Msaada wa Mawazo

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Kuna binti amejenga urafiki na wife siku za karibuni, sasa ameanza kamchezo ka kunipigia sm na kunambia maneno yanayoelekea kunishawishi nimlambe. Swali nimpe mambo au nimwache.
 
Kuna binti amejenga urafiki na wife siku za karibuni, sasa ameanza kamchezo ka kunipigia sm na kunambia maneno yanayoelekea kunishawishi nimlambe. Swali nimpe mambo au nimwache.

Aisee, kuwa makini sana na huto tubint twa namna hiyo. Kanaweza kukuharibia hako. Kuwa makini mkuu na pia tumia busara zako ili uepukane nako.
 
Aisee, kuwa makini sana na huto tubint twa namna hiyo. Kanaweza kukuharibia hako. Kuwa makini mkuu na pia tumia busara zako ili uepukane nako.
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako - ila ni kazuri... mda mwingi kanakuwa nyumbani kwangu - mara kamsaidie wife kazi za hapo home.. kwa ujumla kananiweka katisha vishawishi
 
Kiongozi kapotezee tu, achana na vya hivyo bwana.............

Kwani wewe si unampenda mkeo na ulikiri na kukubali hivyo? Sasa kwann unataka kumuumiza kwa vitu vidogo tu mshkaji wangu? Kapotezee tu
 
Ongea na wife nadhani atakupa Ushauri mzuri kama umlambe huyo Binti au la..
Manake kama ni shoga yake basi anamfahamu vyema, kama ni kicheche au ana ngoma, wife atakupa mwongozo mzuri..
 
Kumbe ni kweli watu wengi huwa wakikuomba ushauri hawataki uwaambie ukweli wanataka uwape moyo kwamba wanachotaka kufanya ni jambo sahihi...
 
Kabla ya kufanya uamuzi
jiulize
what is the worst thing could happen??????????
Je ukimlamba,mkeo akijua kuna nini kitatokea????????

Halafu ndo ufany maamuzi..
 
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako - ila ni kazuri... mda mwingi kanakuwa nyumbani kwangu - mara kamsaidie wife kazi za hapo home.. kwa ujumla kananiweka katisha vishawishi

Kazuri ndo nini wakati ushasema una wife? Umekuja kuomba ushauri wa nini wakati majibu unayo kichwani kwako? Huyo binti kakuona huna HESHIMA na ndo mana anakutega kijinga, anajua huwezi kuchomoka cz wife wako sio mzuri kama yeye. Huyo wife ulitumishiwa na wazazi toka kijijini au ulimchagua mwenyewe? Mjengee HESHIMA mke wako, hata kama umeamua kumsaliti nenda katafute mbali huko, unategemea huyo binti ataendelea kumuheshimu wife baada ya wewe kumlala? NO! Hata wewe hatakuheshimu pia. Tamaa mbaya'-alijisemea 20%..
 
Ongea na wife nadhani atakupa Ushauri mzuri kama umlambe huyo Binti au la..
Manake kama ni shoga yake basi anamfahamu vyema, kama ni kicheche au ana ngoma, wife atakupa mwongozo mzuri..
Nitaanzaje? Duh ushauri wa bure noma jamani.
 
Kabla ya kufanya uamuzi
jiulize
what is the worst thing could happen??????????
Je ukimlamba,mkeo akijua kuna nini kitatokea????????

Halafu ndo ufany maamuzi..

Najua akigundua wife inakuwa noma.
 
Kazuri ndo nini wakati ushasema una wife? Umekuja kuomba ushauri wa nini wakati majibu unayo kichwani kwako? Huyo binti kakuona huna HESHIMA na ndo mana anakutega kijinga, anajua huwezi kuchomoka cz wife wako sio mzuri kama yeye. Huyo wife ulitumishiwa na wazazi toka kijijini au ulimchagua mwenyewe? Mjengee HESHIMA mke wako, hata kama umeamua kumsaliti nenda katafute mbali huko, unategemea huyo binti ataendelea kumuheshimu wife baada ya wewe kumlala? NO! Hata wewe hatakuheshimu pia. Tamaa mbaya'-alijisemea 20%..
Thankx a lot
 
Ndugu, hapo ni akili yako bana, sidhan kama utakuwa na confidence ya kuwa omba ushauri kama huu wana wake walioolewa hata kama hawakujui. Ni kwasababu u know what their reaction would be. Same applies here. Be a man and evaruate stuff by urself.
 
Unataka uambiwe kamlambe?
Haya nenda kamlambe.

Sijui ni msaada gani unatafuta.......shauri yako.
 
Kama ni rafiki wa mke wako unaweza kumlamba ina maana hata mkeo analambwa mahali amekutana wapi na hako ambako utakavua chupi muda si mrefu ww kamlambe halafu ujue mkeo watu nao wanalamba MWOSHA HUOSHWA,
 
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako - ila ni kazuri... mda mwingi kanakuwa nyumbani kwangu - mara kamsaidie wife kazi za hapo home.. kwa ujumla kananiweka katisha vishawishi[/QU

Hapo kwenye Red; usidanganyike kaka mzuri ni mkeo peke yake ndo maana ulimchagua ukamuoa. Achana kabisa na huyo binti na unatakiwa kumwonyesha msimamo wako kuwa humtaki.
 
usidanganyike kaka mzuri ni mkeo peke yake ndo maana ulimchagua ukamuoa. Achana kabisa na huyo binti na unatakiwa kumwonyesha msimamo wako kuwa humtaki. Ukitaka kuibomoa ndoa yako kwa mikono yako mwenyewe we jaribu tu utayaona matokeo.
 
usituzingue!hii story kama ni ya ukweli au urongo!namba yako ya simu aliipatapataje?tujulishe kwanza then ndio tutatoa hiyo nasaha unayoomba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom