Love and technology | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Love and technology

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The dirt paka, Jun 24, 2011.

 1. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Habari zenu ndugu wanaJF wenzangu.


  Natumaini kila mtu hufanya na kukipenda kile kinachomridhisha na kuifanya siku yake kuwa njema aidha kwa tamaa, mkumbo au dhati ya moyo.  Na pale penye manufaa/utamo ndipo mirija ya kunyonya hutumbukizwa na pale pasipo tija mirija ya kumwaga taka huchomekwa ikazisafirisha hadi mitaroni.

  MY TAKE : jamii forums ni mtando bora wakijamii Tanzania, maana umegawa majukwaa yanayokidhi hitaji la kila mshika, katika majukwaa yote hapa Jf hili la mahusiano, mapenzi na urafiki limekuwa pumziko na kivutio cha wengi.


  SWALI :
  1> JE, jukwaa hili limekuwa na manufaa gani kwako? (hasi/chanya),
  2> Program/Content zake ni zae au tasa?
  3> Unaionaje hali yako yakukabiliana na changamoto za kimahusiano kabla na baada yakujiunga na kuwa mpenzi wa jukwaa hili hapa Jf?
  4> Na nini kifanywe na mashabiki wajukwaa hili kwa faida zao wenyewe na heshima ya jukwaa hili?.
  Kazi ni kwako...!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sijafaidika chochote...wala hamna mabadiliko yoyote!!
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu jamiiforum naipenda coz imeweza na mpaka sasa inaniunganisha na watu wengi ukiawamo wewe! Then hunipa faraja kwa stori za humu, kifupi nainjoy! Bt usipokua makini kuna comments za watu fulani zaweza kukupoteza!
   
 4. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Great thinkers argue with reasoning...!
  ????
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  What reasoning?!Kama sijafaidika sijafaidika tu FULL STOP.
   
 6. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  unaenjoy vipi Gagu. Naaa... Ni story gani zinawekukupoteza?
   
 7. T

  Tall JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.kuna muda naupoteza.
  2.naweza kujua watu wanawaza nini au wana hisia gani.
   
 8. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Kichwa cha habari kimenichanganya!!! aha kumbe wataka faida na hasara za hi iForum.

  Nadhani kwenye swala la mapenzi Haina msaada wowote...ila ni sehemu nzuri ya kupoteza muda wako na ku have fun.

  solution ya matatizo yako ni wewe mwenye na nyumbani kwako.

  Unaweza ukashauri hapa kwamba "mkeo akikunyima na wewe mnyime"

  loh ukimnyima tu kesho huyo anaenda kumpa mwenzio.

  au unaweza pewa ushauri hapa ukajaribu Ukachezea kichapo na ukiwaeleza watakupa ploe tu

  ...sasa pole ya nini wakati hata panadol siwezi pata hapa!! aha raha lakini karaha

  hehe!!!
   
 9. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Lo!
  Teknologia ya mitandao yakijamii haijasaidia kabisa inovation yoyote iliyoweza kusaidia kupunguza vilio vya wale wanaojiita wapendanao mmmh!
  Inapoteza muda tu?!
  So no need for?
   
 10. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Nitajua baada ya muda fulani kupita!
   
Loading...