Walipendana hukoooo............ ila nina wajibu wa kuwaachanisha

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,280
7,126
Home:Arusha,mama mchagga,baba mngoni.Jina Martina.

Mdada Agnes aligundulika 2010 kuwa na uambukizo unaoshambulia Anatomy ya mfumo wa uzazi.
Alichomwa sindano za kuzuia kusambaa kwa ugonjwa ila akapewa miaka miwili tu kuhakikisha anafanyiwa upasuaji utakaomzuia kubeba ujauzito maisha yote.

Boyfriend wake alifeli Bsc.Veterinary Medicine SUA mwaka wa nne, baada ya kukaa mtaani miaka miwili akajiunga Muhumbili for Bcs. Medicine na sasa yupo mwaka wa tatu.

Imebaki mwaka Agnes aondolewe kizazi na Bf wake hataki kumpa mimba eti maisha hayataenda as bado anasomeshwa na wazizi kwa hela za kusanya kwa taabu nyingi.
Ndio kwanza wawili hawa wanazidi kupendana.

Agnes anafanya kazi kiwanda cha Vyandarua kwa ujira mdogo.Hii itakuwaje baadae????
 
Wewe kama nani kuwaachanisha,mbona sioni kinachokufanya ufikirie hayo au kwako mapenzi ni mtoto?wao wawili ndio wa kuamua wanataka nini?
 
Khaaah wanaume wa leo, baadae akimwaga kisa hazai??
raha ya mwanamke mtoto.
 
Home:Arusha,mama mchagga,baba mngoni.Jina Martina.

Mdada Agnes aligundulika 2010 kuwa na uambukizo unaoshambulia Anatomy ya mfumo wa uzazi.
Alichomwa sindano za kuzuia kusambaa kwa ugonjwa ila akapewa miaka miwili tu kuhakikisha anafanyiwa upasuaji utakaomzuia kubeba ujauzito maisha yote.

Boyfriend wake alifeli Bsc.Veterinary Medicine SUA mwaka wa nne, baada ya kukaa mtaani miaka miwili akajiunga Muhumbili for Bcs. Medicine na sasa yupo mwaka wa tatu.

Imebaki mwaka Agnes aondolewe kizazi na Bf wake hataki kumpa mimba eti maisha hayataenda as bado anasomeshwa na wazizi kwa hela za kusanya kwa taabu nyingi.
Ndio kwanza wawili hawa wanazidi kupendana.

Agnes anafanya kazi kiwanda cha Vyandarua kwa ujira mdogo.Hii itakuwaje baadae????

Post zingine bana unawajadili wanakuhusu?
 
Back
Top Bottom