Changamoto!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Tafadhali soma uelewe kisha utoe jibu;unapoambiwa au kuona mke,mume,mpenzi amefanya mapenzi na mtu mwingine ni kipi kinachokufanya BP iwe juu?Je ni mautam anayokupa kwenye makasheshe,Je unahisi amekudhalilisha?Je ni mazoea tu ndo yanakuchanganya?Je ni kwa sababu amevunja makubaliano ya kutotoa mwili wake kwa mtu mwingine?Je ni kwa sababu ni dhambi?Coz ule ni mwili wake na ameamua kuutoa kwa mtu mwingine,tatizo kwako nini?Hii ni changamoto kwetu ili kuepuka kufanya mambo kwa mazoea au bila kujiuliza!
 
Umeoa/umeolewa wewe? kama bado , ukishaoa/ukishaolewa utajua jibu la swali lako.
 
Kama una mpenzi, subiri siku moja uone akimmega/kumegwa mwingine. Kitakachokuwa ndani yako yaweza kuwa jibu tosha.
 
Ni kweli. Hakuna jibu la maana hapa. Kuna watu wana wake zaidi ya kumi, tukisema ni mapenzi tunaweza kuwa wrong. Kama ulivyojibiwa hapo juu, SUBIRI YAKUFIKE, ndio utakapojua kwa nini roho inataka kukutoka!
 
Samahani dear
siwezi ongelea ya kwenye ndoa

lakini binafsi nafikiri
nikwa ajili ya mtu kuvunja ile
TRUST..(trust is like a virginity you can only break it once)

pili lile wazo na picha
mbaya kichwani ya mtu wako na mtu mwingine mambo yote matamu mliofundishana kampa mwingine..

tatu ni pale mateso ya akili utakayo pitia mwenyewe (MI not good enough)..

nne ni uwivu wa mpenzi ..
 
Thanx my dear Afro,kwa kuwa na jibu zuri,tatizo watu humu wanakurupuka na kutoa majibu ya ajabu bika kujiuliza hasa sababu ya wao kufanya hivyo,najua kuna maumivu lakini hasa kinachosababisha hayo maumivu ni kipi au ni vingapi?
 
Tafadhali soma uelewe kisha utoe jibu;unapoambiwa au kuona mke,mume,mpenzi amefanya mapenzi na mtu mwingine ni kipi kinachokufanya BP iwe juu?Je ni mautam anayokupa kwenye makasheshe,Je unahisi amekudhalilisha?Je ni mazoea tu ndo yanakuchanganya?Je ni kwa sababu amevunja makubaliano ya kutotoa mwili wake kwa mtu mwingine?Je ni kwa sababu ni dhambi?Coz ule ni mwili wake na ameamua kuutoa kwa mtu mwingine,tatizo kwako nini?Hii ni changamoto kwetu ili kuepuka kufanya mambo kwa mazoea au bila kujiuliza!
Hapo kwenye red hayo yote ni majibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom