Tru love come once in a life time!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Upendo wa kweli ni zawadi ambayo Mungu amempa kila mmoja kwa ajili ya mmoja tu,unaweza kuwa na mahusiano na watu wengi lakini yupo ambae amekita kwenye ubongo wako na hatoki,huyu amaweza kuwa ni yule wa kwanza au wa pili,au hata watano,huyo ndo alie sahihi kwako,ukijikagua utagundua yupo kama hayupo kwenye kumbukumbu zako usihofu utakutana nae tu ni suala la muda,hakikisha unamuoa/unaolewa na huyo,ukiolewa na mwingine itakula kwako coz ndani ya moyo wako kuna nafasi ya huyo tu!!!!
 
Yes, you are right! Umeolewa/umeoa na baadaye unakutana na ubavu wako (the so called true love). What will you do? probably ( I am not sure) , but not to give a second thought to anyone apart from your wife/husband. Do you know what, at one time, your spouse was your true love, but after spending sometimes together, your mind tells you that hafai tena, nilifanya makosa, na unampa nafasi mtu mwingine!

I do not agree. we have to learn to live and love our spouses, and make them our true love!!!
 
weeeelllll said okada ,,,,,i clap for u....:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:
Yes, you are right! Umeolewa/umeoa na baadaye unakutana na ubavu wako (the so called true love). What will you do? probably ( I am not sure) , but not to give a second thought to anyone apart from your wife/husband. Do you know what, at one time, your spouse was your true love, but after spending sometimes together, your mind tells you that hafai tena, nilifanya makosa, na unampa nafasi mtu mwingine!

I do not agree. we have to learn to live and love our spouses, and make them our true love!!!
 
Umenena vyema kabisa. Nimewahi sikia mtu akisema nilipenda mara moja naapa sitapenda tena. Sasa sijui ndo huyo true love wake lakini akabehave ndivyo sivyo au inakuwaje tena.
 
Upendo wa kweli ni zawadi ambayo Mungu amempa kila mmoja kwa ajili ya mmoja tu,unaweza kuwa na mahusiano na watu wengi lakini yupo ambae amekita kwenye ubongo wako na hatoki,huyu amaweza kuwa ni yule wa kwanza au wa pili,au hata watano,huyo ndo alie sahihi kwako,ukijikagua utagundua yupo kama hayupo kwenye kumbukumbu zako usihofu utakutana nae tu ni suala la muda,hakikisha unamuoa/unaolewa na huyo,ukiolewa na mwingine itakula kwako coz ndani ya moyo wako kuna nafasi ya huyo tu!!!!

acha tu,kumbukumbu nyengine zitadumu milele,na mapengo mengine hayazibiki,
 
Itadepend na utakayekutana naye after kuachana naye huyo first lover wako,anaweza akakucare mpaka ukumsahau huyo wa kwanza forever!
 
A person ambae amepewa moyo wa kupenda na Mwenyezi Mungu
hupenda, huvunjwa, hu-rise tena... on going circle...
Mi personally naona love ika happen kwako na mwenza wako
katika maturity stage... it is more wonderful for you enjoy,
unajua wapi not to cross the line na kutokana na past mistakes
you are more appreciative... My first love was a jerk!
i wouldn't want to believe or ona kua sababu he was my first hakuna kama yeye...
that will be completely WRONG...
 
mami hii ni kwa ajili yako

maana umesema kilichoko akilini mwangu.. sante dear
 
AD Mpenzi nashukuru kua tuna stand moja katika hili suala.... and the flowers nayaweka mezani nikifika home...lol.. THANK YOU..

The Following User Says Thank You to afrodenzi For This Useful Post:

Asha D (Today)​
 
usijali
kabisa tuko pamoja kwenye hilo..

Vigumu kukataza macho kuona
na ni vigumu sana kuukataza moyo kupenda(tena)
 
Upendo wa kweli ni zawadi ambayo Mungu amempa kila mmoja kwa ajili ya mmoja tu,unaweza kuwa na mahusiano na watu wengi lakini yupo ambae amekita kwenye ubongo wako na hatoki,huyu amaweza kuwa ni yule wa kwanza au wa pili,au hata watano,huyo ndo alie sahihi kwako,ukijikagua utagundua yupo kama hayupo kwenye kumbukumbu zako usihofu utakutana nae tu ni suala la muda,hakikisha unamuoa/unaolewa na huyo,ukiolewa na mwingine itakula kwako coz ndani ya moyo wako kuna nafasi ya huyo tu!!!!

inakuwaje kama hatunaye tena duniani au kama naye nahisi true love kwa someelse, not you?
 
we ukiwapa hao watu break
halafu watengenezee chai na vitumbua
wapongeze kwa kazi nzuri walioifanya
na usiwe na kinyongo nao sasa hapo
utakuwa na TRUE LOVE hahahahh lol

.. ivi dunia hii bado kuna that thing.."TRUE LOVE"??? siamini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom