kweli duniani kuna mambo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kweli duniani kuna mambo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mary Glory, Jun 13, 2011.

 1. M

  Mary Glory Senior Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  post deleted
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  du pole sana
   
 3. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  imenigusa sana lkn nakusifu kwa kumuachia mungu akulipie maana zipo njia nyingine za kibinadamu ungeweza kuchukua ili kumlipizia.
  but hapo kwa mtoto kama kuna ushahidi kuwa baba kammuua mtoto kwa nin asifikishwe mbele ya sheria?
  pole kupoteza mtoto na kwa yote unayopitia.
  elekeza macho na matumain yako yote kwa MUNGU yeye peke yake ndiye atakayekushindia.
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Mary Glory message yako imenigusa mno, ila nashindwa kuelewa haya mambo...

  Ni jinsi gani baba mtoto kakatisha hayo maisha ya mwanao?

  Mwenyezi Mungu kakuwezesha umekubali kifo cha mwanao kua kiko mkononi mwake....
  Unazungumzia kuibiwa pesa na kujenga ukuta kwa hizo pesa na kushindwa kuingia hapo...
  kwamba alipo sababisha kifo cha mtoto uliendelea kuishi nae hatimae kukuibia pesa..
  Inaonesha (kama maelezo ni dhabiti) kua ni mdada/mmama wa kujikimu na
  kujua maisha lakini unampa nafasi ya kuambulia kipigo...

  Haya matatizo uloeleza ni makubwa mno na hata Mungu
  hatafanya lolote kama wewe personally umeona uache for kuna
  policy katika vitabu vya dini kua jisaidie nitakusaidia...

  Naomba dear if you don't mind useme halisia what happened from
  before mtoto hajafariki...

  Pole saana na Mungu akuzidishia Imani na Amani..
   
 5. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  pole sana japo sijakuelewa vizuri
   
 6. M

  Mary Glory Senior Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi mwenyewe ni kama sielewi vizuri kilichotokea.naona kama ndoto.it was very paining!lkn mungu ananisaidia.sana.yan i thank god
   
 7. M

  Mary Glory Senior Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante.kwa muda mchache nilioishi hapa dunian nimeona kuwa malipo ni hapa hapa dunian.me najua kuwa si muda mrefu atayaona malipo yake.na yatakuwa yakusikitisha sana.nimesikia akisema kuwa anahisi mauti yatamchukua usingizini.haoni kama kuna maisha tena.nahisi damu aliyoimwaga inamtesa
   
 8. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  pole sana dada Mary Glory!
  Nakuombea kwa Mungu azidi kukupa nguvu na ujasiri. Ingawa hujaeleza kwa kina nini kilitokea, lakini hakuna anayeweza kupima machungu uliyopitia.
  Umefanya ustaarabu kuwa mvumilivu, mwisho wa siku utajua na kugundua kwa nini hayo yote yametokea
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Pole sana mpendwa...,
   
 10. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,815
  Likes Received: 1,153
  Trophy Points: 280
  polt sana,daima malipo hapa hapa duniani,we mwachie mungu atashughulika na huyo jamaa muuaji.
   
 11. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mary maelezo yako huwa yayajitoshelezi si huyu huyu jamaa mwezi uliopita ulidai umemkopesha hela na hataki kulipa ? na ulidai ni member mwenzetu hapa ? badala ya kulalamika kila kukicha ambapo kunaonesha hujasamehe wala kumuachia mungu hebu nenda kaongee na wakili mweleze kila kitu atakushauri vizuri zaidi yetu,pole sana yataisha tu.
   
 12. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Dah, pole sana mtangulize Mungu katika yote
   
 13. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Pole sana kwa yaliyokukuta.
  Wakati mwingine wanaume hujisahau sana na kudhani kwa kuwa na mali basi wamemaliza kila kitu wakati hii si kweli. Jaribu kudai chako kwa njia ambayo hutadhurika halafu mwambie kwamba umesikitishwa sana na mabaya anayokufanyia na unashukuru sana kwa mema aliyowahi kukutendea. Mwambie unasononeka na yote umemwachia Mungu.
  Kama kuna uwezekano wa kufanikisha maisha ya kuanzia nje ya uhusiano wake kama kijibiashara, kiajira au msaada wa ndugu, basi fanya hivyo ili uendeleze maisha yako. Laana yake anaijua Mwenyezi Mungu lakini atakutafuta one day na atakuwa mpole hata hutaamini.
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Pole sana .
  Hustahili hayo kabisa..
  Ila ndio maisha.....
  Piga moyo konde siku njema iko njiani..

  Pole sana
   
 15. s

  shoshte Senior Member

  #15
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana yote mwachie Mungu atakutetea kwani yeye ndo mtetezi wa wanyonge
   
 16. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Dah, matatzo ya dunia ni hatari... Unaweza kufikiri kama wew una matatzo kumbe mwenzako ana matatzo zaidi! POLE MAMA, POLE SANA,MUNGU YUKO NAWE!!!
   
 17. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwakweli nimesoma hii post sijaelewa... huyu mtu anaua vipi mtoto na kujenga na bila polisi kumkamata na wewe unaomba Mungu awe chini ya bahari??

  wajuvi nijuzeni
   
 18. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nadhani pole haitoshi... kama mtoto wake ameuwawa basi apewe legal support
   
 19. M

  Mary Glory Senior Member

  #19
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu kuongea nae na si tu wakili kuna vyombo vingi vinasaidia wanawake siku hizi unapofanyiwa ukatili kama huu.wanaliweka sawa swala langu na wakiwa tayari watamuweka nguvuni.wanakusanya ushahidi.mm kama mm nilitaka sana kumpeleka mahakamn lkn ninafanya kazi.niliona nitapoteza muda mwingi huko na kazin nahitajika pia.nawapa msaada wanaoutaka hao malayerNa wamesema ni kesi yao kwa sasa
   
 20. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pole sana mpenzi, muombe sana mungu nina imani atajibu maombi yako
   
Loading...