Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi ni kazi, kama kazi nyingine au ni umaskini
0 Reactions
20 Replies
3K Views
There was this guy who believed very much in true love and decided to take his time to wait for his right girl to appear. He believed that...
1 Reactions
3 Replies
929 Views
Nauliza hili swali na ninaomba unijibu kwa kadiri ya ufahamu na uzoefu wako. Asante.
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wanatembea kwa umaridadi sana, huku wakikata kiuno kifundi na kusababisha maumbile ya nyuma yatingishike ki mahaba. Bwana wehhhh, bahatika kwenda nae chumbani, huoni viuno wala nini. Binti...
0 Reactions
46 Replies
16K Views
Upendo wa kweli ni zawadi ambayo Mungu amempa kila mmoja kwa ajili ya mmoja tu,unaweza kuwa na mahusiano na watu wengi lakini yupo ambae amekita kwenye ubongo wako na hatoki,huyu amaweza kuwa ni...
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Wakuu nipo kwenye daladala laa gmboto limejaza gafla ugomvi unaanza kati ya mama wa umri wa kati na mwanaume mwanake anampiga huyu mwanaume tulipo hoji mwanake anaonyesha baibui lake...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Naanza mimi ni wa kwanza. Mawigi yanani-put off sana. Kama na wewe hupendi mke/gf wako avae wigi tafadhali niunge mkono. Natanguliza samahani kwa akina dada mnaovaa mawigi. Msinishambulie mtoto wa...
7 Reactions
169 Replies
12K Views
Habari wana jamii wote,ni mara yangu ya kwanza kuingia huku kwenye forum hii Naomba sana mnipe ushauri wenu kwa haya nitakayoyaeleza hapa Mimi nimeolewa nina miaka 13 katika ndoa, nina mtoto...
2 Reactions
92 Replies
8K Views
Wandugu hivi hamu humzidi tamu?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanajamii Natumaini wote wazima......................... Ni mara nyingi nimekuwa nikisikie kuwa ..Kama unataka mwanaume/mwanamke wako kimapenzi asikuchoke basi usimwonyeshe kuwa kwake...
8 Reactions
79 Replies
8K Views
Tafadhali soma uelewe kisha utoe jibu;unapoambiwa au kuona mke,mume,mpenzi amefanya mapenzi na mtu mwingine ni kipi kinachokufanya BP iwe juu?Je ni mautam anayokupa kwenye makasheshe,Je unahisi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukiwauliza, baba kwanini nisimuoe huyu binti, utasikia akisema, sisi hatuoi ukoo au kabila analotoka huyo msichana. Ukiuliza kwa nini, unajibiwa eti ni mila.
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Utamchukuliaje mpenzi wako endapo utagundua kwamba anataku criticise kwa watu wake wa karibu kwamba da mshikaji wangu ni mlokole sana! Mi sipendi sana?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
napenda kuwashirikisha katika ulingo kwa kutaka kila mmoja aliyeoa au kuolewa atwambie je mtu aliyemuoa au aliyeolewa nae ana sifa au vigezo ulivyokuwa ukivihitaji kabla. au umeoa au kuolewa mtu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajf kuna dada mmoja ananishangaza sana. Ana miaka kama 25 hivi, kaolewa juzi juzi tu(kama miezi 10). Tatizo hataki kabisaaaaa kuitwa Mrs. Yaani mpaka job kwake ameandikisha Miss. Je hii ina...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Kama wewe ni mkristo na una mke mkorofi na umechoka naye ila ukifikiria kumwacha unashindwa kwa vile divorce hairuhusiwi katika christian marriage, jaribu kufanya hivi: Mwambie kuwa umefikiria na...
2 Reactions
43 Replies
8K Views
Je nini kilikufanya ukawa kwenye mahusiano uliyopo?Je ni ngono?Je ni kwa sababu umezaliwa ukakuta kuna mahusiano?Je ni kufuata mkumbo?Je ulilazimishwa?Je ulijaribu kujua ladha...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Unagundua baada ya dadaako kufariki dunia anakuachia watoto wawili. Lakini mojawapo ni jini, na anakufanyia mambo ya ajabuajabu, utafanyeje?
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wana JF Natumain mmemaliza kazi zenu salama, mnajiandaa kupumzika ili mpate nguvu za kufanya kazi tena kesho. Nisiongee sana, nieleze lengo langu. Mzee wangu (Baba Mzazi) Mr. JMM anategemea...
3 Reactions
12 Replies
9K Views
A girl and guy were speeding over 100 mph on a motorcycle) Girl: Slow down. Im scared. Guy: No this is fun. Girl: No its not. Please, its too scary! Guy: Then tell me you love me. Girl: Fine, I...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Back
Top Bottom