N joo ufanyiwe maombi... Njoo uombewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

N joo ufanyiwe maombi... Njoo uombewe

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Jan 11, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  Kila nikirudi home huku napepesuka na kuyumba yumba, na mara nyingine nikiwa sina kumbukumbu viatu nimeacha wapi.
  Mke wangu huwa ananipokea kwa upendo na upole sana na kuniimbia huu wimbo wa njoo ufanyiwe maombi, njoo uombewe.
  Nlikuwa najua kuwa yeye mama watoto ndio ameutunga kwa sababu sikuwahi kuusikia sehemu nyingine yoyote.
  Jana nikiwa mchovu naelekea kilabuni, ndani ya daladala, nikausikia.
  Kwa kweli ni wimbo mzuri sana,nyumbani kumsimulia mama watoto kuwa ule wimbo ambao huwa ananiimbia nimeusikia ukipigwa redioni.
  Nikakaa na mama watoto wangu nikiwa soba kabisa, dah...
  Nikagundua kuwa sasa nampenda wife kuliko nilivyo wahi kumpenda huko siku zilizopita
   
 2. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  Bonny wa mwaitege.
  Wimbo ni mzuri sana na unaburudisha roho na mwili pia
   
 3. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kama unalewa hadi unasahau ulipondondoshea viatu basi ujue kuwa wewe hi hopeless.
  Maadamu umegundua unampenda mkeo , nakushauri uwe unarudi mapema na uachane na unywaji wa pombe uliokithiri, ni hatari kwa afya yako.
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!!!!!
   
 5. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kanumba style hii.

  Yaani unaona unampenda mkeo kwa sababu ya wimbo wa Bony Mwaitege???

  Kweli Duniani kuna mambo, bibi yangu aliwahi kuniambia kuwa uyaone!!!
   
 6. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jf hiyooo........... yaosha na kusuuza vilivyo..... haya baba wewe fanyiwa hayo maombi uache pombe....ok??na utaacha inshallah 4 the will of allah...:pray::pray::hail:
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  njoo.njoo njoo ufanyiwe maombezi baba wimbo umesimama mnooooo
   
 8. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera sana... sasa uache moja kwa moja
   
 9. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  AVATAR YAKO NI NOMA ILE KINOMA NOMA
  [​IMG]
   
 10. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hongera kwa kurudi kwenye mstari ulio sahihi maana kama ulikuwa unalewa mpaka unasahau viatu si jambo jema na inaelekea kulikuwa na uwezekano wa kuvunjiwa mayai ma..........!!
   
 11. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  hujawahi kukutana na wale vijana wanaitwa popobawa kwenye harakati zako za miulabu?
   
 12. babuwaloliondo

  babuwaloliondo JF-Expert Member

  #12
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hopefully utaendelea kuwa sober
  ...
   
 14. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Na mwisho utauona ufalme wa mbingu. Credit kwa mkeo, badala na yeye kuwa mlevi, kakubadilisha kwa maombi.
   
 15. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #15
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  umenikumbusha mbali Mkuu,
  kuna jirani yangu yeye akitoka kirabuni (Mataputapu) usiku mnene anapita na chorus yake moja tu
  NInatembea kidogo kidogo nikinyata, basi anairudia hiyo hiyo mpaka anafika home
   
 16. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa staili hiyo watakupumulia kisogoni !!

  ULEVI NOMAAAAA!!
   
 17. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #17
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Huyu kweli alikuwa ANANYATA maana masanga yakishakubali speed ya kutembea haraka itatoka wapi kama hataki kujikwaa na kuishia mitaroni??!!! POMBE SIO CHAI JAMANI
   
 18. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #18
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Darlingtone, kama sikosei, nadhani na wewe unastahili kufanyiwa maombi.... wakaka poleni!!
   
 19. M

  Mary Glory Senior Member

  #19
  Jun 25, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh iyo kali!ananyata nyata!!
   
 20. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #20
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  thread nyingine bwana.......
  We acha tu
   
Loading...