Hehhhhh!

SACoNa

Member
May 25, 2011
61
5
Unagundua baada ya dadaako kufariki dunia anakuachia watoto wawili. Lakini mojawapo ni jini, na anakufanyia mambo ya ajabuajabu, utafanyeje?
 
iongezee maneno kidogo halaf kamuuzie kanumba apate Movie ya kutoa mwezi wa June.
 
Unagundua baada ya dadaako kufariki dunia anakuachia watoto wawili. Lakini mojawapo ni jini, na anakufanyia mambo ya ajabuajabu, utafanyeje?

unakaa nae tu, uliwezaje kukaa na dada yako ushindwe kukaa na mtoto wake? au umesahau mtoto wa jini ni jini, so hata dada yako alikuwa jini
 
hahahahhhaahhaa lol
dahhh imebidi nicheke sasa
poster ya tano nafungua na mambo
ya ajabu kweli hivi shule zimefungwa
mapema au ndio nini tena???
 
unakaa nae tu, uliwezaje kukaa na dada yako ushindwe kukaa na mtoto wake? au umesahau mtoto wa jini ni jini, so hata dada yako alikuwa jini

umegundua mtego. Nakumbuka maswali ya darasa la tatu kuwa kama yai moja huchemshwa na kuiva kwa dakika 5, je, matano yataiva kwa muda gani?
 
You must be std III pupil...ungesubiri ukue kidogo, huku ulipoingia si kwako.
 
Usiogope majini, Mpeleke kwa Yesu asiyeshindwa na chochote, Hata kifo hakikumshinda. Ukiogopa majini yatakufuata popote.
 
Unagundua baada ya dadaako kufariki dunia anakuachia watoto wawili. Lakini mojawapo ni jini, na anakufanyia mambo ya ajabuajabu, utafanyeje?

Nakumbuka wimbo wa afande sele, kuna kibwagizo kisemacho, '..... siyo lazima wote tuimbe.....'
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom