mke au mume uliyenae

fimbombaya

Member
Apr 11, 2011
47
12
napenda kuwashirikisha katika ulingo kwa kutaka kila mmoja aliyeoa au kuolewa atwambie je mtu aliyemuoa au aliyeolewa nae ana sifa au vigezo ulivyokuwa ukivihitaji kabla. au umeoa au kuolewa mtu tofauti? kaz kwenu
 
Alienda kusaga mwaka jana mwezi kama huu,leo natimiza bethidei ya kuondoka kwake akija nitamuuliza!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom