Ukigombewa ka' Mpira wa Kona utafanyaje?

Manumbu

JF-Expert Member
Oct 28, 2009
1,746
1,282
Miaka michache iliyopita nilikuwa kwenye pita pita ya mitaa za Nairobi. kutahamani mbele yangu kushoto kuna mama mmoja akaniita. sijakaa vizuri mwingine pembeni kulia nae akaniita tena kwa nguvu 'kuja huku!'. kwanza nikapigwa na butwaa. Kulikoni? kutazama mbele pia kukawa na mama mwingine wa kisomali nae ananiita niende kwake. huku nyuma nako nikasikia naitwa na mama mwingine! Nikajua hapa nimepita kwenye mitaa nisiyoitarajia. ilibidi nitafute junction haraka na kutokomea huku nikitweta utadhani nimetoka kukimbia marathon. Mdau hususan Mwanamme mwenzangu wewe ungetii wito? kama ndio ungewatembelea wote wakukaribishao?
 
Manumbu lucky you wanaume si ndo mnataka hivyo...lol

On a serious not Manumbu ulikua unafanya nini huo mtaa??
Najua swali umeelekeza kwa kina baba but siwezi kubali Uzi wako
nisitie neno...
 
mmh kugombewa vile sidhani kama ndo tutakavyo. na labda ugombewe ukiwa somehow unategemea. sio ghafla bin vuu umejikuta unagombewa, unaweza toka mbio ati!

sikuijua hiyo mitaa. nilielekezwa ukitaka matatu yaendayo westlands (au sijui ni wastelands sikumbuki which is which) pita hivi then kata hivi utayakuta. kutahamaki hamad purukushani za akina mama watafuta rizki!
 
Dah! pole for the experience, i think the guys will envy you...lol
Alafu bado naona unakwepa kusema wewe ulichukua what decision.
labda kama sijasoma posts vizuri..
 
alitafta upenyo na kutokomea.
 
Miaka michache iliyopita nilikuwa kwenye pita pita ya mitaa za Nairobi. kutahamani mbele yangu kushoto kuna mama mmoja akaniita. sijakaa vizuri mwingine pembeni kulia nae akaniita tena kwa nguvu 'kuja huku!'. kwanza nikapigwa na butwaa. Kulikoni? kutazama mbele pia kukawa na mama mwingine wa kisomali nae ananiita niende kwake. huku nyuma nako nikasikia naitwa na mama mwingine! Nikajua hapa nimepita kwenye mitaa nisiyoitarajia. ilibidi nitafute junction haraka na kutokomea huku nikitweta utadhani nimetoka kukimbia marathon. Mdau hususan Mwanamme mwenzangu wewe ungetii wito? kama ndio ungewatembelea wote wakukaribishao?

Kumbe wanaume, mi napita
 
Nina hamu na demu wa Kisomali, udenda unanitoka, yaani hata huyo ulimkataa!!
 
Miaka michache iliyopita nilikuwa kwenye pita pita ya mitaa za Nairobi. kutahamani mbele yangu kushoto kuna mama mmoja akaniita. sijakaa vizuri mwingine pembeni kulia nae akaniita tena kwa nguvu 'kuja huku!'. kwanza nikapigwa na butwaa. Kulikoni? kutazama mbele pia kukawa na mama mwingine wa kisomali nae ananiita niende kwake. huku nyuma nako nikasikia naitwa na mama mwingine! Nikajua hapa nimepita kwenye mitaa nisiyoitarajia. ilibidi nitafute junction haraka na kutokomea huku nikitweta utadhani nimetoka kukimbia marathon. Mdau hususan Mwanamme mwenzangu wewe ungetii wito? kama ndio ungewatembelea wote wakukaribishao?

Kumbe wanaume, mi napita tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom