Kifuniko cha mke ni mumeo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kifuniko cha mke ni mumeo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jun 2, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,486
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Ndugu Mpendwa
  wasalaam;habari za huko uliko.pengine si mbaya kukumbushana mambo muhimu hasa wale walioamua kujteika kwenye Ndoa
  Kuna mambo mengi ya kuwa makini naona leo nianze na hili la MSINGI WA KINYWA
  Kuna Ndoa nyingi hazina amani na wala si kwa ajili ya Umalaya,Uzinzi bali ni kwaa ajli
  ya kushindwa kuheshimu vinywa vyao..kuna watu wanaongea bila kujua umuhimu wa wanaoongea nao..wapo watu wamepoteza kazi sababu ya mdomo wamepoteza Ndoa sababu ya Mdomo Leo nakukumbusha Tena Ulimi kiungo kidogo sana matatizo yake ni makubwa sana

  Pengine nikupe mistari ukiwa na nafasi utasoma mwenyewe
  KUTOKA 14:10
  AYUBU 5:21 Neno la mungu linasema utafichwa na mapigo ya ulimi kumbe kuna mapigo ambayo mtu akiongea vibaya anayapata ..Mungu anasema ukimwamini na kumtumikia atakuficha na mapigo ya ulimi
  Kuna mapando ambayo si ya Mungu unaitaji kuyaondoa soma Matha 15:13
  Math 7:24-27
  Math 16:13-19

  Foundation ya Ulimi wako inaamua kesho yako iweje..wapo watu waliishia kunywa pombe ovyo na kutukana na kushia kufukuzwa kazi kila sehemu wanapokaa leo hi wanateseka na kuhangaika ukiangalia utaona pamoja na vyeti vyako elimu yako bado vyrti avikupi kazi..ulimi unaamua wapi unastahili kukaa kuna watu wana vyeti vizuri wameshindwa kupata kazi kwa sababu ya kushindwa kujieleza kwenye interview..hapo hapo kuna watu kupitia mdomo wao wanaishi maisha mazuri kuliko watu wa maofisini serikalini..leo hii dalali anaishi kama yuko mbinguni sababu ya mdomo wake

  waefeso 3:17
  filipi 4:8-9

  Uwe makini sana na kujua wapi biashara yako maisha yako yameshikamana..kuna wlalioishia kujiungamanisha na kundi la wauza unga leoo wanahesabu ndege pale Segerea sipendi na wewe uwe mmoja wapo

  Ulimi una madhara makubwa sana pale unaposhindwa kuutumia ama kuumiliki anaglia visa vya kuhuzunishwa hapa mtu namwanae wanapodanganya na hii ni dhambi ya kurithi unaitaji kujitoa ama kujikata kitovu saa na EZEKIEL 16:

  MWANZO 20:1-2
  IBRAHIM ANADANGANYA SARA SI MKEWE NI NDUGU YAKE MWISHO MFALME ANAMCHUKUA SARA

  MWANZO 26:1-11 ISAKA ANAMKANA MKEWE KUMBUKA BABAKE ALIMKANA MKEWE KAMA HAPO JUU INAPOONYESHA SO UNAKUTA UULIMI UNA MADHARA MAKUBWA BABAKE ALIPOKANA AKUJUA ANABATILIZA LAANA YAKE KIZAZI HADI KIZAZI INAISHIA KWA ISAKA NAE KUMKANA MKEWE

  HII YOTE NI FAMILLY TREE USIKUBALI KUISHI NA FAMILLY TREE WAPO WATU WAMEVUNJA NDOA ZAO SI SABABU AWAKUPENDANA BALI FAMILLY TREE IMEZUNGUKA UNAITAJI UGUNDUZI NDIO MAANA NILIPOOA MIMI NILIGUNDUA BAADA YAKUFANYA MAPPING YA UKOO WANGU NIKAONA BABU NA BIBI WALIACHANA MAMA NA BABA WAKAACHANA SO INACHOFWATA NI MIMI NIKAANZA KUJIVUA KUKATA KITOVU SOMA EZEKIEL 16: NIKAFUNGA 7DAYS KWA AJILI YA NDOA YANGU TAR 20 NAFIKISHA MWAKA WA TATU KWENYE NDOA YANGU SI O MIMI NI UGUNDUUZI MUNGU AKUPE KUJUA NINI UNACHOTAKIWA KUFAITI..KUNA MJOMBA WANGU WAKATI WA ARUSI ALITOA LAKI 2 ILA AKASEMA HARUSI ZA UKOO AHUDHURII MAANA AZICHUKUI MUDA NKAMWAMBIA NTAKUOMBEA UWE HAI KUONA MIAKA MIWILI KWENYE NDOA YANGU LEO HII NDIE ANAENDA KUANDAA SHEREHE YA KUFIKISHA MIAKA 3 YANGU ..ILIFIKA SEHEMU AKIKARIBISHWA NYUMBANI ANADAI SIJI MPAKA UFIKISHE MIAKA MIWILI ILIPOFIKA WA PILI AKASEMA WA TATU SIO MIMI ILA ULIMI NILIMWAMBIA KAMA MUNGU AISHIVYO UTAKUWA SHAIDI WA NDOA YANGU MWAKA WA TATU

