Kweli anaye wamba ngoma........! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli anaye wamba ngoma........!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jaguar, Jun 1, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nchini kenya,kuna sheria iko mbioni kuundwa.Sheria hii itamruhusu mwanamke aliye katika ndoa,ambaye mumewe amepungukiwa nguvu za kiume,kumshtaki mumewe mahakamani na hatimaye kuomba kupewa talaka.Wanaume wengi nchini kenya wameonesha kutoridhishwa na mchakato huo."kama hili tatizo lingekuwa upande wao basi wangepinga vikali mno na hata wangeandamana",walisikika baadhi ya wanaume wakisema baada ya kuhojiwa.(BBC)
   
 2. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  So what?

  Unapenda na Tanzania ipitishwe?
   
 3. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  nilichoandika si mawazo yangu,hii ni nukuu ya habari!
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Je kwa wale waliojiingiza wakati mwanaume tayiri yuko hivyo???
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  the more women become powerfull
  the less men will be available for marriages
   
 6. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi wanawake huwa wanapungua nguvu za kike?
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Hapana... wao hupunguza au kuishiwa kabisa hamu ya kufanya...
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kufanya au kufanywa lol

  oops did i sai that lol
   
 9. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  KWELI MWISHO WA DUNIA UMEKARIBIA, wanawake na haki zao
   
Loading...