Kama ni kweli,fanya mazoezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama ni kweli,fanya mazoezi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, Jun 1, 2011.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,679
  Trophy Points: 280
  Ilikuwa juzi jumatatu nilipokuwa naongea na bro wangu kuhusu kuwa mpaka leo sijaoa,nikamuuliza kuhusu uaminifu wa wanawake,akaniambia nitakapo tafuta mchumba niwe makini kwani mabinti wembamba wanapenda sana kurukiana(kufanya mapenzi)kuliko wanene,hivyo nijitahidi kuwa na uwezo mkubwa wa kurukiana,sasa sijajua kama dhana hii ni kweli ama la!Je kuna mwenye uzoefu atujuze?
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  inaelekea una upungufu wa ----------- ndio maana unataka kukwepa kundi flani


  No!ni utani tu najiondokea
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,679
  Trophy Points: 280
  Ninachotaka ni kujua kama ni kweli ili nikipata nijue kuna shughuli,isiwe suprise!Thanx anyway!
   
 4. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,733
  Likes Received: 8,316
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa.....lol!
   
 5. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,374
  Likes Received: 3,211
  Trophy Points: 280
  Ni kweli ndugu hao wanawake wembamba ni mtambo, kama wewe dume wajijua ni wa round mmoja uwakwepe kabisa waweza aibika, hawachoki. Vile vile ukijijua wewe ni lidume kweli wakwepe wanene maana wengi wao ni wavivu na hawapendi kila siku au mara kwa mara.
   
 6. T

  Tata JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,741
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280

  Tatizo ni kwamba hata hao unaowaona kuwa ni wanene nao walianza wakiwa wembamba. Mwembamba wa leo lazima atakuwa ama ni mnene wa kesho au mnene wa jana.
   
 7. vena

  vena JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio kweli...inategemea na mtu.mie nna bonge langu daaaah we linapenda balaaa
   
 8. s

  shosti JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh :mimba:
   
 9. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  No comments!!!!
   
 10. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,679
  Trophy Points: 280
  Wapo ambao naturaly ni wembamba,hata umdumbukize kwenye pipa la mafuta!
   
 11. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,679
  Trophy Points: 280
  Unamtosheleza au kuna msaidizi?
   
 12. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duuu! alifanya research?
   
 13. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mi nilidhani kuwa ma-chinene ndo wanakuwaga na hamu zaidi!!!!
  itabidi nibadilishe choice nisije kupitwa, ila tatizo wembamba wanaumizaga na mifupa yao Bana.:dance:
   
 14. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #14
  Jun 2, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Hahahahahahaha shosti we mwembamba nini?
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,679
  Trophy Points: 280
  Labda huyo mwembamba!
   
Loading...