  KUNA NGUVU UNAITAJI KUWA NAYO ILI UWEZE KUTOKA ..NIKUPE KISA KIMOJA HIKI KIMETOKEA ARUSHA NA CHA KWELI NA LEO HII YULE KAKA ANAFURAHIA NDOA YAKE KWA KUJITOA NA MAPIGO YA ULIMI

  NIKIWA UJANANI NIKIWA ARUSHA HUYU KAKA ALIWAHI KUOA TUKAWA TUKO SEHEMU HUYU KAKA AKAMPENDA BINTI MMOJA MBAYA AKAVUA PETE YA NDOA ILE NI PROPHETIC SIGN WEWE UJUI..ALIPOFIKA MAMA WA PALE CANTEEN AKAULIZA UMEOA AKASEMA HAPANA..KABINTI KAMOJA KUMBE KAMESIKIA KAKADAI UJAOA HEE UNASUBIRI NINI AKAMWAMBI NAKUSUBIIR WEWE..WAKAPEANA CONT..WAKAJUA WENYEWE WALIKUTANAJE AKIWA NDAN YA MWEZI MMOJA ALIPOSEMA AJAOA ..ALIUMWA UGONJWA WA AJBU SANA..IKAFIKIA APELEKWE INDIA ALIPOFIKISHWA AWAKUKUTA WALA KUGUNDUA ANACHOUMWA...LAKINI AKIWA INDIA SIKU MBILI AKASIMAMA NA KUONGEA KAMA KAWAIDA...AKAKAA MWEZI ALIPORUDI TANZANIA IKAWA DISASTER KUANZIA AIRPORT..AKAPELEKWA KILA KANISA WALILOLIJUA..MCH MMOJA WA DAR AKAMWONA KWENYE MAOMBI AKAMWAMBIA KUNA SIKU USHAWAHI KUMKANA MKEO..AKAMWAMBIA NI KWELI NAOMBA MUNGU ANISAMEHE AKAMWAMBIA UTASEMEHEWA UKIKIRI NA MKEO..AKAITWA MKEWE AKAAMBIWA ALICHOFANYA A-Z..NDUGU YULE PAST ALISALI ALIOMBA JAMAA ALITAPIKA ALIONGEA UCHAFU NATOKA NATOKA KWANINI UNANTESA SI ULINTAKA MWENYE YALE MAPEPO YAKAONGEA YOTE...BAADAYA WIKI YULE BABA ALIANZA KUTEMBEA NA LEO HII NDOA INANGURUMA KAMA SIMBA WA YUDA..UNAWEZA ONA MDOMO WA SIKU MOJAUKAMUMIZA MAISHA YALE KWA MUDA

  LEO HII UNAITAJI UKOMBOZI WA NDOA YAKO UKOMBOZI WA FEDHA ZAKO..UNAITAJI KUONA ILI MUNGU AKUWEZESHE KUJUA APA USEME NINI
   
 2. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  And all we say amen
   
 3. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  katika mahusiano ishi ukijua unaishi na nani na utambue unachikifanya..! kwakweli matamshi na kikwazo kikubwa sana, wengine huwa wanachelewa kurudi nyumbani kwasababu anajua akirudi tu anapokewa na maneno...!
   
 4. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  kumbe umeokoka
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  :biggrin1::biggrin1: HALELUYAAAA:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
   
 6. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Yesu ni bingwa
   
 7. s

  shoshte Senior Member

  #7
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We learn through mistakes thanks for the post
   
Loading...