Habari zenu Jf, Naomba ushauri wenu,, ni hivi kuna msichana ambaye nimempenda na nimeshaanza kutengeneza ukaribu naye. Habari niliyoipata jioni ya leo ni kwamba rafiki yangu wa karibu amewahi...
Wajapani sio wabaguzi kama wachina. Na kwa wale wanaoishi au walioishi japani au waliooa wajapani wanaweza kuthibitisha hilo. Wengi wetu ktk kutembea na wanawake tofauti na wa kwetu yaani wabongo...
Soldier cited for holding off up to 30 Taliban by himself
Acting Sgt. Dipprasad Pun of the Royal Gurkha Rifles displays his Conspicuous Gallantry Cross.
Britain's newest hero is a Nepali...
Wakuu heshima mbele,
Kwa muda mfupi nimekuwa katika mahusiano na binti mmoja ambae ametokea sana kuukonga mtima wangu, baada ya pilika za hapa na pale na vishawishi vya hapa na pale nikafanikiwa...
Ndugu Mpendwa
wasalaam;habari za huko uliko.pengine si mbaya kukumbushana mambo muhimu hasa wale walioamua kujteika kwenye Ndoa
Kuna mambo mengi ya kuwa makini naona leo nianze na hili la MSINGI...
..........hii ilikuwa ni kauli ya Kungwi mmoja maarafu,
mjini DSM;alikuwa akimfunda binti na kisha akawageukia na akina baba/wanaume,
Akazidi kusema......................
''Nawaambia akina...
alimaliza masomo korea miezi sita iliyopita
Ofisa mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Fred Kaombwe (28), amejiua kwa kijipiga risasi kichwani baada ya kumkuta mkewe akiwa...
Miaka michache iliyopita nilikuwa kwenye pita pita ya mitaa za Nairobi. kutahamani mbele yangu kushoto kuna mama mmoja akaniita. sijakaa vizuri mwingine pembeni kulia nae akaniita tena kwa nguvu...
"Whatever you give a woman, she will make greater. If you give her s*pe*rm, she'll give you a baby. If you give her a house, she'll give you a home. If you give her groceries, she'll give you a...
Oh lover, dont you dare slow down
Go longer, you can last more rounds
Push harder, your almost there now
So go lover, make my mother proud
And when were done, I dont wanna feel my legs
And when...
Kuna nywele siku hizi wanawake weusi wanazivaa kichwani wanaziita human hair, mwanamke mweusi akizivaa hizo nywele anakua kama mhindi si mhindi, mzungu si mzungu.
Mwanzo mimi nilifikiri ni...
Some people say money,some say beautfull garls!What do think?Unahangaika usiku na mchana upate hela au utoke outing na mabint wakali?(wazuri)au ni vijana mahandsome??
Ilikuwa juzi jumatatu nilipokuwa naongea na bro wangu kuhusu kuwa mpaka leo sijaoa,nikamuuliza kuhusu uaminifu wa wanawake,akaniambia nitakapo tafuta mchumba niwe makini kwani mabinti wembamba...
Wana jamii especially wapenzi wa MMU!
Jana jioni nilimtembelea shemeji maeneo ya Mbezi ya Kawe kwenye flat za BOT...
kituko nilichokiona pale kiliniacha mdomo wazi.
Shemeji analea mtoto ambae...
Nchini kenya,kuna sheria iko mbioni kuundwa.Sheria hii itamruhusu mwanamke aliye katika ndoa,ambaye mumewe amepungukiwa nguvu za kiume,kumshtaki mumewe mahakamani na hatimaye kuomba kupewa...
Juzi nilianzisha thread ikiongelea hii ishu. Wengi wakasema ni uongo. Sasa sijui ni wao ndio wanajidanganya maana naona ni ishu iliyo serious sana.
Unaweza kuipata hapa...
Home:Arusha,mama mchagga,baba mngoni.Jina Martina.
Mdada Agnes aligundulika 2010 kuwa na uambukizo unaoshambulia Anatomy ya mfumo wa uzazi.
Alichomwa sindano za kuzuia kusambaa kwa ugonjwa...