Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna binti amejenga urafiki na wife siku za karibuni, sasa ameanza kamchezo ka kunipigia sm na kunambia maneno yanayoelekea kunishawishi nimlambe. Swali nimpe mambo au nimwache.
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Kila nikirudi home huku napepesuka na kuyumba yumba, na mara nyingine nikiwa sina kumbukumbu viatu nimeacha wapi. Mke wangu huwa ananipokea kwa upendo na upole sana na kuniimbia huu wimbo wa njoo...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
post deleted
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Marafiki wangu wote wa JF najua pahala la kuwapata...chumbani humu kwa MMU...nimepotea siku nyingi kiasi.....sio kwa ubaya...jamani KULEA! kabinti kangu kamefikisha miezi sita jana....kazuri...
11 Reactions
43 Replies
5K Views
Huwa inatokea watu wanakuwa wapenzi kwa kujilazimisha/kuhofu asipokubali itakuwaje. 1.Chukulia mfano, dada aliye katika matatizo makubwa, mkaka akatokea akamsaidia kwa kila hali 2. Chukulia watu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
jamani penzi langu limeangukia kwa mtt wa kihehe sina wasifu wao mzuri moja nililopewa kuu ni kwamba wana hasira sana sasa nahitaji kujua mengi jamani kuhusu hawa watu naombeni michango yenu najua...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
huyu demu inaelekea hana uhakika.. achague yupi... msela kakaba penalt mshakaji wa white anapiga goli kwa fre e kick
0 Reactions
5 Replies
2K Views
The Wedding: A Touching Cancer Story "Time is too slow for those who wait, too swift for those who fear, too long for those who grieve, too short for those who rejoice, but for...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
A man gets resentful and frustrated with his woman when he is too afraid, weak, or unskilled to penetrate her moods and tests into love. He wishes she were easier to deal with. But...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Renown comedian caught pants down! A popular comedian and radio co-host was recently 'busted' in the process of tasting the forbidden fruit.The culprit in this case is a well known public...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Iwe gari yake au ya ofisi mie sijali>>>napenda :a s 12:kua na mke anaye drive
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Nimewahi sikia kuwa mwanaume wa kiafrika akiishi Japan kwa muda wa kama kuanzia miaka 2 na kuendelea anapoteza uwezo wa kuzaa watoto wa kiume. Badala yake ataweza kuzaa watoto wa kike pekee. Hili...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Utakuta mtu anakubali kuwa mpenz wako,anakujibu kuwa anakupenda,mwingine anakuambia mwenyewe kuwa anakupenda. but kuna wakati ukifika unaona live penzi linayeyuka na baadaye linapotea kabisa. Know...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
msichana anayefanya kazi za ndani jana alifukuzwa na bosi wake baada ya kutoa siri za mke wa mtu,chanzo cha mkasa huo umesababishwa na mama mwenye nyumba ambaye anatabia ya kumdharau dada wa...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Having trouble viewing this email? Click here. June 23, 2011 Follow us on Impact: A Victory for Domestic Workers Landmark ILO Treaty Sets Standards...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kama wazazi wake wote wanafanya kazi na wanarudi usiku,au wanaonana mara moja kwa wiki ,akiwa na shida hawezi kuwaeleza.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
leo nimefeel kumwimbia ''dadaake na x-pin'' wimbo huu wa celine dion.... she is the woman i love most........... i love you ''dadaake na x-pin'' eikeiei MSHIKIIZ.... When I need you Just close...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Natafuta kuku wa mayai hapa.....nisaidieni kutafuta
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu wanaJF wenzangu. Natumaini kila mtu hufanya na kukipenda kile kinachomridhisha na kuifanya siku yake kuwa njema aidha kwa tamaa, mkumbo au dhati ya moyo. Na pale...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika nyakati hizi tulizo nazo kuna jambo linanitatiza, ninavyofahamu mimi wakati wa kuanza mahusiano, wahusika huwa wanaongea mengi including I love you so much, silali nakuota usiku kucha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…