Mahusiano!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Je nini kilikufanya ukawa kwenye mahusiano uliyopo?Je ni ngono?Je ni kwa sababu umezaliwa ukakuta kuna mahusiano?Je ni kufuata mkumbo?Je ulilazimishwa?Je ulijaribu kujua ladha yake?Tafakari!Itasaidia kuboresha mahusiano uliyonayo!
 
Unajaribu kuhoji uhalisia wa mapenzi? thats a natural phenomena
 
Philosophical question.
Kuna uwezekano mkubwa kuwa wengine walifuata mkumbo, wengine walishawishika, wengine walitaka kuonja wakaona utamu, wengine walilazimishwa nk. Kwa hiyo uwezekano wa kujibu moja kwa moja kinachokuvutia kwenye mapenzi sio mrahisi.
 
Je nini kilikufanya ukawa kwenye mahusiano uliyopo?Je ni ngono?Je ni kwa sababu umezaliwa ukakuta kuna mahusiano?Je ni kufuata mkumbo?Je ulilazimishwa?Je ulijaribu kujua ladha yake?Tafakari!Itasaidia kuboresha mahusiano uliyonayo!

Mi sijui, nijikuta tu
 
Mmhhh hivi ukipata majibu
itakusaidia vip

Sio kwamba nimeuliza kwa niaba yangu,nimeuliza kwa kila mmoja ili itusaidie kujikagua kama tuna sababu za msingi kuingia kwenye mahusiano na sio sababu za ajabu ajabu!
 
Ni sababu gani za msingi?? unaweza ukatusaidia
 
Back
Top Bottom