wangu wa sasa ambavyo yule wa zamani anavyo( ila siyo ngono/mapenzi)
 
Nadhani si sahihi kuichukulia cheating kwa maana ya ku Do tu kwani hata ku Do nayo ni mchakato. Kwa hiyo hata cheating nayo ni mchakato ambao unaanzia kwa mawasiliano ya karibu, kuchat sana, kutoka out sana na kufanya mambo mengine mengi kama hayo hususan bila mwenza wako kujua.Hata elfu kumi inaitwa hivyo kwa sababu ndani yake kuna elfu moja moja kumi. Vitu kama hivi hukufanya upunguze muda wa kuwa karibu na mpenzi wako na hatimaye mtajikuta mnaingia kwenye mapenzi na yule mtu mwingine. Mtu ambaye unatakiwa kutumia naye muda wako mwingi ni mpenzi wako na sio wengine, kwa mtazamo wangu.
lakini hata uki Do bila kufanya mambo mengine kabla ya ku Do nayo ni cheating tu.
 
mimi na mpenzi wangu wa zamani bado tunachat sana hata kutoka siku moja moja tunatoka kupara moja baridi moto ila mpenzo wangu akijua hapendi na nampenda sana mpenzi wangu, ila huyu wa zamani ni social na kuna mambo huwa tunashauriana ya kimaendeleo but siyo ngono hapo kuna ubaya?

Hakuna ubaya, jana tu nilikuwa na ex wangu tunakunywa na stori kibaooo, BUT no NGONO ZEMBE!!! Its allowed!!
 
Nadhani si sahihi kuichukulia cheating kwa maana ya ku Do tu kwani hata ku Do nayo ni mchakato. Kwa hiyo hata cheating nayo ni mchakato ambao unaanzia kwa mawasiliano ya karibu, kuchat sana, kutoka out sana na kufanya mambo mengine mengi kama hayo hususan bila mwenza wako kujua.Hata elfu kumi inaitwa hivyo kwa sababu ndani yake kuna elfu moja moja kumi. Vitu kama hivi hukufanya upunguze muda wa kuwa karibu na mpenzi wako na hatimaye mtajikuta mnaingia kwenye mapenzi na yule mtu mwingine. Mtu ambaye unatakiwa kutumia naye muda wako mwingi ni mpenzi wako na sio wengine, kwa mtazamo wangu.
lakini hata uki Do bila kufanya mambo mengine kabla ya ku Do nayo ni cheating tu.
noted!
 
Back
Top Bottom