CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,863
- 686
Wana JF
Natumain mmemaliza kazi zenu salama, mnajiandaa kupumzika ili mpate nguvu za kufanya kazi tena kesho. Nisiongee sana, nieleze lengo langu.
Mzee wangu (Baba Mzazi) Mr. JMM anategemea kustaafu kazi rasmi mwezi ujao (June 2011).
Mimi ni Mr. MMN ni mtoto wake wa pili kuzaliwa kati ya watoto wa5 wa familia.
Nimekaa na kutafakari sana, nikaona nimpe AHSANTE kwa yote aliyonifanyia ktk maisha yangu, kuanzia kunilea, kuniongoza mpaka hatua ya nzuri maisha niliyofikia sasa.
Am proud of him, so proud!!!
Japo kuna wakati huko nyuma niliona kama ananitesa/ananionea nikawa namchukia kwa kiasi fulani, lakin baadae nikaja kugundua alikuwa ananijenga kimaisha
Sasa kwenye hiyo AHSANTE nimefikiria nimnunulie kitu ambacho kitamfaa yeye kama Baba.
Naomba mnishauri kitu gani hasa kinafaa nimpe, nimtunze, nimshukuru kama AHSANTE kwa aliyonitendea??? Hapa sirudishi gharama za malezi, ila NASHUKURU TU.
Kwa wale wataalamu wa kuchagua zawadi kulingana na mtu unaempelekea michango yenu tafadhali.
Naomba tuongelee kuhusu Baba tu kwa sasa, Mama wakati wake ukifika nitaongea.
Nawasilisha.