Wanawake kuwa na mkono wa birika

Pomole

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
257
7
Hivi ni kwa nini wanawake WENGI hata wawe na pesa kuzidi waume/maboifrendi wao lakini wanakuwa wagumu sana kuwapa au kutumia pesa yake na mwenzie??Hata kama mwanaume wake ana mshahara mdogo kuzidi yeye bado atamuomba hata pesa ndogo ya mswaki.Hivi hii ni asili au nini?Vipato au mishahara yao wanaipeleka wapi?
Hii utaiona kama umetoka auti na mwenzio atazungusha raundi mwanaume tu!!Wapo wachache ambao wanashea na wenzao vipato vyao,lakini hawa wengi ni kwa nini?
 
Unaowaongelea unawajua wewe...japo sikatai wapo!!Ni hulka ya uchoyo tu!Mi najua wanawake hata sio wana uwezo sana ila hicho hicho kidogo wanashea na wenzi wao!
 
Hivi ni kwa nini wanawake WENGI me/hata wawe na pesa kuzidi waumaboifrendi wao lakini wanakuwa wagumu sana kuwapa au kutumia pesa yake na mwenzie??Hata kama mwanaume wake ana mshahara mdogo kuzidi yeye bado atamuomba hata pesa ndogo ya mswaki.Hivi hii ni asili au nini?Vipato au mishahara yao wanaipeleka wapi?
Hii utaiona kama umetoka auti na mwenzio atazungusha raundi mwanaume tu!!Wapo wachache ambao wanashea na wenzao vipato vyao,lakini hawa wengi ni kwa nini?

hapo kwenye blue hata mimi niliwahi kuhoji wa gf wangu wa zaman kwani yeye alikua anafanyakazi wakati mm nasoma chuo,lakin mara ninunulie chupi,mara apple mara vitu vidogo vidogo...jibu lilikua eti wanawake wanaona unapotoa kitu kwao ni kama unamthamin na wanapenda.
Anyway sijui kama ni kweli au ulikua utapeli tu kama utapeli mwingine,tusubiri kina dada watatujuza vizuri
 
wanawake ndio walivyo mwenyewe nimeshudia ambao nafanya nao kazi salary sawa tukitoka tax nalipa mimi bia nalipa mimi nyama nalipa mimi juzi nikawapa live mkitaka mtoke na mimi mnachangia ngapi? au tuchange sawa kwa sawa, ...... hata aibu hawana
 
teh, teh, mlikuwa hamjui? wanawake wengi hasa wa kibongo ni wanyonyaji, ukiwaendekeza then you are dead without money!. suluhisho ni kuwaambia waache unyonyaji uliopitiliza, hata wakikasirika ila msg delivered.
 
Njoo kwangu nitakununulia kila kitu ili uhakikishe kuwa sio wanawake wote mabahili
 
hapo kwenye blue hata mimi niliwahi kuhoji wa gf wangu wa zaman kwani yeye alikua anafanyakazi wakati mm nasoma chuo,lakin mara ninunulie chupi,mara apple mara vitu vidogo vidogo...jibu lilikua eti wanawake wanaona unapotoa kitu kwao ni kama unamthamin na wanapenda.
Anyway sijui kama ni kweli au ulikua utapeli tu kama utapeli mwingine,tusubiri kina dada watatujuza vizuri

hapo kwenye red, mkuu ndiyo maana ulimpiga chini?
 
wanawake ndio walivyo mwenyewe nimeshudia ambao nafanya nao kazi salary sawa tukitoka tax nalipa mimi bia nalipa mimi nyama nalipa mimi juzi nikawapa live mkitaka mtoke na mimi mnachangia ngapi? au tuchange sawa kwa sawa, ...... hata aibu hawana

Heri yako uliyejitoa kimasomaso kuwaambia ukweli. Ndiyo maana tunawaita watoto au baby.
 
Hivi ni kwa nini wanawake WENGI hata wawe na pesa kuzidi waume/maboifrendi wao lakini wanakuwa wagumu sana kuwapa au kutumia pesa yake na mwenzie??Hata kama mwanaume wake ana mshahara mdogo kuzidi yeye bado atamuomba hata pesa ndogo ya mswaki.Hivi hii ni asili au nini?Vipato au mishahara yao wanaipeleka wapi?
Hii utaiona kama umetoka auti na mwenzio atazungusha raundi mwanaume tu!!Wapo wachache ambao wanashea na wenzao vipato vyao,lakini hawa wengi ni kwa nini?

Si wanawake wote wako hivo. wanawake wengi tu wanasaidia wanaume zao
 
Asanteni kwa experience mbalimbali na michango yenu!!Hadi sasa nimebaini sababu kadhaa za baadhi ya wanawake kuwa na mkono wa birika na hivyo kutoshea vipato vyao na wenzao:
1. Wana hulka ya uchoyo-LIZZY
2. Kwa sababu ya kupenda unyonyaji-MATARESE
3. Kupenda kuonekana wanathaminiwa-IGWE
Tunaendelea kupata maoni mbalimbali ya wadau wa JF
 
mmh lakini inauma aiseee hata kam ndo ma love yenyewe aiseee babangu bora tu nisifanye kutoa pesa duuu..........
minilishawahi kuwa na bf mmoja hivi(kongoman type-sharobaro)mmh mbona sababu ilipatikana tu akasepa maana kila siku u kow baby mi ntaka sijui ninihii mara ohh bili nilipe chumba cha mmmmhhhh nilipe mimi usafiri juu yangu duh hata beach nilipe lolo ilikuwa shughuli (bt i have got experience) so hata kumsaidia mume wangu ntaona umuhimu wake.....maana duh mpaka kero no luv tena
amakweli wanaume mnakazi tena poleni sana kwa majukumu.....
ila yatupasa Kubadilika na kuwajali, kuwasaidia wenzawetu
 
No matter how much I earn, to me the MAN is provider, so please don't try to change the nature. Unapata respect pale unapospend kwa wife wako au family hata kama kipato ni kidogo.

Ukiwa utakuwa wewe ni mwanaume na utakuwa ni mpokeaji subiri kuitwa mwanaume SURUALI.
 
Sio wanawake wote ila bado MAJORITY wanafanya hivyo, naweza kusema kati ya 75% - 85% bado wanafanya hivyo.
Ila tatizo mi naona sio kwamba ni wabahili, ila mazoea ya "MWANAUME NDIO HUMLISHA MWANAMKE" bado yanakuwa vichwani mwa wengi wao
 
Kitu hiki kipo kotekote ila kuna upande umezidi kuwa tegemezi. Pale inapobidi kuwa na hali hiyo, basi wasijiache kihivyo. Inshort masikio ya baadhi ya watu huchoka kupokea mahitaji ya mtu mwengine, tena unakuta mahitaji yenyewe ni ya gharama ndogo sana, eti kwasababu unataka uoneshwe upendo basi unaomba. Kwanini usimtengenezee mwenzako mazingira ya kumfanya atoe bila ya kumuomba?
 
Back
Top Bottom