Inakuwaje wapendwa

LADY M

Member
May 3, 2011
27
2
Utamchukuliaje mpenzi wako endapo utagundua kwamba anataku criticise kwa watu wake wa karibu kwamba da mshikaji wangu ni mlokole sana! Mi sipendi sana?
 
Nitamchukulia kua kumbe hashoboki saana na mambo yangu...
kwa hiyo wee mlokole eeeh? HONGERA.
 
Utamchukuliaje mpenzi wako endapo utagundua kwamba anataku criticise kwa watu wake wa karibu kwamba da mshikaji wangu ni mlokole sana! Mi sipendi sana?

DY MASWALI MENGNE JAMAN..
KUNA KITU KINAKUSUsumbua bt unashindwa kukiweka waz..kukiwasilisha

kuwa MLOKOLE na kuwa MSHAMBA NI VITU VIWILI TOFAUTI

unaweza ukawa mlokole na USIWE MSHAMBA...
unaweza ukawa mshamba na si mlokole..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom