Nahitaji mpenz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji mpenz

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nothing4good, Feb 26, 2011.

 1. N

  Nothing4good Senior Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Habari mimi ni msichana.nina miaka 23 ni mweupe. Urefu nina cm 168.mnene kiasi nina uzito kg72 natafuta mpenz wa muda(mkataba) najua weng mtashangaa kwanini mapenz kwa mkataba. in short ni kwamba nilikua single for 7yrs baada ya kuumizwa na niliyekua naye katika kipindi kifup sana. nikachukia sana wanaume so naogopa kuumiza mkaka wa wa2 kama nitakua pado sijapona majeraha ya mwanzo. ila i promise kama 2taelewana 2naweza ongeza au kuondoa kabisa mkataba.ninaomba kwa wale 2 walio serious ndo wani PM. PIA Wawe na uhakika wakutoniumiza tena. Vigezo.: awe na mapenz ya kwel inatosha. Sichagui rangi, dini, umri, wala elimu. One who isUnder ma age no plz!!!
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ur welcome unamtaka wa age ipi?maana watu tuna 45 na vitambi juu
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Kila la kheri bibie na mpango wako huo,sie wengine tuko mbali,ila hujatuambia unakaa mkoa gani inawezekana niko karibu nawe nikaja kukulaki
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Weka picha waona watakachosainia huo mkataba!
   
 5. N

  Nothing4good Senior Member

  #5
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kama unahitaji mpenz kweli sizani kama utaona huo umbali acha masihara unataka kuchakachua
   
 6. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Hahahahaha umbali lazima niuone bibie yaani nitoke Dar nikufuate Kyela huko uliko sasa hayo ni mapenzi au?
   
 7. N

  Nothing4good Senior Member

  #7
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Siwezi kuaninika picha yangu hapa. Watakuja wengi sana mpaka wasokua na nia. miaka 43 ni mwisho zaidi ya hapo mutanisamehe
   
 8. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahaaaaaaaaaaaa nipo out kweli mwisho 43
   
 9. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #9
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  mi nina vigezo vyote. miaka more than 30 under 35. i'm single too.
   
 10. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mbona age yako ni ndogo sana kukata tamaa mpenzi, halafu unaongelea kuumizwa sana ukiwa na miaka saba nyuma yaani 17yrs! naamini hata aliyekuumiza alikuwa hajui anafanya nini, nakushauri usiingie haya mambo ya mkataba labda useme unahitaji mpenzi ambae makemistry yakikubali muendelee next level yaani uchumba. kwa mimi nakuona bado una muda mwingi wa kupata perfect match
   
 11. N

  Nothing4good Senior Member

  #11
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ndio ni mapenz au we unafikiri ni mapozi
   
 12. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #12
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  okay nitakuchek jombaaaa!
   
 13. M

  Mhango Member

  #13
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie ni mfupi ila vigezo vingine ninavyo, nina urefu wa 120 vipi application nitakubaliwa?Kipato je? Kama mabinti unawahitaji pia maana sina kazi by the way, ila kupenda najua and I mean it...kabila ni Msukuma kama CV unataka na experience nitakutumia...
   
 14. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #14
  Feb 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,913
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  168 Cm Tall halafu uzito ni 72 Kg ????

  Aisee wewe kibonge dizaini...

  Naweza kukadiria uko kama huyu?

  African American Girl.jpg  Good luck......
   
 15. N

  Nothing4good Senior Member

  #15
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  thanx mpenz nitaangalia uwezekano huo ila alijua kabisa alichofanya koz kasema mamake kamchagulia mke so akaniambia soma mtoto! Unachopaswa sasa hiv nikusoma2 mambo mengine achana nayo.yeye alikua chuo ni mtoto huyo?nataman kummeza!!m2
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Feb 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Huo mkataba umeshauandaa??
   
 17. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #17
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Unasema ulikuwa single kwa miaka 7..

  Ina maana 23 - 7= 16.

  Kwa hiyo ulianza mambo ya mapenzi ukiwa na miaka 14 au 15.

  Any way, miaka 23 bado una uwezo wa kumpata mtu wa ukweli, huna haja hata ya kuwa na mkataba. Usiwe mwoga..
  Mabasi kila siku yanaua watu. Lakini sijawahi kusikia watu wameacha kupanda mabasi.

  all the best
   
 18. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #18
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  weka vipengele vya mkataba.
   
 19. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #19
  Feb 26, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  asante mpenzi.

  mi niliposoma tu, niligundua huyu bado ni mdogo sana. mi nina miaka 26 na sijaguswa na mwanume. yeye ana 23 na kishaumizwa zaidi miaka 7 iliyopita na sasa ameandaa kamkataba akidhani ni muarobaini wa kuumizwa! kweli shetani anawatesa watu! kwa kweli niliposoma niliona nisijihangaishe kujibu kitu, ila nilipoona jibu lako nikaona nikuunge mkono.

  mdogo wangu umri wako ni mdogo sana. sijui umefika kiwango gani cha elimu na maisha kwa ujumla, lakini kwa umri wako na mipango uliyonayo, ni mapema sana. zingatia alichoshauri dada yetu Gaga na wengine. asante.

  nisamehe kama nitakuwa nimekukwaza.

  praise the Lord
   
 20. S

  Shauri JF-Expert Member

  #20
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35  mhhh
  mimi nipo tayari je tutaonana lini na wapi?
   
Loading...