Upinzani katika mapenzi/ mahusiano. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upinzani katika mapenzi/ mahusiano.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mulama, Jun 24, 2011.

 1. Mulama

  Mulama JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 711
  Trophy Points: 280
  [FONT=&quot]Katika nyakati hizi tulizo nazo kuna jambo linanitatiza, ninavyofahamu mimi wakati wa kuanza mahusiano, wahusika huwa wanaongea mengi including I love you so much, silali nakuota usiku kucha, nikinywa maji nakuona kwenye grass nk nk.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Baada ya hizo brah brah kwisha watu sasa wamekwisha ingia kwenye mahusiano siku za mwanzo pengine hata wale sharp shooters wamekwisha do mara moja au mbili hivi, kinachofuatia ni kuambizana dos and don’ts za kila mmoja ili mapenzi/ mahusiano yao yaweze ku sustain.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Lakini baada ya muda kunaibuka wimbi la upinzani ndani ya mahusiano na mainly kinachopingwa ni yale waliyokubaliana awari, kiasi kwamba kila mmoja anakuwa msemaji ili ku emphasize yakwake ndiyo yafuatwe na si vinginevyo![/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Wadau hali hii inaletwa na nini?[/FONT]
   
Loading...