Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

33 yrs naishi dar nimeajiriwa natafuta mchumba mwaminifu na mcha mungu. interested? ni pm
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nawasalimu wana JF; Inapofikia hatua ya ujana wakati mwingine watu wanaweza kuchukulia kuwa ni hatua ya kukutana na changamoto nyingi, hii inawafanya wengi kutofikia malengo mbalimbali...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Based on true true story! Ann na Brenda Ni mashort wa siku nyingi sana urafiki wao uligeuka na kuwa undugu hata kuziunganisha family zao ..Ann alikuwa muwazi sana kwa mwenzie lakini Brenda...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
A teenager in China has caused an outcry after selling his kidney to buy an iPad2. Xiao Zheng, 17, could not afford one of the new tablet-style computers that are seen as symbols of wealth in...
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Sifa awe islamic mcha mungu atakaekuatayari kuishi z,bar
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ni rahisi sana,ni vichache tu utaambiwa ulete; 1.kabati ya mbeho 2.pick up ya mala 3.radio ya picha 4.kitanda cha kamba. hiyo ilinivutia sana hadi nina mpango wa kwenda huko kama sio marangu...
1 Reactions
80 Replies
8K Views
Mimi ni kijana mwana JF mwenzenu najitokeza kwa mara ya kwanza kutokea DSM kutafuta mwanadada/msichana mrembo wa kunifaa. Sifa zangu ni; Umri miaka 34, Kabila Mtanzania, Mtoto wa mkulima...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nini tofouti ya Mapenzi na Upenzi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini Wana Jamii wote. Napenda kupata maoni yenu kutokana na uzoefu ama uelewa juu ya jambo hili:- Je ni sehemu gani nzuri kwa hapa Dar es Salaam ya kufanyia vikao vya Harusi au send-off kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za jioni wakuu wote, hivi napenda kuwauliza wale walioko kwenye ndoa kuna wakati unajiuliza hili swali?? na badae unapata majibu yake?? na badae unajua kwa nini ulijiuliza?? Binafsi katika...
13 Reactions
127 Replies
10K Views
A man who surrenders when he's WRONG, is HONEST. A man who surrenders when he's NOT SURE, is WISE. A man who surrenders when he's RIGHT, is a HUSBAND :biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::A...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Mwenzenu ni mwezi wa 7 sasa toka shemeji yenu na mimi tulipositisha mahusiano yetu ya awali. Ktk kipind hcho cjapata mpenz mpya wala kushiriki tendo la ndoa na mwanamke yoyote. Hapa nilipo nina...
0 Reactions
88 Replies
7K Views
Baada ya kusikia malalamiko kuhusu hili mara kadhaa nje na ndani ya JF naomba niwaulize nyie wakaka...wababa na waume watarajiwa kwa baadhi yetu(lolzzzz) je ni kweli hamtaki/penda tunapovaa...
1 Reactions
81 Replies
7K Views
habari za usiku wapendwa? Mi naomba nipate kujua hv haya majina ya kike yote ninayo yaona ni kwamba watu hao wamesha wahiwa au? Maana m2 unatangaza unatafuta mpenzi hawajitokezi n'go wanabaki...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari zenu Jf, Naomba ushauri wenu,, ni hivi kuna msichana ambaye nimempenda na nimeshaanza kutengeneza ukaribu naye. Habari niliyoipata jioni ya leo ni kwamba rafiki yangu wa karibu amewahi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wajapani sio wabaguzi kama wachina. Na kwa wale wanaoishi au walioishi japani au waliooa wajapani wanaweza kuthibitisha hilo. Wengi wetu ktk kutembea na wanawake tofauti na wa kwetu yaani wabongo...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Soldier cited for holding off up to 30 Taliban by himself Acting Sgt. Dipprasad Pun of the Royal Gurkha Rifles displays his Conspicuous Gallantry Cross. Britain's newest hero is a Nepali...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu heshima mbele, Kwa muda mfupi nimekuwa katika mahusiano na binti mmoja ambae ametokea sana kuukonga mtima wangu, baada ya pilika za hapa na pale na vishawishi vya hapa na pale nikafanikiwa...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Ndugu Mpendwa wasalaam;habari za huko uliko.pengine si mbaya kukumbushana mambo muhimu hasa wale walioamua kujteika kwenye Ndoa Kuna mambo mengi ya kuwa makini naona leo nianze na hili la MSINGI...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
..........hii ilikuwa ni kauli ya Kungwi mmoja maarafu, mjini DSM;alikuwa akimfunda binti na kisha akawageukia na akina baba/wanaume, Akazidi kusema...................... ''Nawaambia akina...
3 Reactions
62 Replies
7K Views
Back
Top Bottom