Hivi huu ni uroho au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi huu ni uroho au?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by drphone, May 25, 2011.

 1. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Wakuu nipo kwenye daladala laa gmboto limejaza gafla ugomvi unaanza kati ya mama wa umri wa kati na mwanaume mwanake anampiga huyu mwanaume tulipo hoji mwanake anaonyesha baibui lake lilivyochafuliwa na huyu mwanaume yy anaishia kusema samahani dada yangu nimepitiwa suruali nae imechafuka vibaya hii ni ugonjwa au ni nini wanajf hii naishudia live hapa
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Nafikiri hayo ni matatizo ya akili..kufikri ngono kila wakati
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  May 25, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Niliwahi shuhudia live ni aibu sana jamaa alinyamaza kama kaloa na mvua
   
 4. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Huo ni ugonjwa kweli. Watu kama hao inabidi watengwe na jamii hadi wapone. Mmoja alishawahi mchafua mtoto wa shule aliyevaa skirt ya blue(primary). Aibu!!!!!!
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nakubaliana na ww mkuu mana kwa akili za kawaida aiwezekani mwanamke kavaa vazi lake tena la heshima ww tayari unaharibikiwa hoi taabani
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  du yani watengwe chini ya ulinzi mkali mana ni hatarikwa jamii
   
 7. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Aina hii wakikupatia sawa kichakani watakubaka tu. Loh tuombe Mungu atunusuru na watoto wetu na ndugu zetu. Aibu gani hii!
   
 8. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  na mm nimeona live jinsi yule dada alivyohamaki nakumpiga ngumi tulijua jamaa alikuwaa anamwibia ata yy alijua ivyo nipale jamaa alivyokuwa hoi jasho linamtoka nguvu ana alichooweza kusema nisamehe dada wa watu kujigusa anakuta uchafu kibao
   
 9. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  da wanshindwa kwenda kununua machangu wakafanya mpk wakachoka
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  May 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Dahhh pole yake jamani
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kazi ni Kwako.
   
 12. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #12
  May 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  TF
  mambo vipi??
  Mzimz lakini??
   
 13. p

  pointers JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mmhhh hii ni kali.....hao watu wapo sana
   
 14. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  yani bora ukutane na simba kichakani kuliko huyu binadamu hivi hyu akimwona dada yake kakaa vbaya atafanyaje?
   
 15. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu nilikuwaga siamini nasikiaga tu mpaka nilipoona live kibaya zaidi kutokana na zogo sikupata ata mda wakumwoji jamaa japo swali 1 mana hali ya hewa ilibadilika akashuka fasta kwa usalama
   
 16. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hicho ndio kilikuwa akilini mwangu changu wanaweza kuwa mbali nae je ata mabameedi mtaani anakosa ?
   
 17. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  mfadhaiko..... it reminds me of.....
   
 18. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  :smow: makubwa hayo! Mungu awasaidie dada zetu
   
 19. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Mungu awasaidie dada zetu!
   
 20. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #20
  May 26, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kuna watu wana mawazo duni. Kuwatenga hawa itasaidia nini? They just need to see a psychologist! Kazi kwisha...
   
Loading...