Changudoa

1.Wengine ni Umasikini,(itadepend atakavyoichukulia baadae maana inaanza kama umasikini then anaweza kuifanya ikawa kama kazi, mara nyingi anapokuwa mvivu wa kufikiria nini afanye katika maisha yake)
2.wengine wameipenda tu kuifanya na hawana shida yoyote kabisaaaa (utashangaa sana lakini ndo hali halisi na sina jibu hata mimi)
 
Nadhani jina lenyewe speaks for itself: CHANGUDOA!!! maana yake (changudoa). Chukua changu. kwa mtaji huo, changudoa ni sex workers
 
kuna matajiri walianza hii kazi
nasasa ni matajiri zaidi..

hapa kwetu labda kweli ni kwa ajiliya hali ngumu ya maisha lakini kule kwa watu.. mmhh ni biashara au kiburudisho..
 
Lakini kwa pesa zilizokosa baraka za Bwana! Sidhan kama zimebarikiwa hizo pesa!
mkuu wenye pesa wengi wao zinakuwa hazina baraka na zinapatikana kwa njia zisizo sahihi lakini ndo hao wanakumbatiwa kwenye za ibada iweje changu anae tafuta riziki kwa jasho lake pasipo kuiba ionekane pesa yake haramu!
 
teh teh na wale wa ambulance watasema wanafanya bizness ili watoke?ilibidi bs watozwe kodi :mod: hawa wa2
 
mkuu wenye pesa wengi wao zinakuwa hazina baraka na zinapatikana kwa njia zisizo sahihi lakini ndo hao wanakumbatiwa kwenye za ibada iweje changu anae tafuta riziki kwa jasho lake pasipo kuiba ionekane pesa yake haramu!

si ndi hapo sasa,
hebu angalia mafisadi wanavyokwapua fedha ya masikini,
angalia hao wauza madawa ya kulevya, na wahujumu uchumi kwa ujumla,
leo hii huyu changudoa kwanguvu zake na akili yake anatafuta senti ya kumfanya aendelee kuishi
wengine wanamwona hafai!

Hakika huu ni ujasiriamali uso kuwa na bugudha yeyote kwa maslahi ya Taifa!!!
 
k*** ni commodity kama oil, gold, nk! Sasa kama ina value, kwa nini usitafute hiyo value yake?
 
Inategemea huo uchangu doa uko kwenye level gani, nchi nyingine ni biashara halali(kazi) wanalipa kodi na kuiingizia nchi mapato
 
Hakuna kazi chafu na haramu kama hyo,ni upumbavu,tamaa na akiri butu kuuza mwili(utu) wako kwa kisingizio chochote kile,katika hili tunaangalia utu wa binadamu maana binadamu hawezi kuwa hayawani,hata kama unatunza familia,unalea yatima n.k,si hoja,Mungu ametuumba na akili nyingi sana kwanini ufanye sodoma halali?ama ndo vile 'mtayachagua ya kwenu na kuyaacha ya muumba wenu?'ni uzembe na uvivu wa kuzitumia akili zetu ipasavyo

hili ni kosa kuliko yote ama kwa shida ama kwa hanasa na ndo maana sodoma iliiona hasira ya Muumba
 
Back
Top Bottom